Dennis putin kenyatta

Dennis putin kenyatta 1.Ukurasa wa habari za michezo
2.pata ratiba
3.matokeo na
4.Tetesi za soka barani ulaya
(14)

Ronaldinho Gaรบcho: "Baba yangu aliniambia kuwa ni bora kujifunza kudhibiti mpira bila viatu. Kwa njia hiyo ningekuwa na ...
11/01/2025

Ronaldinho Gaรบcho: "Baba yangu aliniambia kuwa ni bora kujifunza kudhibiti mpira bila viatu. Kwa njia hiyo ningekuwa na hisia zaidi. Nilimuahidi kwamba nitafanya k**a hakuna mtu mwingine. Tatizo kubwa lilikuwa kwamba sikufanya hivyo. uwe na pesa ya kununua buti."๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท๐Ÿ”ฎ๐Ÿค™๐Ÿพ

๐Ÿ—ฃ๏ธ Karim Benzema: โ€œNataka kutuma ujumbe kwa watu wa Madrid, kwa sababu bado niko Real Madrid. Hii ni timu iliyoundwa kus...
11/01/2025

๐Ÿ—ฃ๏ธ Karim Benzema: โ€œNataka kutuma ujumbe kwa watu wa Madrid, kwa sababu bado niko Real Madrid.

Hii ni timu iliyoundwa kushinda mataji. Mwaka huu tena, Real itathibitisha kuwa ni klabu bora zaidi duniani. Hala Madrid! ยป

BREAKING: Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Argentina watajaribu kumshawishi รngel Di Marรญa kurejea katika timu ya taifa! In...
11/01/2025

BREAKING: Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Argentina watajaribu kumshawishi รngel Di Marรญa kurejea katika timu ya taifa! Ingawa ana furaha katika kustaafu, jitihada zitafanywa kumrudisha.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น๐Ÿ˜ญMario Balotelli: "Maisha yangu yote nchini Italia, nimekuwa nikiitwa majina lakini sina chochote dhidi ya nyani kwa s...
11/01/2025

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น๐Ÿ˜ญMario Balotelli: "Maisha yangu yote nchini Italia, nimekuwa nikiitwa majina lakini sina chochote dhidi ya nyani kwa sababu nina uhakika sana kwamba tumbili ni bora kuliko mbaguzi.

" Hakuna binadamu anayestahili matibabu haya. Waitaliano wanaweza kufanya vyema zaidi๐Ÿ’”๐Ÿ˜ข๐Ÿ‘๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

Tunasimama nawe Mario Balotelli! Wewe ni malaika na bingwa๐Ÿ† na hakuna anayeweza kukuangusha. Blรขck ni mremboโค๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆ๐—๐—ผ๐—ต๐—ป ๐—ข๐—ฏ๐—ถ ๐— ๐—ถ๐—ธ๐—ฒ๐—น ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐— ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ๐˜€๐—ผ๐—ป: "Yeye (Jackson) hafungi vya kutosha, anajiweka kwenye nafa...
11/01/2025

๐—จ๐—ฃ๐——๐—”๐—ง๐—˜๐—ฆ

๐—๐—ผ๐—ต๐—ป ๐—ข๐—ฏ๐—ถ ๐— ๐—ถ๐—ธ๐—ฒ๐—น ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐— ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ๐˜€๐—ผ๐—ป:

"Yeye (Jackson) hafungi vya kutosha, anajiweka kwenye nafasi nzuri na hamalizi, hafungi vya kutosha. Sio mshambuliaji ambaye atatuwezesha kufika 4 bora au kushinda mataji, kifupi huyo kijana mshambuliaji, sidhani k**a anaweza kutuvuka mstari, ni mzuri kwenye mpira na anaunganisha, lakini hafungi vya kutosha".

โ€œMaresca anatakiwa kuongea na Nicolas Jackson na kumpa kujiamini, hana mabao ya kutosha na licha ya mabao ya kutosha hajui kutumia nafasi za waziโ€.

Aliyekuwa Mmiliki wetu Mheshimiwa Tajiri Roman Abramovich alimueleza Didier Drogba "Wewe ni mtu wa kazi, lakini pale majeraha yanaweza kutokea, kushuka kiwango,... tutafanya nini basi?" Nicolas lazima asiwe na hasira, nasema hivyo, ni kwa manufaa ya timu na klabu.

" Sir Roman Abramovich alileta Washambuliaji wengine wazuri kila mwaka, tulikuwa na Nicolas Anelka ambaye alikuja kusaidia Drogba, pia Fernando Torres na Andriy Shevchenko" hiyo yote ilikuwa sababu ya kumfanya Drogba aongeze bidii (awe imara zaidi).

"Tunahitaji mtu anayejua kuweka mpira wavuni"

"Jackson anza kufunga na uniambie ninyamaze tena!"

"Kwa nini Joรฃo Fรฉlix hachezi? Tunahitaji kumuona mara kwa mara uwanjani, nadhani angeisaidia timu sana"

Amesema mchezaji wa zamani wa Chelsea John Obi Mikel.

โš ๏ธ๐—ข๐—ฏ๐—ถ ๐— ๐—ถ๐—ธ๐—ฒ๐—น ๐˜†๐˜‚๐—ธ๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐—ต๐—ถ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ ?

Dennis putin kenyatta
โœ๏ธ Dpk

๐Ÿšฉ Today's Tips / MKEKA WA LEO ENGLAND: FA Cup13:00 Birmingham - Lincoln (1x)13:00 Bristol City - Wolves(Handicap: 0-2)Aw...
11/01/2025

๐Ÿšฉ Today's Tips / MKEKA WA LEO

ENGLAND: FA Cup
13:00 Birmingham - Lincoln (1x)
13:00 Bristol City - Wolves(Handicap: 0-2)Away
13:00 Middlesbrough - Blackburn(1x)
13:15 Liverpool - Accrington (Home Win & Over 2.5)
15:00 Leicester - QPR (1x)
16:00 Bournemouth - West Brom (Over 1.5)
16:00 Brentford - Plymouth(Home Win)
16:00 Chelsea - Morecambe(Home Win & Over 2.5)
16:00 Exeter - Oxford Utd(Handicap: 0-2)Away
16:00 Norwich - Brighton(Over 1.5)
16:00 Nottingham - Luton(1x)
16:00 Reading - Burnley(x2)
18:45 Leeds - Harrogate (Home win & Over 1.5)
18:45 Manchester City - Salford(Over2.5)
19:00 Coventry - Sheffield Wed(Over1.5)
19:00 Leyton Orient - Derby (Handicap: 0-2)Away

SPAIN: LaLiga Standings
14:00 Alaves - Girona (Handicap: 0-2)Away
16:15 Valladolid - Betis(x2)
21:00 Sevilla - Valencia (Over 1.5)

FRANCE: Ligue 1 Standings
17:00 Brest - Lyon(Handicap: 0-2)Away
19:00 Reims - Nice (Handicap: 0-2)Away
21:05 Rennes - Marseille (Handicap: 0-2)Away

GERMANY: Bundesliga Standings
15:30 Freiburg - Holstein Kiel (1x)
15:30 Hoffenheim - Wolfsburg(Over 1.5)
15:30 Mainz - Bochum (1x)
15:30 St. Pauli - Eintracht Frankfurt (Over 1.5)
18:30 B. Monchengladbach - Bayern Munich (Away Win either half-Yes)

ITALY: Serie A Standing
15:00 Udinese - Atalanta (x2)
18:00 Torino - Juventus(x2)
20:45 AC Milan - Cagliari (1x)

PORTUGAL: League Cup
20:45 Sporting CP - Benfica (Handicap: 0-2)Away

SAUDI ARABIA: Saudi Professional League Standings
14:45 Al Orubah - Al Hilal(Away Win)
15:40 Al Qadisiya - Al Taawon (Over 1.5)
18:00 Al Feiha - Al Ittihad(x2)

SCOTLAND: Premiership Standings
13:30 Ross County - Celtic(Over 1.5)
16:00 St. Mirren - Dundee Utd (Over 1.5)

NETHERLANDS: Eredivisie Standings
18:45 Ajax - Waalwijk (Home Win)
20:00 Zwolle - Nijmegen(Handicap: 2-0)Home
21:00 PSV - AZ Alkmaar(Home win either half-Yes)

AFRICA: CAF Champions League Standings
14:00 Maniema (Drc) - Mamelodi Sundowns (Rsa) (Handicap: 0-2) Away
17:00 Sagrada (Ang) - Pyramids (Egy)(x2)
17:00 Stade d'Abidjan (Ivo) - Al Ahly (Egy)(x2)
20:00 FAR Rabat (Mar) - Raja Casablanca (Mar)(Handicap: 2-0)Home

BELGIUM: Jupiler Pro League Standings
16:00 Westerlo - St. Truiden(Over 1.5)
18:15 Genk - Leuven (Over 1.5)
20:45 Charleroi - Royale Union SG(Handicap: 0-2) Away

GREECE: Super League Standings
19:30 Olympiacos Piraeus - Aris (1x)

TURKEY: Super Lig Standings
11:30 Kayserispor - Samsunspor (Handicap: 0-2)Away
14:00 Hatayspor - Rizespor (Over 1.5)
17:00 Besiktas - Bodrumspor(1x)

CYPRUS: Cyprus League Standings
16:00 Paralimni - Apollon (x2)
18:00 Aris - Pafos (Handicap: 2-0)Home

FINLAND: Liiga Cup Standings
13:00 HJK - Gnistan (Over 1.5)

ICELAND: Reykjavik Cup Standings
13:00 Valur - Throttur (Over 1.5)
14:00 KR Reykjavik - Fjolnir (Over 1.5)

ISRAEL: Ligat ha'Al Standings
14:00 Maccabi Haifa - Kiryat Shmona (Home Win either half-Yes)
17:00 Beitar Jerusalem - Maccabi Bnei Raina (1x)
17:00 Netanya - Sakhnin (Handicap: 2-0)Home
18:30 Ironi Tiberias - Maccabi Tel Aviv (Away Win either half-Yes)

โ›ณ Total game: 59
โ˜‘๏ธ Pick: 25 to 35 or Play separate tickets... Good luck !!!

๐Ÿšฉ  MECHI ZA LEO ENGLAND: FA Cup13:00 Birmingham - Lincoln13:00 Bristol City - Wolves13:00 Middlesbrough - Blackburn13:15...
11/01/2025

๐Ÿšฉ MECHI ZA LEO

ENGLAND: FA Cup
13:00 Birmingham - Lincoln
13:00 Bristol City - Wolves
13:00 Middlesbrough - Blackburn
13:15 Liverpool - Accrington
15:00 Leicester - QPR
16:00 Bournemouth - West Brom
16:00 Brentford - Plymouth
16:00 Chelsea - Morecambe
16:00 Exeter - Oxford Utd
16:00 Norwich - Brighton
16:00 Nottingham - Luton
16:00 Reading - Burnley
16:00 Sunderland - Stoke
18:45 Leeds - Harrogate
18:45 Manchester City - Salford
19:00 Coventry - Sheffield Wed
19:00 Leyton Orient - Derby

SPAIN: LaLiga Standings
14:00 Alaves - Girona
16:15 Valladolid - Betis
18:30 Espanyol - Leganes
21:00 Sevilla - Valencia

FRANCE: Ligue 1 Standings
17:00 Brest - Lyon
19:00 Reims - Nice
21:05 Rennes - Marseille

GERMANY: Bundesliga Standings
15:30 Freiburg - Holstein Kiel
15:30 Heidenheim - Union Berlin
15:30 Hoffenheim - Wolfsburg
15:30 Mainz - Bochum
15:30 St. Pauli - Eintracht Frankfurt
18:30 B. Monchengladbach - Bayern Munich

ITALY: Serie A Standings
15:00 Empoli - Lecce
15:00 Udinese - Atalanta
18:00 Torino - Juventus
20:45 AC Milan - Cagliari

PORTUGAL: League Cup
20:45 Sporting CP - Benfica

SAUDI ARABIA: Saudi Professional League Standings
14:45 Al Orubah - Al Hilal
15:40 Al Qadisiya - Al Taawon
18:00 Al Feiha - Al Ittihad

SCOTLAND: Premiership Standings
13:30 Ross County - Celtic
16:00 Hibernian - Motherwell
16:00 St. Mirren - Dundee Utd

SOUTH AFRICA: Premiership Standings
14:30 Magesi - AmaZulu
14:30 Marumo Gallants - Cape Town City

NETHERLANDS: Eredivisie Standings
16:30 Heracles - Sparta Rotterdam
18:45 Ajax - Waalwijk
20:00 Zwolle - Nijmegen
21:00 PSV - AZ Alkmaar

AFRICA: CAF Champions League Standings
14:00 Maniema (Drc) - Mamelodi Sundowns (Rsa)
17:00 Sagrada (Ang) - Pyramids (Egy)
17:00 Stade d'Abidjan (Ivo) - Al Ahly (Egy)
20:00 FAR Rabat (Mar) - Raja Casablanca (Mar)

BELGIUM: Jupiler Pro League Standings
16:00 Westerlo - St. Truiden
18:15 Genk - Leuven
20:45 Charleroi - Royale Union SG

GREECE: Super League Standings
19:30 Olympiacos Piraeus - Aris

TURKEY: Super Lig Standings
11:30 Kayserispor - Samsunspor
14:00 Hatayspor - Rizespor
17:00 Besiktas - Bodrumspor

Vinicius Josรฉ Paixรฃo de Oliveira Jรบnior yupo katika mipango ya kuinunua klabu moja inayoshiriki ligi ya daraja la pili n...
11/01/2025

Vinicius Josรฉ Paixรฃo de Oliveira Jรบnior yupo katika mipango ya kuinunua klabu moja inayoshiriki ligi ya daraja la pili nchini Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น.

Source: Transfer News Live

FOLLOW US.

Mshambuliaji wa Newcastle United, Alexander Isak ameshinda Tuzo Mbili, Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Disemba na Tuzo ya...
11/01/2025

Mshambuliaji wa Newcastle United, Alexander Isak ameshinda Tuzo Mbili, Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Disemba na Tuzo ya Bao Bora La Mwezi Disemba kwenye Ligi Kuu ya Uingereza.

Alistahili ama kuna mchezaji mwingine unahisi alistahili?

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwandishi Jabob Ben, Chelsea imekataa ofa kutoka Wolves waliomtaka Renato Veiga. Stuttg...
11/01/2025

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwandishi Jabob Ben, Chelsea imekataa ofa kutoka Wolves waliomtaka Renato Veiga. Stuttgart ya Ujerumani na Bournemouth zinaendelea kutajwa kumtaka beki huyo raia wa Ureno.

๐ŸšจKocha Enzo Maresca amethibitisha wachezaji Ben Chilwell na Cesare Casadei wanaweza kuondoka kwenye dirisha hili la mwez...
11/01/2025

๐ŸšจKocha Enzo Maresca amethibitisha wachezaji Ben Chilwell na Cesare Casadei wanaweza kuondoka kwenye dirisha hili la mwezi Januari

Eti mayester United  na Liverpool wakatoka sare !!๐Ÿ˜‚
11/01/2025

Eti mayester United na Liverpool wakatoka sare !!๐Ÿ˜‚

Kwa mujibu wa Telegraph kati ya Mohamed Salah ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ na Virgil Van Dijk ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Kuna mmoja wapo mkataba wake wa kusalia Liverpool...
11/01/2025

Kwa mujibu wa Telegraph kati ya Mohamed Salah ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ na Virgil Van Dijk ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Kuna mmoja wapo mkataba wake wa kusalia Liverpool kwa miaka mingine miwili uta tangazwa rasmi.

Macho yana muona Captain Fantastic Virgil Van Dijk ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ.

- Huna haja ya kubadilisha utaifa wako ili kuwa mchezaji bora .. ๐Ÿ’™๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒWataje Majina Yao kwenye Comment
11/01/2025

- Huna haja ya kubadilisha utaifa wako ili kuwa mchezaji bora .. ๐Ÿ’™๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ

Wataje Majina Yao kwenye Comment

Kuna taarifa kuwa Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Thiago Silva ni mmoja wa wanaohusika kwenye utafutaji wa Beki wa Kati m...
11/01/2025

Kuna taarifa kuwa Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Thiago Silva ni mmoja wa wanaohusika kwenye utafutaji wa Beki wa Kati mzuri kwa ajili ya Chelsea.

Siku za karibuni, tumekuwa tukikumbwa na matatizo kwenye safu yetu ya Ulinzi, balaa ambayo imetufanya kumaliza Mwaka jana kwenye Position tusiyostahili.

Tumuamini Silva kwenye usakaji ama Kocha ndo anafaa kutafuta mwenyewe maana ndiye atakayemtumia?๐Ÿค”

Wengi hudhani kuwa Linda Caicedo na Moises Caicedo ni ndugu, wengine hudhani wanatoka Taifa moja;Linda anakipiga Real Ma...
11/01/2025

Wengi hudhani kuwa Linda Caicedo na Moises Caicedo ni ndugu, wengine hudhani wanatoka Taifa moja;

Linda anakipiga Real Madrid na Moises anakipiga Chelsea ila wanatoka Nchi mbili Tofauti zilizopo Marekani Kusini.

Linda anatoka taifa la Colombia๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด kisha Moises anatoka taifa la Ecuador๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ, kando na jina la "Caicedo", si umeona pia Bendera zao zimetofautishwa na kitu kidogo tu.

Isitoshe, nchi hizi mbili ni Majirani k**a tu vile Kenya๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช na Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, yaani zinapakana ila k**a Tanzania tu, Colombia ni Pana kuliko Ecuador. Alafu swala la Jina ni k**a vile unavyopata jina "Mwinyi" Kenya na bado utalikuta Tanzania.

Wawili hawana uhusiano wowote wa kindugu ila unaweza kuwafananisha na jamii ya Masai, wapo 254 na wapo Bongo.

Sasa kina Caicedo wapo Colombia na wapo Ecuador.

๐ŸšจJuventus wamefanya usajili wa beki kuwa kipaumbele cha kwanza Januari hii na Axel Disasi wa Chelsea ni mmoja ya shabaha...
11/01/2025

๐ŸšจJuventus wamefanya usajili wa beki kuwa kipaumbele cha kwanza Januari hii na Axel Disasi wa Chelsea ni mmoja ya shabaha zao.

Chelsea wako tayari kumuachia kwa mkopo ila Kipengele cha kumsajili jumla kutokana na idadi ya mechi atakazocheza kiwekwe kwenye mkataba.

(Gianluca Di Marzio)

Address

30036_00100
Nairobi
33004

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dennis putin kenyatta posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dennis putin kenyatta:

Videos

Share

Category