MSINONE WAKULIMA WAKIKONDA
Onyo la Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa Wakurugenzi wa sasa wa Halmashauri ya Ustawishaji Majani Chai nchini (KTDA);
#KBCRadioTaifa ^FN
Najua wengine hamnipendi lakini mimi sasa si lazima nipendwe, si Pastor Dorcas ananipenda ? sasa iko haja gani kupendwa na wanaume , lazima tuongee ukweli, wakati wa kupigania haki ya mkulima ni sasa - Naibu Rais Gachagua
#KBCRadioTaifa ^FN
Rais William Ruto na Raila Odinga wamekutana na Rais wa Guinea Bissau Umaro Sissoco Embalo of Guinea Bissau China.
#KBCradioTaifa
Rais William Ruto na Raila Odinga wamefanya kikao na Rais Hakainde Hichilema wa Zambia jijini Beijing China.
#KBCRadioTaifa ^FN
Mwalimu wa Maths Hapa ni wapi... Mbunge Babu Owino akutana na msichana ambaye amejichora Tatoo mbili, moja ya Uso na ingine yenye jina Babu Owino mwilini mwake.
#KBCRadioTaifa
Kila Kitu kinawezekana; Mwanamuziki maarufu Afrika Diamond Platnumz amesema ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri namba moja Duniani..
"nitakuwa mtanzania ambaye nitawakilisha taifa kuwa tajiri namba moja Duniani" - Diamond Platnumz
#KBCRadioTaifa ^FN
Uganda opposition leader Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) shot and wounded in a confrontation with police in Wakiso District.
#KBCniYetu
Mwanaharakati Julius Kamau mchana wa leo alitatiza vikao vya mahakama wakati wa kesi dhidi ya mwanaharakati Bonface Mwangi na wengine wanne, ambapo wanadaiwa kushiriki maandamano ya GEN Z
Hivi ndivyo Show ya Stevo Simple ilikuwa Nakuru.. ,🔥🔥
Mimi ndo msanii nimebaki kusukuma kenya Mbele asema - Stevo simple boy
Unaipa alama ngapi ✍️
#KBCRadioTaiga
amka twende shule
Kwenye Mashindano ya Karaoke, unadhani mzee wa mbaazi wa Nazi Rashid Mwamkondo anachukua anachukua namba ngapi 😄..unategea ukiwa wapi...kuwa mkweli
.....?
#Zinga ^FN
NDEGE GANI HIYO NIMEFURUSHWA?
Porojo ni Mingi naskia nimetolewa kwa ndege, ndege gani?
Gavana Sakaja amekanusha taarifa zilizokuwa zinasambaa kwamba alifurushwa kwenye ndege iliyokuwa imebeba Rais Ruto na Raila Odinga kuelekea China
#KBCRadioTaifa ^FN
"Kabla Utimue Sakaja Timua Gavana wenu wa Ushago" Nairobi hapana Meru, - Diwani wa Korogocho Absalom Odhiambo
#Korogocho
#KBCRadioTaifa ^FN
Nairobi hapana Meru
"Kabla Utimue Sakaja Timua Gavana wenu wa Ushago" Nairobi hapana Meru, - Diwani wa Korogocho Absalom Odhiambo
#KBCRadioTaifa ^FN
Wale wanasema mambo na impeachment hapa Nairobi waende waka impeach Gavana wa Ushago kwao.
Wale wanasema mambo ya Impeachment (hapa Nairobi) waende Waka"impeach" Gavana wa Ushago kwao hapa si Meru - Korogocho MCA
Wale wanapiga porojo ati pesa ya Dishi na County inaliwa waje wakule pia
#KBCRadioTaifa ^FN
Wanyakuzi na wamiliki wa Ardhi kubwa kubwa ambazo hazitumiki kimaendeleo Kwale waonywa
#KBCRadioTaifa ^FN
Wahadhiri katika chuo kikuu cha Technical wameanza mgomo kufwatia kukamilika kwa makataa ya siku 7,walitoa mwezi uliopita
#KBCRadioTaifa ^FN
Hatutaki vitisho ya TSC, TSC iwapatie Walimu pesa yao na iwache kwenda kotini, wanachofanya walimu iko kwa Katiba - Sen. Cherargei
#KBCRadioTaifa
Kama unatangatanga ukisema wewe ndio kiongozi wa Upinzani na wabunge wako hawafiki 20, HAPANA.. Sasa ni kama 2008 - Aden Duale
#KBCRadioTaifa ^FN
''When I finish my duty as President, I will go back to be an evangelist, that's my original calling - President Ruto
#KBCRadioTaifa