06/03/2024
๐๐๐๐๐๐๐: ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐
Follow Gossip Kona
๐๐๐๐ ๐
Moh ndio anarudi,Amelia akamuuliza mlikua mumeenda wapi Moh akamwambia nilikua nimeenda kuona Becky,nimepigiwa simu amefaint. Amelia akamuuliza na Lexy? Thought mmekuwa na yeye? Moh akamwambia zii mi niliend solo. Kisha Moh akauliza Amelia kulingana an experience yako si mtu akifaint ina mana ako ball? Amelia akamwambia come on,si kufaint kwote ni ball but k**a ni ball haitafichika,tutajua.
Lexy ashatolewa nje kanajifanya sana kanatembea ati mguu imeumia lakini hakuna mguu kuumia hapa,she is faking it ju hadi venye Pupa alirudi kejani,Lexy akatembea vizuuri bila tatizo na Trisha akaona akacheka tu ju ashajua chenye haka kanataka๐๐
Becky ashatulia an Junior aliomba radhi fr what transpired but Becky akamwambia usijali mpenzi ni mimi niliovereact and Iam sorry too. Mnaona wakuu,mkikosana,ombaneni msamaha,ujinga wa kunyamaziana achia manyani๐๐you keep on kakosa kadogo ushakosana na bae ushatafuta mwingine learn to apologize and square things out,wengine wenu mtaishi kudate if you dont learn to apologize over small issues. Becky na Junior washaombana msamaha.
Usiku wa maneno sasa,kumbe Junior ameamua kutafuta Trisha,and this time round ni kummaliza cha kabisa wamepelekana mbio hadi kwa msitu. Trisha amekimbia lakini wapi,alishikwa kisha akasukumiwa kofi moja ya tumbo,hadi akaamka. Kumbe ilikua ndoto anaota akiwa kwa nyumba๐๐๐
Haka nako pia kameamka kakifeel fiti sana. Lexy kwanza akiimagine ile kumshika alimshika Pupa,manze anasmile tu peke yake. Pupa on other side wakati anatoka,Trisha alikuja akamwambia mornig Pupa,tunaeza ongea,its important. Pupa akamwambia sai nina biashara za maana sana maybe tuongee baadaye lakini Trisha akamwambia sikiza,najua unadhani mimi ndio niliua babako na ndio maana unaniletea kisirani,but niko ready twende kwa sheria uhakikishe si mimi lakini Pupa alimwambia mimi si fala,nakutreat k**a trash ju wewe hivyo ndio huwa unatreat watu. Trisha akamwambia ni sawa but si k**a tunaishi hapa tuishi kwa amani na tuwe na heshima baina yetu ama? Pupa aamwambia its ok,Trisha aamwambia deal? Pupa akafanya makosa,akahandshake na Trisha,aaah mako...makosa. Trisha huwa na rule moja,anakuleta karibu then she strike you unexpected na sasa Pupa ashaingia box ya Trisha sasa,wueh! Its about to go down,kisha Trisha akamwambia one last thing,kuwa makini sana na Lexy,she is not the person to trust. At least hapa amesema kweli๐๐
๐๐๐๐ ๐
Leo Jeff ndio kamepika mayai,na Becky na Junior are happy for it hata k**a zimeungua they have to pretend iko sawa ju hawataki kumdisapoint๐๐๐Wakati Jeff ametoka wakasema ghai,hizi kwani mawhat huyu mtoto amepika kwanza chai ameeka chai unaeza dhani ni chang'aa alafu Becky akaambia Junior,amesema ni wewe ulimfunza kupika but all in all,wako fiti kumbe Jeff alieka pilipili badala ya majani๐๐
Amelia alimcall Becky kumjulia hali na akaambiwa for today she is feeling better na Amelia akamwambia cant wait to get a grandchid. Becky akamwambia maamu,Moh alikudanganya for real mimi sina ball,niko sawa. Amelia akamwambia ni sawa time will tell๐๐๐ama Becky ako?? Amelia Lexy kukuja akamuuliza na jana umekua wapi simu hazikua zinaingia? Lexy akamdanganya akamwambia nilikua nimeenda kuona mamorio wangu wa street thats why. Amelia akamwambia wau,so next time ukienda twende na wewe niwaone,hakusema ati alikua ameenda kuona Pupa. Punde si punde,kwa mlango kukabishwa na Moh akakuja kufungua mlango.
Moh alimuuliza Pupa wewe ndio nani? Pupa akamwambia mimi naitwa Pupa na Pupa akamuuliza I guess wewe ndio Moh? Moh akashindwa kwani nilifanya nini najulikana hadi na Pupa. Wacha sasa Lexy amuone Pupa akauliza mamake,mbona hukuniambia Pupa anakuja huku? Amelia akamwambia kwani kuna shida lakini Lexy akamwambia madhe wee huelewi, kisha Lext akatoka mbio hadi kwa room. Mamake alishndwa sana kwani kunaendaje,hana habari Lexy ameenda kuchange nguo safi๐๐๐
Becky na yeye alienda chemist akabuy pregnancy test akapima na hakutaka Junior ajue,kumbe Junior alishuku akamfuata and guess what? Junior & Becky are pregnant๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐkwanza wameshtuka.
Huh! Turudi kwa Pupa,Amelia aliuliza kwani huyu Becky ameenda wapi? Pupa akasema hope sai amepona pona ju aliumia vibaya sana. Amelia akashindwa,kuna nini hapa,akamwambia Lexy ako sawa.Pupa akamwambia aii zii hata ni mimi nilimkanda mguu. Amelia akamuuliza unaongelea nini? Pupa akamwambia Lexy alikuja akaumia na hata mimi ndio nilimfunga bandage kwa mguu. Huh! Lexy uongo yako imekula nje๐๐๐
Hadi kesho majaliwa.