REF FM KK Radio

  • Home
  • REF FM KK Radio

REF FM KK Radio REF FM KK is a community-based radio station in refugee settlement Kalobeyei, next to refugee camp Kakuma in the North-western part of Kenya.
(1)

The station is run by and for refugees and host communities.

Karibu ndani ya   na George Olwanda tukujuze yanayojiri na kukupa burudani hadi 10am. Je, unategea ukiwa wapi? Zungumza ...
24/07/2024

Karibu ndani ya na George Olwanda tukujuze yanayojiri na kukupa burudani hadi 10am. Je, unategea ukiwa wapi? Zungumza nasi kupitia 0110944006.

Demonstrations !! are the on going demonstration soon give the citizens their rights or causing distraction of propertie...
23/07/2024

Demonstrations !! are the on going demonstration soon give the citizens their rights or causing distraction of properties within the country.??
Join us in the Entertainment show from 1pm - 4pm and tell us your opinion on our studio line :0110944006
with- Makali Mamba and Sunny Akolda

  Tuesday edition na George Olwanda 6am-10am. Karibu tupige gumzo tukikujuza mengi yanayojiri humu kambini na nje ya kam...
23/07/2024

Tuesday edition na George Olwanda 6am-10am. Karibu tupige gumzo tukikujuza mengi yanayojiri humu kambini na nje ya kambi. Zungumza nasi kupitia 0110944006.

It's a feel good Friday karibu ndani ya   na George Olwanda hadi 10am. Kwenye sanaa na burudani;je wasani wa jamii wana ...
19/07/2024

It's a feel good Friday karibu ndani ya na George Olwanda hadi 10am. Kwenye sanaa na burudani;je wasani wa jamii wana jukumu la kuendeleza jumbe za amani kwa jamii kupitia kazi zao? Zungumza nasi kupitia 0110944006.

Youth Leadership in Today's Society 🎙️In today Entertainment show, we ask, are youth merely future leaders, or are they ...
18/07/2024

Youth Leadership in Today's Society 🎙️

In today Entertainment show, we ask, are youth merely future leaders, or are they shaping our world right now?

Join Sunny Akolda and Makali Mamba in the studio from 1pm to 4pm in discussion on the crucial role of youths in leadership and explore their innovative ideas, digital influence, and passion for change.

Shared your feedback through studio number 011094406

It's a TBT,Gen z wanasema   must Go na form ni kuanguka nayo,je mazungumzo yatasaidia kubadilisha Hali?zungumza nasi kup...
18/07/2024

It's a TBT,Gen z wanasema must Go na form ni kuanguka nayo,je mazungumzo yatasaidia kubadilisha Hali?zungumza nasi kupitia 0110944006.

Karibu ndani ya   na George Olwanda kwanzia 6am-10am. Hii leo tunaangazia umuhimu wa amani katika jamii. Katika magazeti...
16/07/2024

Karibu ndani ya na George Olwanda kwanzia 6am-10am. Hii leo tunaangazia umuhimu wa amani katika jamii. Katika magazeti; vijana waapa kurejelea maandamano hii leo huku rais William Ruto akisema kuwa vijana hao wanafadhiliwa. Je, unategea ukiwa wapi? Zungumza nasi 0110944006.

  Monday edition na George Olwanda kwanzia 6am-10am. Je, umeanza vipi wiki? Kwenye magazeti leo, maafisa wa polisi waanz...
15/07/2024

Monday edition na George Olwanda kwanzia 6am-10am. Je, umeanza vipi wiki? Kwenye magazeti leo, maafisa wa polisi waanza uchunguzi kuhusu miili zaidi ya siti iliyopatikana katika jalala la Kware, Nairobi na hatima ya mazungumzo ya amani kati ya rais William Ruto na upinzani na washikadau haijulikani hadi aasa. Zungumza nasi kupitia 0110944006.

  Friday edition naye George Olwanda hadi 10am. Je, unategea ukiwa wapi? Rais William Ruto awafuta kazi mawaziri wote pa...
12/07/2024

Friday edition naye George Olwanda hadi 10am. Je, unategea ukiwa wapi? Rais William Ruto awafuta kazi mawaziri wote pamoja na mwanasheria mkuu na hapa kambini Kalobeyei hali ya kawaida imeanza kurejea huku shughuli za kawaida zikishuhudiwa. Zungumza nasi kupitia 0110944006.

Good morning na karibu ndani ya   naye George Olwanda hadi 10am. Leo tunaangazia siku ya uhuru nchini South Sudan,vijani...
09/07/2024

Good morning na karibu ndani ya naye George Olwanda hadi 10am. Leo tunaangazia siku ya uhuru nchini South Sudan,vijani watarajiwa kuandamana kote nchini. Je, unategea ukiwa wapi? Zungumza nasi kupitia 0110944006.

  na George Olwanda saa 6am-10am,je wiki imeakuanzia vipi? Magazetini;Rais William Ruto bado anashinikizwa na Gen-Z kufa...
08/07/2024

na George Olwanda saa 6am-10am,je wiki imeakuanzia vipi? Magazetini;Rais William Ruto bado anashinikizwa na Gen-Z kufanya mabadiliko kwenye baraza lake. Zungumza nasi kupitia 0110944006.

  TBT edition naye George Olwanda saa 6am-10am,je, umeanza asubuhi yako vipi? Kwenye magazeti leo; rais William Ruto hue...
04/07/2024

TBT edition naye George Olwanda saa 6am-10am,je, umeanza asubuhi yako vipi? Kwenye magazeti leo; rais William Ruto huenda akafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri na kutema waliohusika na ufisadi. Zungumza nasi kupitia 0110944006.


  na George Olwanda kwanzia 6am-10am. Je unategea ukiwa wapi? Magazetini ni kuwa rais William Ruto atakiwa kutatua maswa...
02/07/2024

na George Olwanda kwanzia 6am-10am. Je unategea ukiwa wapi? Magazetini ni kuwa rais William Ruto atakiwa kutatua maswala yanayoibuliwa bila kualika mazungumzo ya kitaifa. Ungani hadi 10am tukujuze mengi. Wasiliana nasi kupitia 0110944006.

🎓 Exciting morning! Join us on the Jasho Langu program from 11am to 12pm as we host Mentorship Club students from Southe...
28/06/2024

🎓 Exciting morning! Join us on the Jasho Langu program from 11am to 12pm as we host Mentorship Club students from Southern New Hampshire University. Discover amazing higher education opportunities after secondary school being implemented by JRS. Don’t miss it! 📚✨

📞 Send your feedback to 0110944006

  naye George Olwanda kwanzia saa 6am-10am,je unategea ukiwa wapi. Je,hali ya usalama iko vipi uliko? Zungumza nasi kupi...
26/06/2024

naye George Olwanda kwanzia saa 6am-10am,je unategea ukiwa wapi. Je,hali ya usalama iko vipi uliko? Zungumza nasi kupitia 0110944006.

  naye George Olwanda kwanzia saa 6am-10am. Katika awamu ya mwisho leo tutazungumza naye Bwana Muteti kutoka shirila la ...
23/05/2024

naye George Olwanda kwanzia saa 6am-10am. Katika awamu ya mwisho leo tutazungumza naye Bwana Muteti kutoka shirila la Kenya Red Cross Society kuhusu ugonjwa wa Bipolar. Je unategea ukiwa wapi? Wasiliana nasi kupitia 0110944006
www.ref-fmkk.com

Get the best music and great conversations this afternoon with Simon Aheri from 1pm-4pm as he talks about education with...
22/05/2024

Get the best music and great conversations this afternoon with Simon Aheri from 1pm-4pm as he talks about education with FCA Kenya representatives. Call in live 0110944006.
www.ref-fmkk.com

  awamu ya mwisho 9am-10am tuko naye Bwana David Muteti afisa kutoka shirika la Kenya Red Cross Society tutazungumzia ku...
22/05/2024

awamu ya mwisho 9am-10am tuko naye Bwana David Muteti afisa kutoka shirika la Kenya Red Cross Society tutazungumzia kuhusu msongo wa mawazo au post-traumatic stress disorder. Zungumza nasi kupitia 0110944006.
www.ref-fmkk.com

  naye George Olwanda kwanzia saa 6am-10am. Je unategea ukiwa wapi? Kwenye magazeti hii Leo: Rais William Ruto aendeleza...
22/05/2024

naye George Olwanda kwanzia saa 6am-10am. Je unategea ukiwa wapi? Kwenye magazeti hii Leo: Rais William Ruto aendeleza ziara yake Marekani, serikali yakusanya ushuru wa shilingi bilioni 34 kutoka kwa ushuru wa nyumba.
Zungumza nasi kupitia 0110944006.

www.ref-fmkk.com

  nay Ivy Sipo kwanzia saa 10am-1pm. Je unasikiliza ukiwa wapi? Hii leo tunao maafisa wa watoto kutoka shirika la Terre ...
21/05/2024

nay Ivy Sipo kwanzia saa 10am-1pm. Je unasikiliza ukiwa wapi? Hii leo tunao maafisa wa watoto kutoka shirika la Terre des hommes Kakuma, tutazungumzia mimba za mapema au teenage pregnancies. Wasiliana nasi kupitia 0110944006.

www.ref-fmkk.com

Stay tuned for information on menstrual hygiene with Ivy Sipo  in JashoLangu show from 10am-1pm. Call in live via 011094...
15/05/2024

Stay tuned for information on menstrual hygiene with Ivy Sipo in JashoLangu show from 10am-1pm. Call in live via 0110944006.
www.ref-fmkk.com.

On May 10th, 2024, the environmental consciousness of REF FM KK Radio  team shone brightly as they participated in tree ...
10/05/2024

On May 10th, 2024, the environmental consciousness of REF FM KK Radio team shone brightly as they participated in tree planting activities. With a commitment to sustainability, they eagerly planted three seedlings, contributing to the noble cause of greening the planet. Their dedication to environmental stewardship not only symbolizes their care for the Earth but also sets an inspiring example for others to follow. Through such initiatives,REF FM KK team demonstrates their proactive approach in mitigating climate change and preserving our natural resources for generations to come FilmAid Kenya REF FM Radio

10/05/2024
Good morning na karibu ndani ya   TBT edition naye George Olwanda kwanzia saa 6am-10am, je unategea ukiwa wapi? Magazeti...
09/05/2024

Good morning na karibu ndani ya TBT edition naye George Olwanda kwanzia saa 6am-10am, je unategea ukiwa wapi? Magazeti; rais aagiza shule kufunguliwa Jumatatu na mgomo wa madaktari wasitishwa. Zungumza nasi kupitia 0110944006

www.ref-fmkk.com

It's a WCW,let's talk about narcissists,have you ever been in a relationship with people with this condition ?share your...
08/05/2024

It's a WCW,let's talk about narcissists,have you ever been in a relationship with people with this condition ?share your experience via our studio number 0110944006

Karibu ndani ya jasho langu Leo ikiwa business Tuesday,wafanyibiashara wafanye vipi ili kuepuka madeni yanayosababishwa ...
07/05/2024

Karibu ndani ya jasho langu Leo ikiwa business Tuesday,wafanyibiashara wafanye vipi ili kuepuka madeni yanayosababishwa na wateja huususan wa bamba chakula?zungumza na Ivy Sipo kupitia 0110944006.Usemi wako sauti yetu

Karibu katika awamu ya pili ya jasho langu,je ni vyema kwa viongozi wa makanisha kuingia katika mitandao ya tiktok na ku...
26/04/2024

Karibu katika awamu ya pili ya jasho langu,je ni vyema kwa viongozi wa makanisha kuingia katika mitandao ya tiktok na kuitisha pesa kwa njia ya "gifts"?

23/04/2024

World Food Program WFP has postponed the Proof of Life and help-desk activity scheduled todayTuesday, April 23rd to Friday, April 26th, due to the demonstrations held, Monday, April 22nd, which resulted in theft and vandalism at the WFP verification site.

On Monday, April 22nd, Refugees in the Kalobeyei settlement held demonstration as a response to a disagreement between the community leaders and the UNHCR and its partner, the World Food Program (WFP), regarding an impending reduction in food rations.

Last Wednesday, April 17th, the UNHCR and WFP conducted a meeting with the refugee community leaders to inform them about the potential funding shortage and the decision to decrease the food ratio. However, the community leaders were unsatisfied and walked out of the meeting in protest, considering it to be an unfortunate decision made by the organizations.

According to a document obtained by REF FM KK, the reduction in food rations is scheduled to take effect in May, decreasing the current ratio from 50% to 40%. This change is expected to affect the mobile money wired through restricted M-pesa numbers known as Bamba Chakula and Bamba Chapaa.

Address

Kalobeyei Village 1

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when REF FM KK Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to REF FM KK Radio:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share