![Marcus Rashford ameoneka mwenye furaha baada ya kurejea mazoezini na kikosi cha Man United kujiandaa na mchezo wa Europa...](https://img3.medioq.com/492/121/1172076704921210.jpg)
22/01/2025
Marcus Rashford ameoneka mwenye furaha baada ya kurejea mazoezini na kikosi cha Man United kujiandaa na mchezo wa Europa League dhidi ya Rangers.
Watu wa upande wake walikutana na Barcelona Jumanne, ikiwa Barca wana nia ya kumsajili Rashford lakini yote inategemea Financial Fair Play kwani Barca wanatakiwa kuuza ama AnsubFati au Eric Carcia.
Borussia Dortmund pia wanavutiwa lakini mabadiliko ya meneja yaliyoamuliwa sasa yanaweza kupunguza mchakato huo.
Vyanzo vilivyo karibu na Rashford pia vimedokeza kuwa huenda akabaki hadi mwisho wa msimu huko Manchester united.
abaki au atupishe..?