Bahari Fm

Bahari Fm The coastal market woke up in September 2008, to a new station from Royal Media Services. Bahari FM’s tag line is Nuru ya Roho’
(1)

The word “Bahari” is the Kiswahili term for ocean, giving the station an immediate identity to the coastal people.

03/04/2025
 ....Mjanja karibu ndani ya  .Dondosha request yako na mapema.
03/04/2025

....Mjanja karibu ndani ya .Dondosha request yako na mapema.

Kulingana na Mbarak Lamu kuna shule za kitaifa ikiwemo shule ya wasichana ya Lamu na shule ya wavulana ya Lamu ambazo zi...
03/04/2025

Kulingana na Mbarak Lamu kuna shule za kitaifa ikiwemo shule ya wasichana ya Lamu na shule ya wavulana ya Lamu ambazo zimekosa kuboreshwa na mbunge ili kufikia kiwango kinachohitajika.

Wakiongozwa na John Malagho wanasema mradi huo ni wa manufaa kwa jamii huku wakitaka majibu kutoka kwa viongozi kaunti h...
03/04/2025

Wakiongozwa na John Malagho wanasema mradi huo ni wa manufaa kwa jamii huku wakitaka majibu kutoka kwa viongozi kaunti hiyo sababu ya mradi kuendelea kujikokota.

Hata hivyo, ziara hiyo inajiri huku wanaharakati na waathiriwa hapo jana wakivuruga kikao cha NEMA kilichohusisha kutoa ...
03/04/2025

Hata hivyo, ziara hiyo inajiri huku wanaharakati na waathiriwa hapo jana wakivuruga kikao cha NEMA kilichohusisha kutoa maelezo kuhusu hatua zitakazochukuliwa na mamlaka hiyo katika kusafisha mazingira.

Jumba hilo linalopatikana Kona ya Kilifi mtaa wa Old Town lilikuwa likiendelea kujengwa kabla ya kugunduliwa hapo jana u...
03/04/2025

Jumba hilo linalopatikana Kona ya Kilifi mtaa wa Old Town lilikuwa likiendelea kujengwa kabla ya kugunduliwa hapo jana usiku kwamba lilianza kuzama na kupinda upande mmoja.

Njoo hapa tutibwirike ndani ya Tukobomba na Farida Ali hadi 1pm
03/04/2025

Njoo hapa tutibwirike ndani ya Tukobomba na Farida Ali hadi 1pm

🤔Kwani bado pointi ngapi hii Netflix FC ifikie Viongozi wa Ligi?😅
03/04/2025

🤔Kwani bado pointi ngapi hii Netflix FC ifikie Viongozi wa Ligi?
😅

03/04/2025

TBT😆

03/04/2025

TWEN'ZETU NAMIBIA TUKAJIFUNZE HESHMA YA MAHABA😆

03/04/2025

Katika kizazi cha sasa Mzazi anapaswa kumfanya mwanawe kuwa rafiki, zungumza nae, cheza nae,nenda zoezi nae... kumfanya rafiki ni njia moja ya kumuepusha na ushawishi wa marafiki mabaya-Amos Wamwere Mshauri wa maswala ya watoto.

Likizo ya muhula wa kwanza imeanza . wanafunzi wameshafika nyumbani? Ni  vipi  tutahakikisha  watoto wanakosa kujihusish...
03/04/2025

Likizo ya muhula wa kwanza imeanza . wanafunzi wameshafika nyumbani? Ni vipi tutahakikisha watoto wanakosa kujihusisha na visa vya uhalifu na ukosefu wa nidhamu. tulijadili hili .

Siku ya tatu kwenye ziara ya Rais mlima Kenya, Je ziara hii inamaanisha nini? Maendeleao ama kutafuta kura? Sema nasi nd...
03/04/2025

Siku ya tatu kwenye ziara ya Rais mlima Kenya, Je ziara hii inamaanisha nini? Maendeleao ama kutafuta kura? Sema nasi ndani ya Kina cha Wimbi

Address

Nairobi

Telephone

+254713600931

Website

http://baharifm.co.ke/?q=bah#, http://www.youtube.com/kenyacitizentv, https://www.tiktok.co

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bahari Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share