Nartseh Media On YouTube

Nartseh Media On YouTube Official Page

tiktok.com/

Content creator❣

https://youtu.be/-ouJUD2O2mM 󱢏❣❣❣
(25)

RIP 😪😭tumekua na wewe leo siamini hauyuko na sisi tena 😂 We loved you but our stomach loved you more 😭😭  fans
26/12/2024

RIP 😪😭tumekua na wewe leo siamini hauyuko na sisi tena 😂 We loved you but our stomach loved you more 😭😭 fans

20/04/2024

Follow 4 follow
Let's grow together
✨💫

20/04/2024

Leta page yako tuku Follow

Meanwhile ADD Nartseh 254

Meet King Tizian village boy and King Tizian TikTok Star.Pesa ni soap noma!
02/04/2024

Meet King Tizian village boy and King Tizian TikTok Star.Pesa ni soap noma!

Only great people will like this photo 💗
12/03/2024

Only great people will like this photo 💗

Hii Gari Inatumikaga Kwa Kazi Mingi,Ebu Taja Kazi Moja😂😂
19/01/2024

Hii Gari Inatumikaga Kwa Kazi Mingi,Ebu Taja Kazi Moja😂😂

Harmonize na Marioo wanarudi tena studio kufanya Amapiano.Marioo akifurahia na kurudisha Shukrani kwa mashabiki wake kwe...
18/01/2024

Harmonize na Marioo wanarudi tena studio kufanya Amapiano.

Marioo akifurahia na kurudisha Shukrani kwa mashabiki wake kwenye moja ya post yake Instagram Harmonize alicomment kwa kuandika mashabiki wanataka kolabo ya Amapiano sasa.

Kwenye kolabo za nyimbo zao mbili walizofanya pamoja na Marioo amemshirikisha Harmonize zote.
Wakifanya kolabo nyingine ya Amapiano uenda ikawa ya Harmonize.

Amapiano ya Harmonize na Marioo dhidi ya Ile ya Diamond Platnumz ambayo inaachiwa karibuni... Nani atapiga kali zaidi?

"Naomba nikiri leo kuwa Mariam Ismail ni mmoja kati ya waigizaji watatu wa k**e ambao wakiwa set naduwaa kuwaangalia na ...
16/01/2024

"Naomba nikiri leo kuwa Mariam Ismail ni mmoja kati ya waigizaji watatu wa k**e ambao wakiwa set naduwaa kuwaangalia na nikipangwa nao najiandaa kwa muda mrefu. Hajawahi kupata tuzo masikini wala hana followers wengi, lakini kwangu ni mmoja wa waigizaji bora tulionao" ~JB, Muigizaji filamu Bongo.

"Mungu akupe afya njema uzidi kutupa raha, jamani sio Birthday yake, nimejisikia tu kumpa maua yake na nitakuwa na utaratibu huu wa kuwapa maua na wengine " ~JB.

“Rosecoco Yake Ni Yangu Pekee!”,Diamond Warns Men Against Trying To Seduce Zuchu
04/01/2024

“Rosecoco Yake Ni Yangu Pekee!”,Diamond Warns Men Against Trying To Seduce Zuchu

  Msanii   amefunguka kuwa kuna baadhi ya watu ndio walisababisha yeye kutosainiwa kwenye Lebo ya   Wasafi na story iko ...
01/01/2024


Msanii amefunguka kuwa kuna baadhi ya watu ndio walisababisha yeye kutosainiwa kwenye Lebo ya Wasafi na story iko hivi
"alienda katika studio za wasafi arekodi nyimbo ili Diamond aisikilize na kuona kipaji chake ili asajiliwe, lakini ikashindikana kwasababu pesa aliyolipa kurekodi wimbo ma-producer walikula na hawakumfikishia ujumbe wowote kuhusu ".


"Aslay Ataongeza Nguvu Kwenye Label" ~Mbosso Afunguka Kuwa Angefurahi Aslay Kujiunga Na WCB Wasafi."Mimi sio Diamond,mim...
31/12/2023

"Aslay Ataongeza Nguvu Kwenye Label" ~Mbosso Afunguka Kuwa Angefurahi Aslay Kujiunga Na WCB Wasafi.
"Mimi sio Diamond,mimi ni msanii ambaye natamani kuona wasanii wenzangu wakifanikiwa kwa hiyo akiwepo Wasafi,kwangu itakuwa furaha zaidi kwa sababu lebo inaongezeka nguvu na ni msanii mzuri mwenye talent kubwa" ~Mbosso asema.

"Mama yangu alikuwa ni mwalimu ilibidi aende kunikopea pesa benki na vikoba ili niweze kugharamia video ya wimbo wangu w...
30/12/2023

"Mama yangu alikuwa ni mwalimu ilibidi aende kunikopea pesa benki na vikoba ili niweze kugharamia video ya wimbo wangu wa kwanza na Ben Pol, sikuwa na sehemu ya kulala Dar es salaam ilibidi niwe nalala studio"- Maua Sama

Jay Melody ametoa ngoma inaitwa "Baridi" baada ya kutangaza kuacha muziki siku chache zilizopita!!
28/12/2023

Jay Melody ametoa ngoma inaitwa "Baridi" baada ya kutangaza kuacha muziki siku chache zilizopita!!

"MSINISHINDANISHE NA DIAMOND MNANIHARIBIA SANA."~CHINO."Sipendezwi na kitendo cha mashabiki kunishindanisha  na wasanii ...
23/12/2023

"MSINISHINDANISHE NA DIAMOND MNANIHARIBIA SANA."~CHINO.
"Sipendezwi na kitendo cha mashabiki kunishindanisha na wasanii wakubwa walionitangulia wakiwemo Diamond Platnumz,Costa Titch,hii inaniharibia kwa sababu bado nahitaji msaada na sapoti kubwa kutoka kwa kaka zangu hivyo wanaponishindanisha wananiharibia kwa sababu wananitengenezea chuki baina yangu na wasanii wakubwa".~Chino Kidd msanii wa Bongo.

Beb nko na mimba ☺️☺️Jibu k**a Dj afro 😂😂Follow Nartseh 2544
16/12/2023

Beb nko na mimba ☺️☺️
Jibu k**a Dj afro 😂😂
Follow Nartseh 2544

WaKikuyu semeni ooyea 🫣🫢😂😂😂 nilijua tu …gathufu was the problem🙈🙈😂😂🤣🤣
02/12/2023

WaKikuyu semeni ooyea 🫣🫢😂😂😂 nilijua tu …gathufu was the problem🙈🙈😂😂🤣🤣

Address

Upper Hill
161

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nartseh Media On YouTube posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nartseh Media On YouTube:

Videos

Share

Category