Safari Radio Fm

Safari Radio Fm This is the official Facebook home of Safari Media Group. Come and join us! Please remember anything

UNA MATARAJIO GANI KATIKA ZIARA HII YA MHE: RAIS KWA MIKOA YA LINDI NA MTWARA.
15/09/2023

UNA MATARAJIO GANI KATIKA ZIARA HII YA MHE: RAIS KWA MIKOA YA LINDI NA MTWARA.

JE,UNAUELEWA WOWOTE KUHUSU KATIBA YETU?SAFIRI NASI HEWANI MUDA HUUNa tupo tayari kusoma maoni yako hapa na 0742757576
12/09/2023

JE,UNAUELEWA WOWOTE KUHUSU KATIBA YETU?

SAFIRI NASI HEWANI MUDA HUU

Na tupo tayari kusoma maoni yako hapa na
0742757576

Jumatatu ya kwanza ya mwaka mpya wa fedha,je wewe umeuona mwaka mpya wa fedha?SAFIRI NASI hewani muda huu,unatusikiliza ...
03/07/2023

Jumatatu ya kwanza ya mwaka mpya wa fedha,je wewe umeuona mwaka mpya wa fedha?

SAFIRI NASI hewani muda huu,unatusikiliza kutokea wapi?

 Je' unafahamu kwamba ukiwa mchangiaji wa damu haikuzuii kupata chanjo ya uviko 19?SAFIRI NASI HEWANI MUDA HUU
10/08/2022



Je' unafahamu kwamba ukiwa mchangiaji wa damu haikuzuii kupata chanjo ya uviko 19?

SAFIRI NASI HEWANI MUDA HUU

05/08/2022

Tukio gani ambalo uliwahi kufanya ukiwa shule ya msingi na huwezi kulisahau hadi leo?

Tuachie maoni yako hapa na isikilize SAFARI RADIO kwa masafa ya 88.5 RUVUMA, 88.9 LINDI na 89.3 MTWARA.

FRESH FRIDAY IPO HEWANI MUDA HUU.

Ikiwa leo ni TBT,je chakula gani cha asili ambacho kilikuwa maarufu kwenye kabila lako na sasa hivi haukipati tena?SAFIR...
04/08/2022

Ikiwa leo ni TBT,je chakula gani cha asili ambacho kilikuwa maarufu kwenye kabila lako na sasa hivi haukipati tena?

SAFIRI NASI HEWANI MUDA HUU.

07/02/2022

Safiri Nasi ipo hewani muda huu,tuambie hapa unaisikiliza ukiwa wapi?

88.5 Ruvuma
88.9 Lindi
89.3 Mtwara

KUSINI MOJA RADIO MOJA

09/11/2021

Mashirika yasiyo ya kiserikali yamekuwa yakitekeleza miradi mbalimbali katika jamii zetu kwa lengo la kuikomboa jamii kutokana na changamoto zilizopo.
Je' wewe unafahamu umuhimu wa miradi hii inayotekelezwa kwenye jamii yako?
Tuachie maoni yako hapa

Mtwara Vijijini ina NURU?Mapema leo tutaungana mubashara Mhe.Shamsia Azizi Mtamba,Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini.Tua...
30/09/2021

Mtwara Vijijini ina NURU?
Mapema leo tutaungana mubashara Mhe.Shamsia Azizi Mtamba,Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini.

Tuachie ujumbe wako hapa na sisi tutaufikisha.

25/09/2021

: SIMBA SC - YANGA SC NGAO YA JAMII FAINALI

CHAMA Cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara kimemuagiza Mkuu wa Mkoa Brigadia Jenerali Marco Gaguti kuunda tume ambayo itafuatili...
25/08/2021

CHAMA Cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara kimemuagiza Mkuu wa Mkoa Brigadia Jenerali Marco Gaguti kuunda tume ambayo itafuatilia usimamizi wa ujenzi wa Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi VETA) kinachojengwa katika kijiji cha Chikundi wilayani Masasi.

Mwenyekiti wa CCM mkoa Yusuf Nannila amesema kuwa tume hiyo intakiwa kufuatilia kujua shilingi bilioni 1.6 zilizotolewa na serikali katika ujenzi wa chuo hicho zilivyotumika katika ujenzi wa majengo ya chuo hicho ambayo hayaendani na pesa ambazo zilitolelewa na serikali.

“Tumemuagiza mkuu wa mkoa aunde tume haraka ambayo ndani yake itakuwa na takukuru, polisi na vyombo vingine vyote vya dola kufuatilia usimamizi wa ujenzi wa VETA kujua pesa za serikali ya chama cha mapinduzi zilikwenda wapi” amesema.

Nannila ametoa maagizo hayo baada ya kikao cha halmashauri kuu Mkoa wa Mtwara kilichofanyika mkoani hapa na kutoa maazimio ya kuitaka serikali kufuatilia ujenzi wa Chuo hicho ili kujua ni kwa nini majengo ya chuo kile hayajamilika licha ya kuwa pesa iliyotolewa imekwisha.

Timu ya waandishi wahabari wa Wilaya ya Mtwara inayoshiriki mashindano ya taasisi yaliyoanzishwa na mkuu wa Wilaya ya Mt...
15/08/2021

Timu ya waandishi wahabari wa Wilaya ya Mtwara inayoshiriki mashindano ya taasisi yaliyoanzishwa na mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.Dunstan Kyobya wamekabidhiwa jezi seti moja kwaajili ya mashindano hayo kutoka kwa mdau wao KINBOSS.
"Sisi KINBOSS tofauti ya kujihusisha na shughuli za kutengeneza na kuuza vifaa vya pikpiki pia ni wadau wakubwa wa michezo,hivyo tumeamua kuwaunga mkono wanahabari kwasababu tunaamini ni timu bora k**a tulivyo bora sisi KINBOSS na tutaendelea kuwaunga mkono wanahabari na wapenda michezo wote" HAMISI CHICHI.... Muwakilishi wa KINBOSS

KUSINI MOJA RADIO MOJA

MKUU wa Mkoa wa Mtwara Brigadia Jeneral Marco Gaguti amevionya vyama vya ushirika mkoani Mtwara kuacha mara moja kujihus...
15/08/2021

MKUU wa Mkoa wa Mtwara Brigadia Jeneral Marco Gaguti amevionya vyama vya ushirika mkoani Mtwara kuacha mara moja kujihusisha na udanganyifu katika ugawaji wa viuatilifu ambavyo vimetolewa na serikali k**a ruzuku kwa wakulima wa korosho mkoani hapo.

Gaguti ametoa rai hiyo leo mara baada ya kupokea meli kubwa ya MV YASEMIN ambayo imewasilia Bandari ya Mtwara ikiwa imebeba viuatilifu tani 2850 ambavyo vimetolewa bure na serikali k**a ruzuku kwa wakulima wa korosho mkoani Mtwara, na mikoa mingine ya Kusini.

“Tuna taarifa kwamba baadhi ya vyma vya ushirika hawagawi hivi viuatilifu ambavyo vinatolewa na serikali k**a ilivyokusudiwa na natoa rai kwa wale wanaojihusisha na udanganyifu huo kuacha mara moja,” amesema na kusema serikali itachukua hatua mara moja kwa wale watakoabainika kufanya undanganyifu.

KUSINI MOJA RADIO MOJA

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Kijana mmoja anayeitwa Jabir Hamis Mohamed mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa ...
14/08/2021

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Kijana mmoja anayeitwa Jabir Hamis Mohamed mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa Mbae mkoani humo kwa kosa la kuhusika na matukio ya ukatili na upotevu watoto wa watatu wa k**e.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoani Mtwara ACP Mark Njera amesema mtuhumiwa huyo amekatwa Agosti 12 mwaka huu, baada ya kufanyika uchunguzi.
Njera amefafanua kuwa mtuhumiwa huyo alianza kufanya matukio hayo tangu mwezi Juni mwaka huu.

KUSINI MOJA RADIO MOJA

Meli kubwa iliyobeba viuatilifu imewasili leo katika Bandari ya Mtwara, Mkoani Mtwara ikiwa imebeba tani 2,850 Kwa ajili...
14/08/2021

Meli kubwa iliyobeba viuatilifu imewasili leo katika Bandari ya Mtwara, Mkoani Mtwara ikiwa imebeba tani 2,850 Kwa ajili ya kutibu magonjwa ya Korosho.

Meli hiyo ya MV YASEMIN imetua katika Bandari ya Mtwara ikitokea nchi za Kiarabu.

Akizungumza mara baada ya Meli hiyo kuwasili, Meneja wa Bandari ya Mtwara Mhandisi Juma Kijavara amesema ujio wa Meli hiyo ni kutokana na mikakati ya Serikali na mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) kuhakikisha Bandari hiyo inafanya kazi muda wote mara baada ya kukamilika kwa maboresho makubwa ambayo yalifanywa na Serikali katika Bandari hiyo.

KUSINI MOJA RADIO MOJA

Leo kwenye  tupo na  muigizaji mkongwe kwenye Tasnia ya filamu bongo movie  Sikiliza Safari Radio FM..Show inasimamiwa n...
28/07/2021

Leo kwenye tupo na muigizaji mkongwe kwenye Tasnia ya filamu bongo movie

Sikiliza Safari Radio FM..

Show inasimamiwa na

Digital

26/07/2021

​ : MAKAMU WA RAIS AKIWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI (MITENGO)

"Hospital ya Rufaa ya Kanda ya Kusini,imekamilika kwa 97% na matarajio ifikapo mwezi wa nane hosptali itakuwa imekamilik...
26/07/2021

"Hospital ya Rufaa ya Kanda ya Kusini,imekamilika kwa 97% na matarajio ifikapo mwezi wa nane hosptali itakuwa imekamilika kwa 100%,hivyo leo Makamu wa Rais Mhe.Dk Philip Mpango anaweka jiwe la msingi kuashiria kukamilika, kwahiyo tunawaomba wanaMtwara na wananchi wote kwa ujumla kujitokeza kwenye shughuli hii muhimu itakayofanyika eneo la mradi pale Mitengo" MUUNGANO Saguya Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika La Nyumba La Taifa(NHC)

  Chati ya Ngoma kali 20 Bora zinazofanya vizuri kusini mwa Tanzania@officialkilly_tz@ Producer  Digital
18/07/2021

Chati ya Ngoma kali 20 Bora zinazofanya vizuri kusini mwa Tanzania


@officialkilly_tz
@










Producer
Digital

Kesho Mtwara inahamia LABAMBA BAR AND GRILL (Zamani GR7) kwaajili ya shughuli moja tu "NEXT LEVEL BASH"KUSINI MOJA RADIO...
16/07/2021

Kesho Mtwara inahamia LABAMBA BAR AND GRILL (Zamani GR7) kwaajili ya shughuli moja tu "NEXT LEVEL BASH"

KUSINI MOJA RADIO MOJA

Katika kupambana na wimbi la tatu la ugonjwa wa  Uviko (Covid 19)  Kiwanda cha Dangote mkoani Mtwara Kimetoa msaada wa b...
13/07/2021

Katika kupambana na wimbi la tatu la ugonjwa wa Uviko (Covid 19) Kiwanda cha Dangote mkoani Mtwara Kimetoa msaada wa barakoa zaidi ya 1500 kwa kaya maskini na wazee wanaoishi katika vijiji jirani na kiwanda hicho.

Msaada huo umetolewa na uongozi wa Dangote kupitia Afisa uhusiano wake Siraji Nalikame katika shule ya msingi Msijite.

Barakoa izo 1500 zitagaiwa kwa vijiji 13 vinavyokizunguka kiwanda cha Dangote ltd.

Mhe. Mbunge viti Maalum (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Mariam Madalu Nyoka, akipiga goti kuwashukuru wajumbe wa UWT Jimbo la Song...
13/07/2021

Mhe. Mbunge viti Maalum (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Mariam Madalu Nyoka, akipiga goti kuwashukuru wajumbe wa UWT Jimbo la Songea Mjini katika Ukumbi wa CCM tawi la Mjini Songea Manispaa, akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kuwashukuru wajumbe wa Mkoa Ruvuma. Ziara hiyo ilianzia Wilaya ya Tunduru, Namtumbo, Jimbo la Songea Vijijini ,Madaba na kesho atakuwa wilaya ya Mbinga hatimaye Nyasa.

KUSINI MOJA RADIO MOJA

Hatimaye Italy kawa bingwa wa EURO2020 baada ya kumfunga England kwa mikwaju ya Penati 3-2 Baada ya dakika 120 kumalizik...
11/07/2021

Hatimaye Italy kawa bingwa wa EURO2020 baada ya kumfunga England kwa mikwaju ya Penati 3-2

Baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya 1-1

Unajua kinachoenda kutokea usiku wa leo kwenye FRESH FRIDAY?Usikose kuungana na pindi hili la kijanja kuanzia saa nne ka...
09/07/2021

Unajua kinachoenda kutokea usiku wa leo kwenye FRESH FRIDAY?
Usikose kuungana na pindi hili la kijanja kuanzia saa nne kamili usiku.

KUSINI MOJA RADIO MOJA

Tupo live kutokea uwanja wa Mkapa muda huu.
03/07/2021

Tupo live kutokea uwanja wa Mkapa muda huu.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiwasili katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwar...
02/07/2021

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiwasili katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara tayari kwa ajili ya kufunga Mashindano ya Kitaifa ya UMISSETA 2021.

Waziri Bashungwa ameshuhudia mchezo wa fainali kati ya Mtwara na Pemba ambapo Pemba wameshinda dhidi ya Mtwara kwa goli 2-1.

Fainali ya UMISSETA kati Mtwara 1 Vs Pemba 1Kipindi cha pili.
02/07/2021

Fainali ya UMISSETA kati Mtwara 1 Vs Pemba 1
Kipindi cha pili.

"Raha Ya Wikend Uanze Na Vibe So Tupo Tayari Kukaa Na Marafiki Kwaajili Ya Burudani Non-Stop Yani Ni Mwendo Wa........ N...
01/07/2021

"Raha Ya Wikend Uanze Na Vibe So Tupo Tayari Kukaa Na Marafiki Kwaajili Ya Burudani Non-Stop Yani Ni Mwendo Wa........ Na Kunywa Buuuuureeeee"

Subiri Mualiko Maana Jambo Ni Ijumaa Ya Kesho

KUSINI MOJA RADIO MOJA.

"Tunawasisitiza wateja wa Umeme wawatumie wakandarasi waliosajiliwa kwasababu mtandao wa Umeme umekuwa na kuwatumia hawa...
27/06/2021

"Tunawasisitiza wateja wa Umeme wawatumie wakandarasi waliosajiliwa kwasababu mtandao wa Umeme umekuwa na kuwatumia hawa ni dhamana,endapo likitokea jambo lolote ni rahisi kusaidika kwasababu umehudumiwa na watu wanaotambulika na mamlaka,hivyo msitumie vishoka kuepuka madhara na gharama za ziada" Fredy Kayega...Meneja Afya Na Usalama Pahala Pa Kazi Tanesco Makao Makuu, Dodoma.

"Tanesco tumefanikiwa kufikisha umeme kwenye vijiji vingi na tumefika hadi kwenye vitongoji,vipo baadhi ya vitongoji bad...
27/06/2021

"Tanesco tumefanikiwa kufikisha umeme kwenye vijiji vingi na tumefika hadi kwenye vitongoji,vipo baadhi ya vitongoji bado havijafikiwa na umeme,nataka niwahakikishie wanamtwara wakati tunamaliza vijiji 384 vilivyosalia kupata umeme tutakuja na mkakati wa vitongoji vyote kupata umeme hapa Mtwara na Tanzania kwa ujumla" Mwl.Mussa K.Chowo..... Meneja Masoko Tanesco Makao Makuu, Dodoma

Address

Arusha
<<NOT-APPLICABLE>>

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safari Radio Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Safari Radio Fm:

Videos

Share

Category



You may also like