08/12/2024
๐๐คฃ๐Nlkua nmekaaa tu na mam apa nje ya nyumba alafu my girlfriend wangu akapita ๐๐nmesikia tu mom akisema aty "Kuna wanawake sura mbaya jamani huyu naye atapata mume kweli ๐ akasema utapata Kuna kijana anamfuata ๐ญ๐๐"na akacheka ๐ญ๐๐ญ๐ญ guys am so emotional ๐ญ๐ญ๐ญ๐ sijui niingie tu soko Tena๐๐ญ๐ญ๐ฎ๐
Nko single Tena ๐ญ๐ญ๐ju ya mom ๐๐