Ruben FM

Ruben FM Ruben FM is Mukuru's first ever community radio station! Based in Mukuru kwa Ruben, the station aims to unganisha jamii - Unify the community.
(40)

Ruben FM broadcasts from the Ruben Centre - an oasis of hope that provides support to the residents of Mukuru. This station provides a platform for up-and-coming artists, a chance to broadcast news and current affairs and will give a voice to the voiceless. Tune in to 99.9 to get all the lastest information and entertainment from your favourite presenters.

Yeeeees RASTA, Welcome aboard The Big Bad   k**a kawaoda ikiwa ni ka  . Mayout wanaeza aje kuungana pamoja ili kubadilis...
24/06/2024

Yeeeees RASTA, Welcome aboard The Big Bad k**a kawaoda ikiwa ni ka .

Mayout wanaeza aje kuungana pamoja ili kubadilisha maisha yao ?

Talk To Me 0797146710

I n I The Ghetto Rasta

24/06/2024

Njia bora ya kuhakikisha viongozi waliochaguliwa wanaajibika ni ipi?
Call/SMS/Whatsapp:0797146710 talk to me.

ISSA Monday wadau.Karibu ndani ya bonge  la show, Kuza 254 mpaka kumi kamili nami Kijana Ya Nyatieko Denson Moruri. Uko ...
24/06/2024

ISSA Monday wadau.
Karibu ndani ya bonge la show, Kuza 254 mpaka kumi kamili nami Kijana Ya Nyatieko Denson Moruri.
Uko tuned ukiwa area gani?
Call/SMS/Whatsapp:0797146710 talk to me

Happy Monday morning to you.Kwenye   naye Mercy Alomba hadi saa saba mchana.Hivi wikendi yako ilikuwa vipi?Wakilisha are...
24/06/2024

Happy Monday morning to you.

Kwenye naye Mercy Alomba hadi saa saba mchana.

Hivi wikendi yako ilikuwa vipi?

Wakilisha area code yako kupitia 0797146710 ndani ya 99.9 Ruben FM Unganisha Jamii.

Rais William Ruto anataka mazungumzo na Gen Z.Je, Maandamano yasitishwe?
24/06/2024

Rais William Ruto anataka mazungumzo na Gen Z.Je, Maandamano yasitishwe?

Changamka Jumatatu 6-10AM na KakaBeru.Huko nje watu wanasemaje?
24/06/2024

Changamka Jumatatu 6-10AM na KakaBeru.

Huko nje watu wanasemaje?

Good morning! A brand new day and week. Tumeraushwa tupatane sifa na Utukufu asubuhi ya Leo. Mawimbi ya Baraka hewani na...
24/06/2024

Good morning! A brand new day and week. Tumeraushwa tupatane sifa na Utukufu asubuhi ya Leo. Mawimbi ya Baraka hewani na Rubani wa Injili Martin Bunyali kuanzia saa kumi alfajiri hadi saa kumi na mbili asubuhi... Karibu..

Greetings  Kings and Queens, its another sunday ya kumatisha na kujinice ndani ya reggae overdose, unategea ukiwa wapi n...
23/06/2024

Greetings Kings and Queens, its another sunday ya kumatisha na kujinice ndani ya reggae overdose, unategea ukiwa wapi na je wewe k**a kijana huwa unachannel anger out vipi? 0797 146710

23/06/2024

Request Hour:
Nikubariki na kibao kipi?
Call/SMS/Whatsapp: 0797146710 talk to me

23/06/2024

Awamu ya neno. Barikiwa

Shine Show kipindi hewani mpaka saa saba kamili ukiwa nami Kijana Ya Nyatieko Denson Moruri. Unategea ibada ya pili ukiw...
23/06/2024

Shine Show kipindi hewani mpaka saa saba kamili ukiwa nami Kijana Ya Nyatieko Denson Moruri.
Unategea ibada ya pili ukiwa wapi?
Call/SMS/Whatsapp: 0797146710 talk to me.

23/06/2024

Request hour na pia unaweza watakia uwapendao Jumapili njema..

23/06/2024

Mada: Repentance
Mchungaji: Askofu Anderson Migwi

Baraka za Jumapili ndani ya kipindi Cha Utukufu na Rubani Wa Injili Martin Bunyali. Karibu tuabudu pamoja...
23/06/2024

Baraka za Jumapili ndani ya kipindi Cha Utukufu na Rubani Wa Injili Martin Bunyali. Karibu tuabudu pamoja...

Ruben FM tournament Wilson aviators 1:1Aviation fc
22/06/2024

Ruben FM tournament
Wilson aviators 1:1Aviation fc

  hewani nami   Auntie Tabby pamoja na wanafunzi wa   na mwalimu wao. Wakilisha mtaa. Call/SMS/WhatsApp 0797146710
22/06/2024

hewani nami Auntie Tabby pamoja na wanafunzi wa na mwalimu wao.
Wakilisha mtaa.
Call/SMS/WhatsApp 0797146710

26 June ni World Torture Day. Dhulma na mateso ya aina mbali mbali hutokea kila siku mikononi aidha mwa serikali au poli...
22/06/2024

26 June ni World Torture Day.

Dhulma na mateso ya aina mbali mbali hutokea kila siku mikononi aidha mwa serikali au polisi. Usemi wako ni upi?

Studioni tunao wageni kutoka Justice Centre kujadili swala la torture....

Karibia tujifunze mengi kupitia 99.9 Ruben FM nahodha ni Mercy Alomba

Changia kupitia 0797146710

21/06/2024
Swadakta jahazi la alamsiki niite senior chief Ledira Botere. Unategea ukiwa wapi na ndani ya kikwetu friday kuenda kuon...
21/06/2024

Swadakta jahazi la alamsiki niite senior chief Ledira Botere. Unategea ukiwa wapi na ndani ya kikwetu friday kuenda kuona wazazi ilikuwa vipi? 0797146710

21/06/2024

Mjus Slam studioni...

Msanii Mjus Slam studioni.Una swali kwake?Call/SMS/Whatsapp:0797146710 talk to us
21/06/2024

Msanii Mjus Slam studioni.
Una swali kwake?
Call/SMS/Whatsapp:0797146710 talk to us

Ni Furahi Dei ndani ya Kuza 254  nami Kijana Ya Nyatieko Denson Moruri mpaka kumi kamili.Uko tuned ukiwa wapi?Nikuangush...
21/06/2024

Ni Furahi Dei ndani ya Kuza 254 nami Kijana Ya Nyatieko Denson Moruri mpaka kumi kamili.
Uko tuned ukiwa wapi?
Nikuangushie dudee lipi?
Call/SMS/Whatsapp:0797146710

21/06/2024




Mila na desturi zenu zinakubali mdogo wako kuoa/kuolewa mbele yako?

21/06/2024

Hivi, unafanya nini kujikinga dhidi ya kupatwa na magonjwa?
Call/SMS/WhatsApp 0797146710
ndani ya

21/06/2024

Gumzo;
Hivi, ni jukumu la nani kuhakikisha kwamba taka ambazo hutupwa ovyoovyo na hata kwenye barabara mtaani zimeondolewa?

Call/SMS/WhatsApp 0797146710

  hewani hadi saba mchana nami Tabby Tabitha Njambi ama ukipenda Auntie Tabby. Wakilisha mtaa. Call/SMS/WhatsApp 0797146...
21/06/2024

hewani hadi saba mchana nami Tabby Tabitha Njambi ama ukipenda Auntie Tabby. Wakilisha mtaa.
Call/SMS/WhatsApp 0797146710

Studioni tunaye Anami Daudi mwanachama wa Amnesty International Kenya.Hii leo tunaangazia ubomozi wa maakazi chini ya  ....
21/06/2024

Studioni tunaye Anami Daudi mwanachama wa Amnesty International Kenya.Hii leo tunaangazia ubomozi wa maakazi chini ya .
Je,haki zako zilikiukwa wakati wa ubomozi?

Ni Kikweeeeeeeetu Friday Changamka show Kaka Beru na Carilus Mwangome Goodmorning....m
21/06/2024

Ni Kikweeeeeeeetu Friday Changamka show Kaka Beru na Carilus Mwangome

Goodmorning....m

Good morning! Thanksgiving Friday ndani ya Mawimbi ya Baraka na Rubani Wa Injili Martin Bunyali... Unategea ukiwa wapi?
21/06/2024

Good morning! Thanksgiving Friday ndani ya Mawimbi ya Baraka na Rubani Wa Injili Martin Bunyali... Unategea ukiwa wapi?

Address

Falcon Road
Nairobi
00200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ruben FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ruben FM:

Videos

Share

Category

Our Story

Ruben FM is broadcasting from Ruben Centre - an oasis of hope that provides support to the residents of Mukuru. The station provides a platform for up-and-coming artists, a chance to broadcast news and current affairs and gives a voice to the voiceless. Tune in to 99.9 to get all the lastest information and entertainment from your favourite presenters.


Other Radio Stations in Nairobi

Show All