Coming soon this Ramadhan:
Journey to Jannah—a beautiful tale of transformation and faith.
Witness the inspiring stories of reverts who found their way to Islam, embracing a life of peace, purpose, and devotion only on Horizon Tv Kenya
Stay tuned!
Kuna mambo au uamuzi unaeza fanya katika maisha yako ukapata nusra kutoka kwa Allah, akakupa hidaya
Jitahidi kufunga sunnah za mwezi wa Shaaban pamoja na kulipa madeni ya Ramadhan ya miaka Iliyotangulia.
Hakuna Mwezi ambao Mtume Muhammad ﷺ alifunga sana kama mwezi wa Shaaban
Uadilifu ni wajibu!
"Kama huna uadilifu hufai kuwa na mke zaidi ya mmoja" Sheikh Juma Amir
Mwanamke hatakiwi kufunga sunnah ila kwa ruhusa ya mume wake.
Je! Kuna masharti yoyote amewekewa mwanaume kabla aongeze mke wa pili hadi wa nne?
Kwa nini ni haramu kusema Bismillah katika kitendo ambacho ni haramu, kwa mfano: uzinifu @SheikhAhmadAthman
Mambo ambayo yanakupunguzia thawabu katika Swalah
Sheikh Jamaludin Osman