End Femicide movement was held at Nakeel Stadium, Kajiado. The event highlighted the alarming rise in femicide cases in Kenya, calling for stronger policies, accountability, and community-driven solutions to fight gender-based violence.
Turaco camp Oloolua forest is the best place to celebrate your valentine's day
Turaco camp Oloolua forest is the best place to celebrate your valentine's day
MCA'S hawana makosa hata kidogo hizi miradi zote ambazo hazijaanza ama kuisha sio makosa yao shinda ni executive
KIKAO CHA KISIASA NA MALIK MUREU SEHEMU YA TATU
Mwananchi wa kawaida anafa kusimamia mradi wa maendeleo unaofanywa katika maeneo yao, ushauri wangu kwa viongozi waunde kamati ya maendeleo kutoka kila kitongoji hadi vijijini ili mradi usifanyike vizuri wasilaumu viongozi.
Malik Mureu
Follow Smart k Media
Director Kaara Wa Miti
Location. Turaco camp Oloolua picnic site
KIKAO CHA KISIASA NA MALIK MUREU SEHEMU YA PILI
The community must organize themselves as a gated community. no leader should start a project without involving the residents. If a project is in area B let's have a committee responsible for the project
Malik Mureu
Smart k Media
Director Kaara Wa Miti
Location Turaco camp Oloolua picnic site
Senator Samuel Hon. Kanar Seki thank you for supporting our project for construction of a public toilet at Embul-bul cemetery
David Langat youth leader
KIKAO CHA KISIASA NA MALIK MUREU SEHEMU YA KWANZA
Tusipoacha siasa za pesa kajiado kamwe hatakuwa na mwanamke aliyechaguliwa kuwa Mca
Malik Mureu
Recorded at Turaco camp Oloolua picnic site
Director Kaara Wa Miti
We will support any leader as long as they respect the people of kajiado North. We will walk with kiongozi Daniel Ole Tinaai as long as he respects our people.
Ngong ward Mca Mbiriri Mwaura
Mbiriri Mwaura - MCA Ngong
Ni vibaya sana kupanga wamama wakatusi wamuchomba. Yeye ali address Leah mbona Leah asijibu yeye mwenyewe? yeye aliambiwa ni mrembo akuje ajibu. Lakini mambo ya kupanga wamama wakatusi mama mwenzao ni vibaya sana.
Mary Molinka
Alex Maina wewe ndio ulituletea Gavana Lenku so Wacha Kusema hafanyi kazi. Àlafu Wacha kutusi Ngogoyo kabisa.
Mary Molinka kangawa
According to the report given to the family the two girls died by drowning in kianugu dam.
The postmortem of the two girls whose bodies were retrieved from a dam in Oloolua was done at Ngong Sub County Funeral Home.