19/12/2024
πππππ ππππ πππππππ πππππππ πππ
Follow DAN
Ukiona hii Updates weka LIKE tukisonga mkuu
ππππ π
Neema akiwa na Alphose hapa kwa hotel,alimwambia kuna evidence yenye inaonyesha Mark hakua hapo wakati Serenge anaulizwa. Alphose akajifanya kufurahia akasema ahaa hadi pia nilikua nataka sana Mark aachiliwe. Neema chenye kinamsumbua ni,k**a si Mark ndio alimuua Serenge as per evidence,then ni nani alimuua Serenge? Alphose akasema maybe ni watu alikua na deni zao but Neema akamwambia nop,wallet yake ilikua na pesa zote akipatikana so lazima mwenye aliua Serenge,ni mtu alitaka sana kumset up Mark ju mbona ifanyike tu minutes after Mark na Serenge kutofautiana. Neema anaona kuna kitu hakiadd up...
Turudi kwa wabenzi walazimishwiπ€£π€£Eddy alikuja akamwambia Karen,unaonaje tujaribu ile kitu tena maybe tunaeza pata mtoto? Karen alkataa,akamwambia hayuko ready kupata mtoto na mwanaume mwenye anytime wakikosana anakimbilia kufikiria wife wake na watoto wenye aliachaπ€£π€£Eddy alijaribu sana lakini Karen alikataa,akamwambia hadi sai I dont feel it anymore. Nimechoka Eddy,nimechoka kukaa place sipendwi kabisa. Karen alikataa hadi akaamka akaenda kukaa kwingine.
Alphose na yeye alipigia mtu wake akamwambia sikiza, lawyer wa Mark anaenda kotini sai na nataka Mark akiachiliwa tu hivi mniambie. Utashindwa sana Alphose ana mipango gani anafuatilia fuatilia Mark hivyo but niwaambie tu ukweli wa mambo, Alphose hataki Mark aachiliwe.
Leo Jayden wakitembea tembea na Jojo,kumbe walipita sides za Karen, former resdential estate kwenye Jojo walikua wanaishi hadi akaonyesha Jayden,akamwambia this used to be our gate,hapa ndio tulizaliwa na hapa ndio tulilelewa before life turned sour na Jayden akamwambia for now,thats past tense, you have another life now. Its called memory,nik**a upite kwa kina Ex alafu uone kaumbw akao,jiwe moja tu!ππ
Val alikuja chemist kubuy vitamin pills na wakati aliulizwa gani specifically,,akasema yeye hajui type but akaitisha zote kisha akagoogle one by one ju anataka specific type ya vitamini pills na baada ya kugoogle,akapata yenye alitaka. Tutakua kujua ni ya kazi gani.
Huku hotelini, Serenge is gone, Sam pia ashafutwa kazi na sasa Paul ndio amebaki na tena Brian ama mwenye tunajua k**a Tom ndio atakua anasaidiana kupeana orders huku. Neema akiwa hapo,akapigiwa simu na Richard akaambiwa kila kitu kimeenda sawa na Mark anaachiliwa anytime from niw. Neema was soo happy kusikia Mark anaachiliwa.
Wacha sasa Alphose apate habari ati Mark anaachiliwa,mwanaume alijam,akararua rarua makaratasi hapo kwa ofisi yaje huku akipiga nduru ya hasira,mbaya mbovu. Kisha akaambia jamaa wake, hii plan ishafaill ambia huyo jamaa mwenye ako na cancer awe ready. Ready kufanya nini? Tutakuja kuona
ππππ π
Naomi alikuja kumuona Alphose na akamwambia kathee,who are you,ju baada ya kukuchunguza chunguza nishajua ushawai ride horse na ukaanguka ukavunjika mguu...Alphose akamuuliza so unataka unyambe ama? Naomi akamwambia sikiza,nishajua wewe ni mtu tricky sana na nimeanza kufikiria na kushuku ,hii issue ya Mark na Serenge,what if you took advantage of that situation ukamuua Serenge ndo uwekelee Mark? Alphose akaona enyewe ameshikwa akaambia Naomi sikiza, you are very inteligence woman na chenye umesema ni ukweli lakini chenye nataka ujue ni,leo hii watch news za saa nne usiku ju naweka kila kitu kukuhusu kwa media watu wajue wewe ni nani,ukora unafanya,ukora ulifanyie Eddy na kila kitu chenye najua kuhusu. Hee! Naomi kusikia hivyo,akarudi chini akamwambia bossie,mbona tufike hapo sasa...tunaeza ongea k**a watu wazima. Alphose akamwambia sasa,ndio nikusikize,nataka uambie Neema maneno mazuri mazuri kuhusu mimi,failure to which,nakumaliza na uhakikishe Neema anakuamini na ananipenda kwa maneno utamwambia πππwoi! Imagine mtu akutume umkatie dem na uhakikishe huyo dem anakupendaπππ
Neema asharaukia polisi station kuja kumchukua Mark na wakati alimuona Mark alimkimbilia mbio,wakahugiana mbaya mbovu hadi Neema alianza kulia akiambia Mark manze kuishi bila wewe imekua hard sana...Mark akachukulia hii chance anaoa sasa maybe Neema ako ako in love akamwambia Neema mbona usimove in na mimi tu sasa...Neema akawambia noo,we are just good friends,please hakuna cha kuguzana.πππ
Mark baadaye walifika home na hata akina Jayden na Jojo walikua hapo huku Jojo anafeel guilty kwa kumshuku lakini Jayden alimwambia usiworry, but ushajua alikua innocent just dont judge people anyhowly. Wakati Jayden wameenda,Cate alikuja akaambia Jojo,naona ushamanage kumelt heart ya father in law? Jojo akamwambia come on, we are just friends...Cte alimwambia zii hakuna ufriend hapa anjua kuna kitu inagongwa na si mayaiπππ
Richard k**a lawyer an Naomi walikuja kuona Mark na hata Richard akamwambia k**a si Neema kupeana tip ya foottage ya CCTV hatungejua. Mark akauliza kiaje? Akaambiwa Neema venye alitoka usiku akaona kuna CCTV kwa building na akaenda hadi wakaitisha CCTV na ndio imefanya Mark is out now. Mark alfurahi sana lakini chenye kinamshangaza ni mbona Neema anaonyesha love but akimwambia story za love hataki? Hii inamshangaza sana Mark.
Upande wa Eddy pia mambo yashakua sawa alichapia bonge la surprise kwa mpoa wake Karen na nik**a reuniona worked out...
Nikimalizia malizia, shukrani kwa Followers wangu wenye ni customers at least mnafanya siezi kosa bundles daily.