Mbunji Media

Mbunji Media Media Personality,Community Saver,Marketing Brand Agent & Designer
Phone call 0718138167

12/02/2025

Tazama!! FADHILI MAJIHA AKUTANA NA CHUMA CHA PUA BOTSWANA | Fadhili Majiha v Rofhiwa Maemu

12/02/2025
11/02/2025

TAZAMA MTANZANIA AKIGAWA DOZI NZITO HUKO GHANAπŸ”₯πŸ”₯ | LOREN JAPHET VS ELVIS MENSAH SUPER FEATHER

11/02/2025

TAZAMA MAAJABU BONDIA AINGIA NA GAUNI LA HARUSI ULINGONI, ASHINDA "KO"

11/02/2025

TAZAMA VITA YA SAID MKOLA VS SAID MWANGA MOTO UNAWAKAπŸ”₯πŸ”₯

11/02/2025

Ni Vita ya Rekodi!! MAJIHA,CLASS WAMGALAGAZA MWAKINYO, KWENYE CHATI MPYA YA MABONDIA BORA

11/02/2025

Kumekucha!! MWAKINYO ATAJWA MTANGO KUKOSA VIZA YA KWENDA KUPIGANA ULAYA

Kumekucha!! MWAKINYO ATAJWA MTANGO KUKOSA VIZA YA KWENDA KUPIGANA ULAYA
Bondia wa Ngumi za Kulipwa nchini Salim Jengo a.k.a 'Messi wa Ngumi' almaarufu 'Mtango' siku tarehe 08/2/2025 ameshindwa panda Ulingoni kucheza pambano la kimataifa nala Ubingwa nchini Belgium baada ya kuchelewa kupewa VISA ya kusafiria

12/10/2024

MWAKINYO ,MAJIHA WAKUTANA, NANI MKALI?πŸ”₯πŸ”₯

12/10/2024

NGUMI NZITO YA MBABE, AMPIGA MMALAWI "KO" MBAYA | Dulla Mbabe VS Limbani Lano

12/10/2024

BALAA LA CHINO, AMPIGA TKO MBAYA MMALAWI πŸ”₯πŸ”₯| Said Chino VS Yobe Kamnyonya

21/08/2024

"Mwakinyo alinifukuza kambini kwasababu ya kusaidiwa na watu wa nje" Bondia wa Ngumi za kulipwa nchini kutoka kambi ya πŸ‘‰ ameshare na sisi kitu ambacho hatakisahau katika harakati zake za mchezo wa masumbwi

21/08/2024

MWAKINYO "AKASIRIKA" ATOA TAMKO SAKATA LA BINTI ALIYEBAKWA WAJEDA ,AJIREKODI VIDEO AKIZUNGUMZA

17/08/2024

TAZAMA UMAFIA WA IBRAHIM MAFIA KWA MZUNGU, MAJI AMEITA MMA

16/08/2024

HII NDIO NGUMI YA MAAJABU YA MWAKINYO "TKO" MBAYA KWA MGHANA, AMETESEKA MWANZO MWISHO

16/08/2024

TAZAMA KILICHOMKUTA MFAUME HAPA, ALITAKIWA AFANYE NINI?

30/05/2024

Jambo limekwivaπŸ”₯πŸ”₯
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ HASSAN MWAKINYO 70.KG
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ PATRICK ALLOTEY 72.KG
πŸ†WBO AFRICA MIDDLEWEIGHT
πŸŒ€ 10 ROUNDS
🏟 WAREHOUSE MASAKI
πŸ”ˆ GOLDEN BOY AFRICA PROMOTION

30/05/2024

Baada ya mbilinge ya sintofahamu kuhusu uwepo wa pambano la Hassan Mwakinyo, Promota wa ngumi za kulipwa nchini Ndugu Shomari Kimbau kutoka Golden Boy Promotion amethibitisha kuwa pambano la Mtata Mtatuz 2 litaendelea k**a lilivyo pangwaa.

Ikumbukwe tu Pambano la Mtata Mtatuzi 2 lilisitishwa na uwongozi wa mda wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC kwa kutoidhinishwa kwa sababu ya promota wa pambano hilo kutokukidhi vigezo vilivyo wekwa na tume.

Lakini kilifanyika kikao upande wa Baraza La Michezo BMT kilicho wakutanisha promota wa pambano hilo, Mzamini wa mapambano (Azam Media) ili kufanya utatuzi juu ya mstakabali wa pambano hilo ambacho kikao hicho kimeonekana kuzaa matunda kwa Promota kukamilisha matakwa na mchakato kuendelea.

Kwahiyo pambano lipo litafanyika kwenye ukumbi wa Warehouse Masaki jijini Dar es Salaam May 31,2024

Kimbau ameomba radhii kwa wadau wa Masumbwii na wapenda michezo kiujumla hapa nchini kutokana sinto fahamu hiyo iliyokuwa ikiendelea na amelishukuru Baraza La Michezo BMT na Serikali kiujumla kuruhusu pambano hilo la Mtata Mtatuzi 2 kuendelea kufanyika.
............................................................................
Full story ipo kwenye YouTube Chaneli ya "MBUNJI MEDIA"....πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’₯

28/05/2024

Shabani Kaoneka akubali kichapo dhidi ya kibonde wake Karim Mandonga Mtu kazi?πŸ˜‚πŸ˜‚............................................................................
Full story ipo kwenye YouTube Chaneli ya "MBUNJI MEDIA"....πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’₯

Address

Bunju
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbunji Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbunji Media:

Videos

Share