RTN radio télé Gyoku

RTN radio télé Gyoku to support our singers so make sure you follow our page for more updating

Fizi up
Fizi one
Fizi b
(1)

FAHAMU GROUPEMENTS ZA TARAFA LA FIZ -ITOMBWENikwamba tarafa la fizi lina secteurs 4.1. Ng'angya2. M'tambala3. Tanganyika...
17/07/2024

FAHAMU GROUPEMENTS ZA TARAFA LA FIZ -ITOMBWE
Nikwamba tarafa la fizi lina secteurs 4.
1. Ng'angya
2. M'tambala
3. Tanganyika
4. Lolenge
Na groupements 18.
Tarafa la fizi ku ongeza *itombwe* ( ubembe) ina leta secteurs
5 yaani :
1. Ng'angya
2.m'tambala
3.tanganyika
4.lolenge
5. Itombwe
na groupements 24.
*GROUPEMTS KULINGANA NA SECTEUR*
1.SECTUER YA NG'ANGYA
hii ndo secteur kubwa zahidi ya zote na ina groupements 3.
1. Bashi alangwa
2. Babùngwe sud
3. Bashi ashilù
2.SECTEUR YA LOLENGE
Hii ina groupements 5.
1.bashimembé
2.basikasingo
3.basombo
4.obekulu
5.bashimyaka sud
3.SECTEUR YA M'TAMBALA
hii ina groupements 5.
1. Bashim'minji
2.balala kusini
3.batombwe
4.babwari
5.Bashi m'muma kusini
4. SECTEUR YA TANGANYIKA
hii ina groupements 5
1.babúngwe kaskazini
2.bashim'muma kaskazini
3.bashi m'nyaka
4.balala kaskazini
5.bashi loca
5. SECTEUR YA ITOMBWE
hii ina groupements 6.
1.bashim'minji 1.
2. Basim'minji 2.
3. Bashimwenda
4 bashi amakùlù
5.bashim'muma
6.bashimnyaka. BÚBEMBE au ESÉ E***O 'YA BABEMBE NI FIZI
KUONGEZA ITOMBWE
itombwe ni
secteur ya fizi Iliyo unganishwa kwenye tarafa la mwenga
tarehe 31/12/1947.

VIJIJI VYOTE VYA ZONE YA FIZI-ITOMBWEMakobolaBangweNgalúlaKahamaAseeciW'a neneIlakalaSwimaNgobiLusamboAbekaAkeMkwechiMse...
17/07/2024

VIJIJI VYOTE VYA ZONE YA FIZI-ITOMBWE
Makobola
Bangwe
Ngalúla
Kahama
Aseeci
W'a nene
Ilakala
Swima
Ngobi
Lusambo
Abeka
Ake
Mkwechi
Msenya
Atongo
Abúmbe
Îlela
apao
Abondoki
Mboko
Bash'ama
Nundu
Sangya
Kenya
Elombe
Atúngúlú
Lúsenda
Lúlenda
Elemionga
Mkolwe
Boko
Bitobolo
Lubomba
Ebúndú
M'mendú
Andale
Ekwena
Mchimchi
Abela
Alondja
Luolo
Looe
Matongo
Mwemezi
Macampagne
Aebaz
Alongwe
Matata
Bomani(baraka centre)
Ebonjwa
Mshimbake
Mongemonge
Mwatembo
Mwandiga
Kimanga
Aomba
Mkangi
Atanga
Malinde
Bikúmbú
Okya
Etete
Sikutumwa
Mulongwe
Atalúkúlú
Ase'e
Sangye
Sebele
Mianda
Asa'a
Nemba
Misha
Msomboki
Atenga
Kirini
Akazi
Esokwe
Abinga-ijombo
Magenga
Mapia-ijombo
Mwijombo
Ijombo
Kebero
Karunga
Kirizi
Kifinga
Muzebe
Some
Kizinga
Tongwe
Mseke
Mangakalisha
Mizimu
Alongwe
Dine
Bitobolo
Mkendo
Ahonga
Bas-congo
Lubomo
Lwambama
Mwayengalela
Kihimino
Bwenge
Kananga
Lobilo
Kivunji
Hona
Buyenzi
Mikelenge
Mwanjalúlú
Búma
Atete
Asabúwa
Alamba
Lokwachi
Kilúmú
mulolo
Ebanga
Nanywema
Lúúte
Bwiya
Kirewa
Kazimia
Mukuyu
Adondje
Abogo
Avumbwe
Lekya
Asesela
Alelenge
Nguma
Akoma
Akangya
Losombe
Elenge
Echala
Kikozi
Atúma
Kibamba
Atúngúlú
Kihingizi
Asaba
Msamba yungo
Esamu
Sele
Akone
Asa
Mkongwe
Echinga aoma
Talama
Abanga
Kahama
Edeni
Mwandako
Ekyengya
Bongela
Mak**a
Y'andalela
Majengo
Milanga
Ateka
Asangyala
Y'abula
Kampulo
Eonde
Ekubo
Mshilwa
Aloba
Mkyengya
Alongwe
Alongwe
Akela
Fizi centre
Buzimba
Akúnga
Mahombwa
Mama tantine
Namtongúlo
Bonenge
Akela
Oke
Bitongotongo
Ise'e
Lobondja
Akye
Lúchimu
Lolemba
Misese
Ekúmba
Bútale
Akemba
Lúbikyako
Luvungi
Ngalúla
Makungu
Ngange milimba
Kipimo
Elecha
Bashiloshingo
Chabula
Lúsembe
Alongwe
Mkangyaolo
Akúngo
Elúwe
Ibindi
Matelo
Lúkúnga
Bwala
Mpanda
Tobanga
Nalubwe
Abengwa
Honduchuma
Lolenge
Misofi(bash'kika)
Balolwe
Kúndú
Túkúlú
Ananda
Etembele
Itota
Akúngú
Mkyobwe
Bukavu
Benge
Kotongo
Bahanga
Angakolo
Akongo
Lwende
Asonge
Ange
Afulo
Asanu
Tujenge
Alúngwa
Alengo
Alele
Bikiribikiri
Bijada
Bibokoboko
Sebasaza
Magaja
Akomba
Akúkú
Elúmbe
Neele
Angúle
Abala
Lúsúkú
PPangwe
M'meta
Biúba
Wa'lúmanya
Afe
A'amba
Itúta
Echanga
Itendelo
Namtúmbwa
Echola
Lumbe
Asonge
Mkela
Lúbúle'ya
Ikunda
Tobanga
Bijombo
Mukalati
Kasiro
Lwiko
Abengo
Rutingita monyi
Nyawalimba
Lúnúndú
Masha
Minembwe
Echiba
Ruhemba
Kivumu
Mishashu
NB: pakiwa kosa unaweza tufate inbox ili tusahihishe.

K**a kuna moja ahipo basi ahndika jina apo 🙏🙏

Na u partage na wengine
Share na u like page yetu

Partage na wengine

17/07/2024

Zone ya fizi kwao na watu
🤝

27/01/2022

Uganda: Wabunge wakataa
kuidhinisha kutolewa kwa pesa kwa
jeshi nchini DRC
Imechapishwa: 27/01/2022 - 11:39

Siku ya Jumanne, K**ati ya Bajeti ya Bunge
ilizuia ombi la ufadhili wa kijeshi. Pesa hizi
zilikusudiwa kwa operesheni ya kijeshi ya jeshi la
Uganda mashariki mwa Kongo iitwayo Shujaa.
Wanajeshi hao waliingia rasmi DRC tarehe 3 Desemba
kukabiliana na kundi la waasi wa Uganda wa ADF. Lakini
Wizara ya Ulinzi haikushauriana na wabunge kabla ya
operesheni hiyo, na kukasirisha wabunge ambao waliona
kuwa ni dharau.
Wabunge hawakufurahia hata kidogo kuambiwa tukio
ambalo lilitekelezwa kabla wakati wanajeshi wa Uganda
walipoingia DRC. Kwa hiyo siku ya Jumanne, wawakilishi wa
wizara ya Ulinzi walipokuja kuwaomba dola milioni 26
kufadhili Operesheni ya jeshi mashariki mwa DRC iitayo
Shujaa, wajumbe wa K**ati ya Bajeti ya Bunge walionyesha
kutokubaliana na hilo.
“Bunge bado linasubiri maelezo. Na hapo unatuomba milioni
26. Lakini kwa msingi gani? Kwangu mimi ni lazima tuzuie
hizi pesa hadi tupate taarifa. Kuona ubadhirifu huu, kana
kwamba ni biashara yao binafsi. Hapana, hapana, hapana
na hapana”, alibaini Ibrahim Semujju Nganda, mbunge
aliyechaguliwa katika eneo la Kira.
Pesa hizi zingelitolewa kwa minajili ya kununua vifaa vya
kijeshi na mawasiliano au mishahara. Lakini wabunge bado
wanahoji kuhusu kutoweka wazi kwa operesheni hiyo.
“Bunge limepewa uwezo wa kujua mkakati wa kuondoa
wanajeshi wetu kutoka DRC. Lakini, hatujui hata ni
wanajeshi wangapi walitumwa huko, wangapi walifariki, au
wangapi walik**atwa na magaidi hao,” anasema mbunge
wa upinzani John Baptiste Nambeshe.

27/01/2022

Mapigano kati ya Jeshi la Congo
na waasi wa M23 yaendelea kwa
siku ya tatu
masaa 3 yaliopita
Wanajeshi wa DRC wakiwa katika eneo
lililofanyika shambulizi Beni, Disemba 26, 2021.
(Photo by Sébastien KITSA MUSAYI / AFP).

Jeshi la Congo FARDC limendelea na
mapigano makali na waasi wa M23 kwa siku
yake ya tatu huko Rugari wilayani Rutshuru
Kivu kaskazini mashariki mwa Congo,
Waasi walishambulia kambi za jeshi la Congo za
Nyesisi kilometa 35 kaskazini mwa Mji wa Goma
karibu na mbuga ya wanyamapori ya Virunga.
Eneo hilo lililokuwa na mashambulizi sehemu
moja ipo upande wa DRC na sehemu nyingine
upande wa Rwanda.
Kanali Ndjike Gylaume msemaji wa jeshi la
FARDC Kivu kaskazini ameiambia Sauti ya
America kwamba jeshi la Congo linapambana
vikali na waasi hao likitumia silaha nzito.

27/01/2022

MUANDA MATADI: DRC

wanyarwanda 19 wamehuliwa leo 27 /01/2022 walikua na huwa wacongomani

Cash money kweli dunia bure 😭😭wacha Mungu akutanguliye ++
09/11/2021

Cash money kweli dunia bure 😭😭

wacha Mungu akutanguliye ++

MOJA KWA MOJA Mwanamuziki nyota DRCak**atwa kwa kuhamasisha ghasiaMwanamuziki nyota DRC ak**atwa kwakuhamasisha ghasiaMw...
11/10/2021

MOJA KWA MOJA Mwanamuziki nyota DRC
ak**atwa kwa kuhamasisha ghasia

Mwanamuziki nyota DRC ak**atwa kwa
kuhamasisha ghasia
Mwanamuziki maarufu Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo,
Delcato Idengo, amek**atwa na polisi kwa baada ya
kushutumiwa kuhamasisha ghasia dhidi ya vikosi vya usalama
katika eneo la kaskazini mashabiki.
Mwanamuziki huyo alik**atwa Jumapili huko kaskazini
mashariki katika mji wa Butembo.
Mashabiki wake walifanya maandamano wakitaka aachiwe
huru.
Polisi wa Idengo wamesema watamshtaki kwa kosa la
kuhamasisha vurugu dhidi ya polisi na jeshi. Hajapelekwa
mahak**ani bado.
Miziki ya Mwanamuziki huyo mara nyingi huwa inakosoa
serikali haswa kwa kushindwa kurejesha amani mashariki mwa
Kongo.
Awali aliwashutumu polisi kwa kutofanya lolote kuzuia ghasia.

DELCAT IDENGO 🤜🤛

Beni : l’artiste musicien Délcat Idengode nouveau aux arrêts, l’audience defragrance prévue ce lundi.Le secteur opératio...
11/10/2021

Beni : l’artiste musicien Délcat Idengo
de nouveau aux arrêts, l’audience de
fragrance prévue ce lundi.

Le secteur opérationnel Sokola 1 Grand Nord des
Forces Armées de la RDC, confirme l’interpellation
ce dimanche 10 Octobre, de l’artiste musicien
Délcat Idengo.
Selon le communiqué de presse des FARDC,
l’artiste a été arrêté dans la ville de Butembo.

On l’accuse d’avoir publié plusieurs messages
audio-visuels, dans ses chansons appelant la
population de Beni à s’attaquer aux militaires,
policiers et leurs familles à partir de ce 15
Octobre prochain.
Le secteur opérationnel Sokola 1 Grand Nord,
informe qu’une audience en flagrance sera
organisée ce lundi 11 octobre au rond-point
Nyamwisi à Beni et sera transmise en direct sur
les antennes de la radio FARDC FM.
Pour rappel, cet artiste musicien a été acquitté il
y a quelques mois, dans une autre affaire
l’opposant au ministère public pour avoir qualifié
les politiciens congolais “des escrocs”.

ANOTHER ONE FROM GOLDEN FAMILY KENYAMACHO JUU OFFICIAL VIDEO PLEASE HELP US TO WATCH,LIKECOMMENTS SHARE And SUBSCRIBE BE...
07/10/2021

ANOTHER ONE FROM GOLDEN FAMILY KENYA
MACHO JUU OFFICIAL VIDEO

PLEASE HELP US TO WATCH,
LIKE
COMMENTS
SHARE
And SUBSCRIBE

BE BLESSED
https://youtu.be/ZhWh78XXP-A

subscribe to our channel we need your support guys

Le monde, ne peut jamais vivre en paix, car, on est entrain de sacrifier le continent mère( Afrique )              D'apr...
07/10/2021

Le monde, ne peut jamais vivre en paix, car, on est entrain de sacrifier le continent mère( Afrique )

D'après'' mundjele''

KANISA LA BANGI: UNAJUA IMANI YA WAFUASI WA KANISA LA  KIMATAIFA LA BANGI ?Kanisa la kimataifa la bangi ni kanisa k**a y...
05/10/2021

KANISA LA BANGI: UNAJUA IMANI YA
WAFUASI WA KANISA LA KIMATAIFA LA BANGI ?

Kanisa la kimataifa la bangi ni kanisa k**a yalivyo makanisa
mengine, kinachoongezeka hapa ni bangi tu na kuondolewa
kwa imani ngumu ngumu," mwakilishi wa Kanisa hili.
Lee Molloy amezungumza nasi kutoka nyumbani kwake
kwenye milima ya Colorado, Marekani ambapo wameruhusu
bangi kwa ajili ya matumizi ya dawa tangu mwaka 2000 bangi
na matumizi kwa ajili ya starehe tangu 2012.
Huyu ndio aliyeasisi Kanisa hilo, akiwa na Steve Burke, na
marafiki zake wengine kadhaa, wakilitumia Kanisa la zamani
huko Denver, na kulibadili kuwa Kanisa la bangi.
Lilikuwa jengo la zamani lenye miaka zaidi ya 110, na wamiliki
wake walitaka kulifanya kuwa eneo la makazi, lakini waasisi
hawa wakawashawishi wamiliki na kulitumia kwa ajili ya
shughuli za umma.
Katika miaka kadhaa iliyopita, imekuwa sehemu inayowavutia
wageni wengi kufanya utalii. Serikali ya Marekani inalitambua
kanisa hilo k**a taasisi isiyojiendesha kifaida k**a ilivyo
kisheria kwa dini zingine nchini humo.
Aprili 20 kila mwaka ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa
hilo, ikiwa maalumu kwa ajili ya kusheherekea matumizi ya
mmea huo na aina nyingine ya mimea k**a hiyo yenye
kuwekwa kwenye kundi la dawa ya kulevya.
Pia namba 420 na Aprili 20 ni alama ya utamaduni wa bangi
nchini Marekani, na inaaminika kwamba wanafunzi kadhaa wa
Marekani wenye umri unaokadiriwa kufikia miaka 17
hukubaliana kukutana kila siku saa 10 na dakika 20 jioni
kwenda kutafuta bangi.

MASHINE YA KUPIKIA UGALI KWA  DAKIKA TATU YAGUNDULIWA INCHINI KENYAKwa mujibu wa mtandao wa tuko Kenya, uliochapisha taa...
04/10/2021

MASHINE YA KUPIKIA UGALI KWA DAKIKA TATU YAGUNDULIWA INCHINI KENYA

Kwa mujibu wa mtandao wa tuko Kenya, uliochapisha taarifa
za uvumbuzi huu, uandaaji wa ugali unatofautiana kati ya
kabila na kabila, lakini kwa ujumla ugali mzuri ulioiva vizuri
unaweza kupikwa kwa kati ya dakika 8 mpaka 15 inategemea
na kiwango cha ugali wenyewe; mkubwa, wa wastani ama
mdogo.
Video hii imewashangaza watu wengi kwenye mitandao ya
kijamii baadhi yao wakieleza kwamba, si rahisi kupika ugali
ukaiva vizuri kwa dakika tatu. "Ugali hauwezi kuiva ama kuwa
tayari kwa dakika tatu. Huo sio ugali. Unaweza kuusonga lakini
huo utakuwa "ugali maji". Moto hautakua umeingia ndani
vizuri. Haya ni ya wataalamu," alisema Ja'Rusinga.
Kwa muonekano wa mashine hii kupitia video hiyo, ni mashine
inayoonekana kutumia umeme ili iweze kujizungusha na
kuusonga ugali, ikishikiliwa kwa mikono miwili na mtu
anayeiendesha ama kutumia kusonga ugali. Pengine hili
linawafanya watu kuamini kwamba, itakuwa inarahisisha kwa
kutumia muda mfupi na nguvu kidogo, lakini itakugharimu
umeme au gesi ama mkaa unaotumika kupikia ugali huo.

Kupika ugali bila kutumia Mwiko

MAELFU YA WATU WAMEANDAMANA KATIKA MAJIMBO YOTE 50 YA MAREKANI   kuunga mkono haki ya utoaji mimba.Wameamua kuandamana k...
04/10/2021

MAELFU YA WATU WAMEANDAMANA KATIKA MAJIMBO YOTE 50 YA MAREKANI

kuunga mkono haki ya utoaji mimba.
Wameamua kuandamana kupinga sheria mpya iliyopitishwa
katika jimbo la Texas ambayo inatoa masharti kwenye ya
kutoa mimba kwenye jimbo hilo.
Wanaounga mkono haki ya utoaji mimba nchini humo
wanahofu kwamba kuweka masharti kwenye utoaji wa mimba
ni kurudisha nyuma haki za kikatiba. Wanataka mtu awe huru
kutoa mimba ya umri wowote ambao mtoto hawezi kuishi, bila
kuwekewa masharti yoyote ya sheria.😭😭😭

Like page na partage na wengine

Coming soon
28/09/2021

Coming soon

Msani wako W***y Nunda anakuletea ngoma mpya yaani Mambo ni 🔥🔥W***y nunda FT GYBYS ngoma inaitwa  WOTE NYANI yaani hii m...
27/09/2021

Msani wako W***y Nunda anakuletea ngoma mpya yaani Mambo ni 🔥🔥

W***y nunda FT GYBYS

ngoma inaitwa WOTE NYANI

yaani hii mbali na watoto
Imetengenezwa na DAMSON prod toka TZ 🇹🇿🇹🇿

soon itakua

Address

West Get
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RTN radio télé Gyoku posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to RTN radio télé Gyoku:

Share

Category