shilingi laki moja inaondoka... Speedy ikuokoe
"Kuna mama ambaye Amegongwa na mabawa ya ndege akakatwa kichwa...." Viongozi na walioshuhudia ajali ya Ndege, eneo la Kwa chocha, Malindi wasimulia.....
#KBCRadioTaifa
Nawauliza vijana wasipotoshwe na wanasiasa wa kuwalipa pesa kidogo waweke mapicha ya viongozi kwa makaburi - Rais Ruto
#KBCRadioTaifa
Wale watu wanamangamanga huko kutuuliza serikali imefanya nini , nataka niwaambie serikali ya Kenya inasonga mbele na kenya inasonga mbele - Rais Ruto
#KBCRadioTaifa
Wale wanataka kutumia Internet kufanya matusi shauri yao.....lakini nyinyi wengine mjue kwamba internet mnaeza kuitumia kwa manufaa yenu - Rais Ruto
#KBCRadioTaifa
Rais William Ruto alivyopokelewa Kesses,
#KBCRadioTaifa
Maneno ya Kilimo nimenyorosha,maneno ya Elimu nimenyorosha, maneno ya UHC nimenyorosha,stima nimetengeneza, hii barabara ya mwaka huu ninyoroshe, tunyamazishe wale wa fitna na uchochezi na porojo.
Vijana nawauliza msipotezwe na wanasiasa wanaowalipa pesa kidogo ati waweke mapicha ya viongozi kwa makaburi - Rais Ruto
#KBCRadioTaifa ^FN
Tuunganishe taifa letu tusonge mbele
#KBCRadioTaifa
Kila mahali maendeleo inaendelea imeanza na Rais, .... bei ya chakula imeshuka.......
mambo ya University's inaendelea vizuri, kila kitu inaendelea vizuri alafu kuna 'Watu wanasema eti 'Kasongo" "Ruto must go', kwani amekaa kwa kiti ya mama au baba yako...,'' MP Farah Maalim.
#KBCRadioTaifa ^FN
Kuna watu wengine ati wananikasirikia kwasababu nimeunganisha Kenya ...........
#KBCRadioTaifa ^FN
Rais Ruto; Maendeleo ya Taifa letu hayatahujumiwa
#KBCRadioTaifa
Kuna wengine wanasema ati Ruto hawezi kanyaga ground..Hapa ni wapi ...? -Ichungwah
#KBCRadioTaifa