Live24.co.ke

Live24.co.ke Live24 focuses on news, politics, sports, and entertainment. It's owned by Ngasu Media Studios

Rapa huyo wa β€œGasolina”, ambaye alistaafu kucheza mwaka jana ili kuweka upya maisha yake kwa imani yake ya Kikristo, ali...
08/12/2024

Rapa huyo wa β€œGasolina”, ambaye alistaafu kucheza mwaka jana ili kuweka upya maisha yake kwa imani yake ya Kikristo, alitangaza mgawanyiko huo Jumatatu kwenye ukurasa wake wa Instagram.
πŸ‘‡πŸŽ€πŸŽΌ

CELEBRITIES

Ni nini kinachopelekea baadhi ya wanaume kuona aibu kuongozana na wake zao njiani?
23/10/2024

Ni nini kinachopelekea baadhi ya wanaume kuona aibu kuongozana na wake zao njiani?

π—’π—™π—™π—œπ—–π—œπ—”π—ŸπŸš¨πŸš¨πŸš¨: Andre Onana has been named Manchester United's Player of the Month and won Premier League Save of the Month...
19/10/2024

π—’π—™π—™π—œπ—–π—œπ—”π—ŸπŸš¨πŸš¨πŸš¨: Andre Onana has been named Manchester United's Player of the Month and won Premier League Save of the Month.

https://ngasumedia.co.ke/category/news/sports/

19/10/2024
JE, WAJUA ?___________Nyuki dume hufa akiwa 'kileleni' sekunde chache baada ya kumaliza kumwaga manii zake ndani ya uke ...
19/10/2024

JE, WAJUA ?
___________
Nyuki dume hufa akiwa 'kileleni' sekunde chache baada ya kumaliza kumwaga manii zake ndani ya uke wa nyuki jike maarufu k**a Malkia.
Kifo hicho husababishwa na raha anayoipata wakati wa 'kumaliza' inayompelekea kutumia nguvu nyingi kujikamua hivyo korodani zake kupasuka na yeye kufa.
Kitendo hicho hufanyika wakati maelfu ya madume ya nyuki yakiwa kwenye foleni ya kupigania kila mmoja kupata fursa hiyo adhimu kwao.
Maelfu wa nyuki hao humkimbiza malkia ili kufanya naye tendo la ngono hali ya kuwa wanajua kitakachowapata baada ya kumaliza tendo hilo ni kifo.
Baada ya nyuki wa kwanza kufa, nyuki wanaofuata huendelea kupigana ili kupata nafasi ya kufanya ngono na malkia bila kujali kifo kinachowasubiri.
Ili kuonesha kuwa wamedhamiria, nyuki hao humsubiri nyuki anayefanya ngono na malkia aanguke chini na kufa, na nyuki anayefuata hulifanya tendo hilo kwa raha ile ile mpaka mauti kumfika.
Wakati wote huo malkia huendelea kutoa huduma ya penzi kwa maelfu ya nyuki hao zamu kwa zamu, huku madume hayo yakiendelea kufa kwa kupigana na wengine wakifa baada ya kumaliza kufanya ngono naye.
Kitendo hicho huzidi kumpa nguvu, afya na uhai zaidi malkia kwa sababu humfanya kuweza kuhifadhi mbegu nyingi sana zinazoweza kumfanya kupata maelfu ya watoto kutoka kwa baba (nyuki) tofauti tofauti.
Mpaka kumalizika kwa tendo hilo, malkia wa nyuki hukadiriwa kufanya ngono na mamia wa nyuki wanaoishia kufa, huku yeye akibaki mwenye afya zaidi kwa ajili ya kibarua kinachomsubiri cha kuleta uzao utakaofuata.

Pastor Dorcas Rigathi, wife to the Former Deputy President Rigathi Gachagua Turns 59 years today!
18/10/2024

Pastor Dorcas Rigathi, wife to the Former Deputy President Rigathi Gachagua Turns 59 years today!

BREAKING: President William Ruto nominates Interior Cabinet Secretary Kithure Kindiki as Deputy President to replace the...
18/10/2024

BREAKING: President William Ruto nominates Interior Cabinet Secretary Kithure Kindiki as Deputy President to replace the impeached Rigathi Gachagua.

Senate Speaker Amason Kingi directs Inspector General of Police Police IG Douglas Kanja to arrest and present Isiolo Gov...
15/10/2024

Senate Speaker Amason Kingi directs Inspector General of Police Police IG Douglas Kanja to arrest and present Isiolo Governor Abdi Guyo before the Senate after failing several times to appear before Senate Committees!

https://ngasumedia.co.ke/category/politics/

High court declines to stop DP Gachagua impeachment proceedings at the Senate; says that the doctrine of separation of p...
15/10/2024

High court declines to stop DP Gachagua impeachment proceedings at the Senate; says that the doctrine of separation of powers must be respected by all arms of govt.
πŸ‘‡πŸ”₯

POLITICS

Anauliza muigizaji na mchekeshaji  baada ya kuandika "Hivi mwanaume anapopiga goti kumvisha pete mwanamke akimuomba kuwa...
15/10/2024

Anauliza muigizaji na mchekeshaji baada ya kuandika "Hivi mwanaume anapopiga goti kumvisha pete mwanamke akimuomba kuwa mke wake imeanzia wapi na lini? Kwenye dini sijaisoma".
Nawewe wawezakupiga goti muda wakuvisha pete?
πŸ‘‡
https://ngasumedia.co.ke/category/entertainment/

https://youtu.be/g7GrT5-tmHY
14/10/2024

https://youtu.be/g7GrT5-tmHY

"Sasa wewe Dem wa Facebook unataka mzungu na akianza kukugombanisha kwa kizungu utajibu nini? Mimi Bwanangu na mtoto wangu ni American Citizens"~Dem wa Faceb...

Makueni Senator Dan Maanzo accuses Adani Group of financing Raila Odinga's campaigns in 2012 and brokering Opiyo Wandayi...
14/10/2024

Makueni Senator Dan Maanzo accuses Adani Group of financing Raila Odinga's campaigns in 2012 and brokering Opiyo Wandayi's appointment into President William Ruto's Cabinet.

https://ngasumedia.co.ke/

https://youtu.be/7gE20AGHe6Y
14/10/2024

https://youtu.be/7gE20AGHe6Y

"Wakenya wako na wivu wanasumbua na depression alafu wanakuja online wanatusi Cassypool alafu wanaskia vizuri!! Mimi nimekua international usinulize swali za...

Address

Taveta
80302

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Live24.co.ke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Live24.co.ke:

Videos

Share