Babi Report

Babi Report CONNECTING COMMUNITIES
Be informed | Be engaged | Make a difference.

๐Ÿšจ BREAKING NEWS ๐ŸšจKlabu ya Mamelodi imeichana rasmi na aliekuwa kocha wa kikosi hicho Manqoba Mngqithi na kumtangaza koch...
10/12/2024

๐Ÿšจ BREAKING NEWS ๐Ÿšจ
Klabu ya Mamelodi imeichana rasmi na aliekuwa kocha wa kikosi hicho Manqoba Mngqithi na kumtangaza kocha wa zamani wa Esperance Miguel Cordoso.
Steve Komphela na Kenney Mweene watasalia kwenye benchi la ufundi.

FT; Azam 2-1 Singida black stars,Singida amekubali kichapo cha bao 2-1  dhidi ya azam fc, uwanja wa azam complex Chamazi...
28/11/2024

FT; Azam 2-1 Singida black stars,
Singida amekubali kichapo cha bao 2-1 dhidi ya azam fc, uwanja wa azam complex Chamazi.

Kamati kuu CHADEMA imepanga kufanya kikao cha dharura mnamo kesho Nov 29, 2024 kujadili uchaguzi wa serikali za mitaa ul...
28/11/2024

Kamati kuu CHADEMA imepanga kufanya kikao cha dharura mnamo kesho Nov 29, 2024 kujadili uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Nov 27, 2024.

Taarifa imetolewa na mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa chadema John Mrema, amesema kuwa kikao hicho kitajadili agenda maalumu yaliyojiri kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27, 2024.

Azam FC wapo tayari kuwakabili Singida black stars kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa leo Nov 28, 2024,
28/11/2024

Azam FC wapo tayari kuwakabili Singida black stars kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa leo Nov 28, 2024,




02/09/2024

Salah ๐Ÿน

Klabu ya Azam fc imefikia uamuzi wa kuachana na benchi lake lote la ufundi lililokuwa likiongozwa na kocha Youssouph Dab...
31/08/2024

Klabu ya Azam fc imefikia uamuzi wa kuachana na benchi lake lote la ufundi lililokuwa likiongozwa na kocha Youssouph Dabo.

Xavi ataendelea kusalia Barcelona  k**a kocha wa timu hiyo kwa msimu ujao.Hayo yamethibitika baada ya makubaliano ya kin...
25/04/2024

Xavi ataendelea kusalia Barcelona k**a kocha wa timu hiyo kwa msimu ujao.
Hayo yamethibitika baada ya makubaliano ya kina baina ya Kocha huyo na raisi wa klabu Joan Laporta pamoja na director wa klabu Deco.

08/03/2024

CONNECTING COMMUNITIES
Jiunge SasaโœŠ

Anthony Martial bado anataka kusalia Manchester United, mpaka mwisho wa msimu huu.Martial ameonyesha nia hiyo baada ya k...
10/01/2024

Anthony Martial bado anataka kusalia Manchester United, mpaka mwisho wa msimu huu.
Martial ameonyesha nia hiyo baada ya kukataa ofa mbalimbali alizopokea kutoka Fenerbahce, Marseille na Saudi Arabia.

CARLO ANCELOTTI amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuifundisha Real Madrid mpaka 2026,..Miezi kadhaa iliyopita Rais wa B...
30/12/2023

CARLO ANCELOTTI amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuifundisha Real Madrid mpaka 2026,..
Miezi kadhaa iliyopita Rais wa Brazil Ednaldo alitangaza kuwa Ancelotti atakuwa ndie kocha Ajae wa timu ya Brazil, Licha ya utambulisho huo wa awali, Ancelotti ataendelea kusalia Madrid.

Baada ya miaka 11, Hugo Lloris ataondoka rasmi Tottenham Hotspur na kujiunga na Los Angeles ya Marekani,..Mkataba wake u...
30/12/2023

Baada ya miaka 11, Hugo Lloris ataondoka rasmi Tottenham Hotspur na kujiunga na Los Angeles ya Marekani,..
Mkataba wake unatajwa kuwa ni wa mwaka mmoja, na vipengele vingine ambavyo vinamruhusu kuongeza mkataba.


Lionel Messi, Kylian Mbappe, na Erling Haaland wameingia tatu bora ya mchezaji bora wa kiume  tuzo za FIFA 2023. ,.     ...
14/12/2023

Lionel Messi, Kylian Mbappe, na Erling Haaland wameingia tatu bora ya mchezaji bora wa kiume tuzo za FIFA 2023.



,.

Manchester United wamefanikiwa kufunga idadi ya mabao 12, sawa na vinara wa kundi A, Bayern Munich, kwenye michuano ya k...
13/12/2023

Manchester United wamefanikiwa kufunga idadi ya mabao 12, sawa na vinara wa kundi A, Bayern Munich, kwenye michuano ya klabu bingwa balani Ulaya, UEFA Champions league.
Licha ya kufunga idadi hiyo ya magoli, Manchester United imemaliza nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa kundi hilo na kuruhusu idadi kubwa ya mabao ya kufungwa.

The best  Mchezaji bora wa Kiume.
13/12/2023

The best

Mchezaji bora wa Kiume.


๐Ÿšจ USAJILIBeki wa zamani wa Simba Joash Onyango amejiunga rasmi na Singida fountain gate.
07/07/2023

๐Ÿšจ USAJILI
Beki wa zamani wa Simba Joash Onyango amejiunga rasmi na Singida fountain gate.


Beki wa zamani wa Barcelona, Jordi Alba amejiunga na Inter Miami kutoka Marekani, beki huyo atajumuika na wachezaji wenz...
07/07/2023

Beki wa zamani wa Barcelona, Jordi Alba amejiunga na Inter Miami kutoka Marekani, beki huyo atajumuika na wachezaji wenzake Messi na Busquets.


Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Babi Report posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share