Malenga Fanani

Malenga Fanani To educate, entertain, inspire and adress issues that we encounter in our day to day life.

02/06/2023

When I was four years my sister was half of my years now I'm26 years old, how old is my sister now.

18/05/2023

TUKUZANE TUIMARIKE PAMOJA
FOLLOW FOR FOLLOW GUYS.
LET'S DO THIS!

10/02/2023

Penzi langu fikiria!

Nafsi yangu yakwita, wafanya makusudi kujinyamazia.
Upendacho kusita, dharura yangu mie kukukumbatia.
Muda sasa umepita, ahadi ulizotoa kuziangazia.
Siku zote naota, nikitumai utakuja kunioa.

Moyo wangu, waliliaaa
Kono langu, shikiliaaa
Sili mwangu, nawaziaaa
Penzi langu, fikiriaaa

Wanifanya mjinga, mwehu wa penzi ninavyojinyong'onyea.
Simu zangu kulenga, arafa nikituma unazigomea.
Ila unapolonga, shughuli nyingi muda umekupotea.
Huba unalinyonga, likose hewa life lisije ponea.

Usinipe kiwewe, maneno wasema matendo yakukemea.
Sema nielewe, mbona nabisha mlangoni hutaki kufungua.
Tena nijuwe, nikipi hiki nlichofanya huezi kusamehea.
K**a sio wewe, na aje mwengine moyo upate kutulia.

Ukumbi wa mashairi na malenga fanani wishes you and your family a happy and prosperous new year 2023!May you live to ach...
01/01/2023

Ukumbi wa mashairi na malenga fanani wishes you and your family a happy and prosperous new year 2023!
May you live to achieve all your wishes and aspirations of your heart!

25/12/2022

I take this precious opportunity to wish all of our Ukumbi WA Mashairi na malenga Fanani fraternity a merry Christmas and a happy new year.

Address

Nairobi
856_00605

Telephone

+254707062937

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malenga Fanani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Malenga Fanani:

Share