15/01/2026
Influencer maarufu IShowSpeed asema mamake hakuwahi support anachokifanya hadi alipofanikiwa maishani.
Mbona wazazi wengi huona extra-curricular activities k**a kupoteza muda, ilhali kwa wengine ndizo hubadilisha maisha?