Smart k Media

Smart k Media Smart k Media is a privately owned community media Company Our focus is to publish reallocal stories Smart k Media is a privately owned community media Company.

Our focus is to publish real local stories that are not usually covered by national media. We cover Kajiado North kajiado East kajiado west and kajiado Central Community

18/01/2025

Zahanati ya Oloolua wanawake wanajifungua wakimulikiwa na tochi usiku Kwa kukosa kulipiwa token🤣

MASAIBU YA ZAHANATI YA OLOOLUA PART 1

Kwa takriban mwezi mmoja sasa zahanati ya Oloolua katika kata ya Oloolua iko Kwa giza Kwa ukosefu wa kulipia token
Hon Eli Gor
Martin Moshisho Martine Deputy Governor Kajiado
H.E. Joseph Ole Lenku, EGH
Hon. Kanar Seki
HE Onesmus Ngogoyo
Ngogoyo Onesmus

17/01/2025

Kajiado North Mp Onesmus Ngogoyo sings Kasongo Anthem in Parliament after submitting his remake

17/01/2025

“Fight for your rights. Sio kukaa hapo mali yenyu ichukuliwe na nyinyi mumeitolea jasho. Pambaneni.”Former President Uhuru Kenyatta encourages Gen Zs

Kenyans are watching have you followed our TikTok account @ Smart k Media.Follow and let's engage on community based sto...
17/01/2025

Kenyans are watching have you followed our TikTok account @ Smart k Media.
Follow and let's engage on community based stories

KAJIADO STAR JOURNALIST JAILED..Kajiado journalist Jonathan Teikan sued by State House Comptroller, Katoo Ole Metito, ov...
15/01/2025

KAJIADO STAR JOURNALIST JAILED..
Kajiado journalist Jonathan Teikan sued by State House Comptroller, Katoo Ole Metito, over reports of irregular land allocations at Rombo Group Ranch, jailed for four months or pay a fine of Ksh 100,000 for Contempt The judgement was handed by Ngong Senior Principal Magistrate Agnes Makau

14/01/2025

Mwezi wa tatu Nitakuwa wa kwanza kupanda mahindi Kwa Barabara na kufunga Barabara iwapo serikari haitakuwa imeanza kutegeneza Barabara za kajiado kaskazini
Mbunge wa kajiado kaskazini Onesmus Ngogoyo

14/01/2025

Mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya kajiado akosolewa vikali na Gathoni Wamuchomba Kwa kile anadai ni kutopigania haki za mwanamke wa kajiado

kulingana na Gathoni mwakilishi wa wanawake anapaswa kuwa na shughuli nyingi za kupigania haki za wanawake wanaopitia ndoa za utotoni na pia unyanyasaji wa kijinsia.
Lakini yeye hawezi ongea

13/01/2025

JICHO LA MWANDISHI.
Je, Katoo anafanya makosa kwa kutangaza viongozi atakaowaunga mkono kwa nyadhifa mbalimbali za juu za kaunti? Je, kadi hizo zitamfanyia kazi vizuri? Je, hilo litawafanya viongozi wengine kujitenga na Katoo? muda tu ndio utasema?

11/01/2025

Most Massai men prefer marrying A Gikuyu woman Do you know the reason behind?
Listen to this Kikuyu future story as narrated by Kahura wa Njuguna
Audio courtesy of Kayu FM

09/01/2025

KAJIADO COUNTY SCHOLARSHIPS BURSARIES

09/01/2025

SHA IS WORKING AVOID PROPAGANDA AND REGISTER
OLOOLUA MCA ELI GOR

08/01/2025

Kavuli, my hair was shaved against my will
Shadrack Wambui Kavuli's Lawyer

Follow our TikTok account Smart k Media
07/01/2025

Follow our TikTok account Smart k Media

06/01/2025

TEARS OF JOY AS BARNARD KAVULI REUNITES WITH HIS FAMILY AT NGONG

Bernad Kavuli one of the abductees reunites with his family at Ngong police station from Moi's Bridge, Trans Nzoia Count...
06/01/2025

Bernad Kavuli one of the abductees reunites with his family at Ngong police station from Moi's Bridge, Trans Nzoia County where he was found.

02/01/2025

Mbona baadhi ya viongozi wa kajiado wamenyamaza kuhusu chanjo ya ng'ombe mbona hawazungumzii chanjo hii ya ng'ombe?
Kajiado woman Leah mbona umenyamaza kajiado Central mp Memusi

Ninawaomba viongozi wote kutoka jamii ya maa kuzungumza na kuwaambia watu ukweli kuhusu chanjo hii ya ng’ombe yenye Haifai kwa ng'ombe zetu

Kajiado North Mp Onesmus Ngogoyo

31/12/2024

ONE ON ONE WITH OLKERI MCA
MCA NGATHO NITAWANIA KITI CHA MBUNGE KAJIADO KASKAZINI 2027
Ni aibu sana ndani ya masaa 24 imeigharimu serikali ya kajiado chini ya 100,000 kuhudumia gari la zima moto ambalo limezimwa kwa miaka miwili sasa

"Nitawania kiti cha mbunge wa kajiado kaskazini mwaka wa 2027
Your can't stop an idea who's time has come."

Address

Ngong
3

Telephone

+254701734861

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smart k Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Smart k Media:

Videos

Share