Geric Media Live

Geric Media Live RADIO PODCASTS |GRAPHICS DESIGN | AUDIO RECORDING | BRANDING | SOCIAL PAGES SETUP | OTHER CREATIVE TASKS

We deal with broadcasting, music, social network use and earning via them, technology

https://youtu.be/zG8raZY2TaI
08/02/2025

https://youtu.be/zG8raZY2TaI

TAKE AWAY THE PAIN is an album with a theme that serves as a real weapon for the artist, using music to heal, entertain, and transform challenges into victor...

Tahadhari na elimu ya namna ya kujilinda na utapeli mtandaoni kutoka  Ni muhimu sana
02/10/2024

Tahadhari na elimu ya namna ya kujilinda na utapeli mtandaoni kutoka Ni muhimu sana

Hii ina maana kubwa sana kwetu. Asante sana wote mnaotuunga mkono katika safari yetu ya kiu ya kuweka mazingira ya kutim...
29/09/2024

Hii ina maana kubwa sana kwetu. Asante sana wote mnaotuunga mkono katika safari yetu ya kiu ya kuweka mazingira ya kutimiza ndoto zetu na vijana wenzetu.

Haijalishi ni lini lakini kwa kuwa dhamira yetu sio kukata tamaa basi tutafanikisha.

TUNACHANGIA TABASAMU LAKO

Wakati tukiaendelea na simuliza ya safari ya DjGeric Sehemu ya 4,⏰⏰🎚. Niambie sentensi moja uliyoisikia katika sehemu ya...
28/06/2024

Wakati tukiaendelea na simuliza ya safari ya DjGeric Sehemu ya 4,⏰⏰🎚. Niambie sentensi moja uliyoisikia katika sehemu ya kwanza, pili na ya tatu.
https://youtu.be/Lq_549cpKoM

12/06/2024

I would like to appreciate the support that I earned from these few individuals and institutions that during my Journey of Finding a way of living my dreams of being a DJ and Radio presenter but also owning my own Media house.

I thank you so much that can't be even comparable to anything. To menting the few of them:-

Silverleaf Academy where I met my first mentor Kerri Gilbert and the team. Gladness Karungi Kampa she once asked me "Where do you see yourself in five years"? and I had nothing to answer but she then trained and advised me a lot.
Glory Mollel A.K.A chozi and everyone that we worked together at with our supervisor Tara Finlay Thank you so much.

So today at 1400 HRS in EAST AFRICA TIME ZONE I will be releasing my first episode of my whole Journey on youtube channel
https://youtu.be/5F6s-l8HETE so I welcome you all.

12/06/2024

Tukutane hapa saa 8 kamili ya leo

https://youtu.be/TSZ4JHS4DwM
10/06/2024

https://youtu.be/TSZ4JHS4DwM

Moja ya sifa kubwa ya chuo cha KHM VOCATIONAL TRAINING CENTER kilichopo Babati mjini ni ubora wa miundo mbinu yao: madarasa ya kisasa na vitendea kazi bora k...

https://youtu.be/QZf9_rjDcio
09/06/2024

https://youtu.be/QZf9_rjDcio

Kijana aliyepambana na kujituma kadiri ya uwezo, kupitia chanagamoto mbalimbali ili kuziishi ndoto zake.hapa anakuja kutusimulia namna alivyoweza kufanikisha...

https://youtu.be/Cvm9dOBuZ-g
09/06/2024

https://youtu.be/Cvm9dOBuZ-g

Safari ya ghafla ya Geric Media Live kuelekea HKM VTC chuo kilichopo mkoa wa manyara wilaya Babati mjini ibaini mambo kadha wa kadha katika video hii.like, s...

https://youtu.be/ljt6hXNhGq4
15/05/2024

https://youtu.be/ljt6hXNhGq4

Tazaman hapa namna vijana walivyoichambua noti ya shilingi elfu 2 kwa undani zaidi.like na subscribe ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya

https://youtu.be/6tgbblktztA
30/04/2024

https://youtu.be/6tgbblktztA

Toshaa Mc ni moja ya vipaji vikubwa sana ndani ya Babati mjini na hapa akiwa katika studio za Geric Media Live ametuma salamu kwa Stamina na Lunya.sikiliza m...

https://youtu.be/UP82PiVypLQ
06/04/2024

https://youtu.be/UP82PiVypLQ

CONTURE ni taasisi inayojihusisha na maswala ya elimu kuanzia zana, mbinu za ufundishaji mpaka ajira za walimu.wana waunganisha walimu pamoja na shule zenye ...

30/03/2024

Address

Mji Mpya
Babati

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Geric Media Live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Geric Media Live:

Videos

Share

Our story

WE DEAL WITH GRAPHICS DESIGN, BLOG DESIGN, MOBILE APPS DEVELOPING, PODCAST, SOCIAL PAGES SETUP