Last Saturday @chuga_lounge_and_bar was lit see u again tomorrow
#partyboss
Sunday vibes @qblounge_ I am coming this Sunday. Tell ur friends to secure those cash for partyboss's party this Sunday, mbezi mbezi mbeziiiiiiii stay turned
#partyboss #sundayvibes
Ratiba mpyaaaaa ya partyboss week hiii
Usikose mtu wangu wa nguvu
Jumatano @pademapambano buzaa
Alhamis @tabatahotel tabataaa
Ijumaaaaa @boardroom_tz sinzaaaaa
Jumamosi @chuga_lounge_and_bar ubungoooo
Jumapili iko sokoni
For more bookings, DM, WHAT'SAPP OR CALL 0784-095730
NILIPO NDO PARTY LILIPO
#partyboss
About last night @chuga_lounge_and_bar kiliwakaaaaaa
Cc @dynamovocks
Wanangu nimejaribu lakini code haija toka hapa sasa
Tuwatag matajiri tunaowajua hapa chini waje watupe code 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
#partyboss #onlyforfun
Haaaapa ilikua ni surprise 🎵 drop ya single taarab x wivu by Jay, angalia mpaka mwisho then uone reaction 🔥 🥵
There are no limits, just making sure the audience goes crazy 😜 😉 😀 🤪 😄 😳
#djdon #partyboss
Zingatia vibe la wananchiiiiiii @chuga_lounge_and_bar lilikua on 🔥 🔥
Kama we ni mwananchi sema mm ni yangaaa
@yangasc
@alikamwe
#DJDON #wananchi #partyboss
#yanga
Hii moja ya siri yangu ambayo nimeificha kwa muda mrefu sana leo nimeamua kuisema sijali kama watu mtanionaje ila ndo ukweli 🥲
Oyaaaaaaaa leo ndo leoooooooo wananchi tujuane mapemaaaaaaaaaaa
Achana na huyu kijana wa simbaaa @dynamovocks
Mechi tunaiangalia @chuga_lounge_and_bar baada ya mechi tunakuangushia show nzinto mpaka majogoo kubabakeeeeeeee ukikosa leo baaaaaathi umeishaaa
Usiachie wavulana kazi za wanaume kubabakeeeeeeee moja ya unyama ambao unaukuta kwa show zangu pekeeee 🤣😜😜
Ratiba ya week hii Friday @kumalijapub
Saturday @chuga_lounge_and_bar
Sunday is free for more bookings
What'sApp or call 0784-095730, #partyboss
Mi yangaaaaaa 🤣🤣🤣
Wananchiiii leo wale watoto wa mbeya inabid wagongwe ngapiii banaaaaa
@yangasc
@yanga_on_fire_group
@alikamwe