FABI Sports ANGLE

FABI Sports ANGLE Pata Taarifa mbalimbali za Michezo
(1)

Arsenal become the first team EVER to score seven goals in an away Champions League knockout match! They beat PSV 7-1 in...
05/03/2025

Arsenal become the first team EVER to score seven goals in an away Champions League knockout match! They beat PSV 7-1 in their last 16 first leg! 😲

FFABI Sports ANGLE@ Clavery

UEFA CHAMPIONS
05/03/2025

UEFA CHAMPIONS

Kocha mpya wa Kagera Sugar FCFabius Clavery
05/03/2025

Kocha mpya wa Kagera Sugar FC

Fabius Clavery

Huu hapa ‘Mkeka’ wa wasimamizi wa   🔥       TTBConlineTTanzania Football Federation
05/03/2025

Huu hapa ‘Mkeka’ wa wasimamizi wa 🔥


TTBConlineTTanzania Football Federation

REAL SOCIEDAD 🇪🇸 VS MAN UTD🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
21/02/2025

REAL SOCIEDAD 🇪🇸 VS MAN UTD🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿



🎯  DRAW YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE  HATUA YA 16 BORA.Club Brugge 🇧🇪 Vs Aston Villa 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Dortmund 🇩🇪 Vs LOSC Lille 🇫🇷Baye...
21/02/2025

🎯 DRAW YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE HATUA YA 16 BORA.

Club Brugge 🇧🇪 Vs Aston Villa 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Dortmund 🇩🇪 Vs LOSC Lille 🇫🇷

Bayern Munich 🇩🇪 Vs Bayer Leverkusen 🇩🇪

Real Madrid CF 🇪🇸 Vs Madrid 🇪🇸

PSV Eindhoven 🇳🇱 Vs Arsenal FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Inter Milan 🇮🇹 Vs Feyenoord 🇳🇱

Paris Saint Germain 🇫🇷 Vs Liverpool FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

SL Benfica 🇵🇹 Vs FC Barcelona 🇪🇸

21/02/2025
21/02/2025

Live from Benjamin Mkapa Dar Derby

MBUNGE RWEIKIZA AWAPONGEZA KANYANGEREKO FC KWA KUTWAA UBINGWA RWEIKIZA CUP 2024/25,ASHIRIKI  NAO CHAKULA CHA USIKU* Mbun...
19/02/2025

MBUNGE RWEIKIZA AWAPONGEZA KANYANGEREKO FC KWA KUTWAA UBINGWA RWEIKIZA CUP 2024/25,ASHIRIKI NAO CHAKULA CHA USIKU*

Mbunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini Dkt Jason Rweikiza amempongeza bingwa wa Rweikiza Cup 2024/25 ambaye ni Kanyangereko Fc kwa kuwa bingwa wa ligi hiyo baada ya kuifunga Kemondo Fc goli 1-0

Dkt Rweikiza ametoa pongezi hizo wakati akipata chakula cha usiku na mabingwa hao huku akisihi kujiandaa kwa nguvu kwa ajili ya msimu ujao kwani ameongeza ukubwa wa zawadi.

Amebainisha kuwa mwaka ujao mshindi wa Rweikiza Cup atajinyakulia kiticha cha shilingi Milioni nane taslimu.

Hata hivyo ameongeza kuwa Michezo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya chama Cha Mapinduzi kwani inasisitiza sula la michezo.

Nao mabingwa hao wamemshukru sana mwandaaji wa ligi hiyo kwan kupitia Rweikiza Cup vijana upanua wigo wa mahusiano bora pamoja huku wakiahidi kutetea kwa nguvu kubwa ubingwa wao katika msimu ujao.








BetikaTz

MWENYEKITI UVCCMKAGERA FARIS BURUHANI ASHIRIKI BONANZA LA MICHEZO LA MTANI WA JADI KATA YA RUBAFU NA KISHANJE⚽📍Bumai_Kis...
15/02/2025

MWENYEKITI UVCCMKAGERA FARIS BURUHANI ASHIRIKI BONANZA LA MICHEZO LA MTANI WA JADI KATA YA RUBAFU NA KISHANJE⚽

📍Bumai_Kishanje
🗓️Trh. 15/02/2025

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani ameshiriki kwenye Bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa shule ya Msingi Bumai, kata ya Kishanje wilaya ya Bukoba.

Bonanza hilo lililosheheni burudani mbalimbali lilihitimishwa na Mchezo wa Mpira wa miguu kati ya timu za wanawake mashabiki wa Simba na Yanga na timu za wanaume mashabiki wa Simba na Yanga.

Katika michezo hiyo timu ya wanawake wa Yanga iliibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Simba huku timu ya wanaume mashabiki wa Simba ikiibuka kidedea pia kwa goli moja dhidi ya Yanga.

Akizungumza baada ya Bonanza hilo, Comrade Faris aliwashukuru vijana wa kujitokeza kwa wingi kwenye Bonanza hilo, huku akikabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi waliopatikana katika Bonanza hilo.

FULL TIMEKMC 1:6 YANGADakika 90' zimemalizika katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, huku kikosi cha Young Africans kimeibuka...
14/02/2025

FULL TIME
KMC 1:6 YANGA

Dakika 90' zimemalizika katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, huku kikosi cha Young Africans kimeibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya KMC.

Mabao ya Young Africans yamefungwa na Prince Dube 10', Aziz Ki 18'p, 49', 56'p, Maxi Nzengeli 90'+1 na Israel 90'+4, huku bao pekee la KMC likifungwa na Redemptus M***a 51'.

FULL TIME:Kagera Sugar 3-0 Fountain Gate FC Lwasa ⚽️⚽️Swalehe ⚽️ FABI Sports ANGLE
14/02/2025

FULL TIME:
Kagera Sugar 3-0 Fountain Gate FC
Lwasa ⚽️⚽️
Swalehe ⚽️

FABI Sports ANGLE

WEEKEND HII ULAYAFABI Sports ANGLE Fabius Clavery
14/02/2025

WEEKEND HII ULAYA

FABI Sports ANGLE
Fabius Clavery

Jamal Musiala amesaini mkataba mpya Bayern Munich hadi 2030 📝 Musiala ameshinda mataji manne ya Bundesliga na mataji men...
14/02/2025

Jamal Musiala amesaini mkataba mpya Bayern Munich hadi 2030 📝 Musiala ameshinda mataji manne ya Bundesliga na mataji mengine matano makubwa wakati alipokuwa Bavaria.

Mzaliwa wa kushinda 🏆

MBUNGE RWEIKIZA AWA MGENI RASMI FAINALI YA KEMONDO 50-50 , AMWAGA ZAWADI ZA FEDHA NA VIFAA KWA WASHINDI.Jumatano Februar...
14/02/2025

MBUNGE RWEIKIZA AWA MGENI RASMI FAINALI YA KEMONDO 50-50 , AMWAGA ZAWADI ZA FEDHA NA VIFAA KWA WASHINDI.

Jumatano Februari 12, 2025 imekua siku kubwa sana kwenye Tarafa ya Katerero ambapo mashindano makubwa ya Kemondo 50-50 yalifika tamati kwa mchezo mkali wa fainali kati ya timu ya Kashenye ya Kemondo na Kashai ya Bukoba Manispaa ambapo Kashenye aliibuka bingwa kwa kushinda 2-1.

Mgeni rasmi kwenye fainali hiyo alikua Mbunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini Mhe. Dkt. Jasson Rweikiza aliyepewa sapoti kubwa na Mwenezi wa CCM Wilaya Ndugu Deocres Byabato, Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Erasto Sima aliyeambatana nae pamoja na Afisa Tarafa Katerero Ndugu Bwanku M Bwanku, Diwani wa Kata ya Kemondo Ndugu Khatwibu M***a, madiwani mbalimbali wa Bukoba pamoja na Watendaji na Viongozi wengine wa CCM.

Mbunge Rweikiza aliwashika mkono waandaaji wa mashindano hayo Ndugu Twarha Swaibu na wenzake kwa kujitolea yeye kutoa zawadi zote za washindi kwa bingwa Kashenye kupewa milioni 1 na mshindi wa pili Laki 5 huku akigawa jezi na viatu kwa timu zilizoshinda mwaka jana kwenye mashindano hayo.

Dkt. Rweikiza kwenye hotuba yake wakati wa kugawa zawadi amesema ameamua kutoa zawadi hizo k**a njia ya kukuza vipaji vya vijana kwenye Tarafa ya Katerero na Jimbo zima huku akikubali ombi la waandaaji wa mashindano hayo kuwa mdhamini wao kwa msimu unaofuata wa mashindano.

FABI Sports ANGLE
Fabius Clavery

GREENLAND BINGWA WA LIGI YA MKOA KAGERA 2024/2025
29/01/2025

GREENLAND BINGWA WA LIGI YA MKOA KAGERA 2024/2025

Address

KIBETA
Bukoba

Telephone

+255756321374

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FABI Sports ANGLE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FABI Sports ANGLE:

Videos

Share