Radio 47

Radio 47 📻 Radio inayovuma kwa kishindo, na inayokua kwa kasi zaidi nchini! , Na Bado!☎️+254793047047/ +254783 047047 WhatsApp📱 +254719739487
(100)

Leo hii ndani ya  , Cate Kulo anazungumza na Mwenyekiti wa NPA, David Silas, Mbunge Catherine Wambilyanga, pamoja na Mku...
11/09/2024

Leo hii ndani ya , Cate Kulo anazungumza na Mwenyekiti wa NPA, David Silas, Mbunge Catherine Wambilyanga, pamoja na Mkurugengi wa Z**i Afrique, Samuel Otieno, kuhusu usalama wa wanafunzi shuleni.

Raila Odinga akabidhi uongozi wa chama cha ODM kwa Gavana wa Kisumu Anyang' Nyong'o kwa muda.
11/09/2024

Raila Odinga akabidhi uongozi wa chama cha ODM kwa Gavana wa Kisumu Anyang' Nyong'o kwa muda.

11/09/2024

Wachezaji wa Harambee Stars wamekwama nchini Afrika Kusini kutokana na mgomo wa wafanyazi unaondelea JKIA. Billy Miya Hassan mwana wa Ali

Anothe Maskani47 proverb: "Nyuma sio kipimo cha mbele."     Billy Miya
11/09/2024

Anothe Maskani47 proverb: "Nyuma sio kipimo cha mbele." Billy Miya

11/09/2024

SEPTEMBER 14,2024😎🔥 Mark the date and time! Njoo tupige sherehe moja safi ya mziki wa rhumba tukiwa na Freshly Mwamburi, Rhumba Japan , Cate Kulo , Messdj Tha Don , pamoja na DJ Numz LIVE ndani ya Sarit Hassan mwana wa Ali

11/09/2024

Bancey Kimuyu - Manchester United itachapa Southampton. Hassan mwana wa Ali

President William Ruto - We must do everything we can to end corruption at every level of government.
11/09/2024

President William Ruto - We must do everything we can to end corruption at every level of government.

K**a sio hivi hatutaki 😂!     Billy Miya
11/09/2024

K**a sio hivi hatutaki 😂! Billy Miya

Thee Pluto has announced his breakup with his girlfriend Felicity Shiru, ending their three-year relationship.
11/09/2024

Thee Pluto has announced his breakup with his girlfriend Felicity Shiru, ending their three-year relationship.

What is the hardest truth about relationships that people are afraid of? Karibu ndani ya Maskani47 ukiwa na Billy Miya. ...
11/09/2024

What is the hardest truth about relationships that people are afraid of? Karibu ndani ya Maskani47 ukiwa na Billy Miya.

11/09/2024

Plannet Kenya - Wasanii wanafiki ni wengi sana. Manucho the Young Baller DJ IMMO KENYA

11/09/2024

Plannet Kenya - Uandishi wangu wa nyimbo ni tofauti sana na wasanii wengine. Manucho the Young Baller DJ IMMO KENYA

Wafanyikazi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kisumu na Moi mjini Mombasa wameungana na wenzao wa JKIA kuandamana kupin...
11/09/2024

Wafanyikazi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kisumu na Moi mjini Mombasa wameungana na wenzao wa JKIA kuandamana kupinga ujio wa kampuni ya Adani.

Mlinzi alishambuliwa na kuuawa wakati wa tukio la wizi katika Shule ya Sekondari ya Kyasila huko Machakos Town.
11/09/2024

Mlinzi alishambuliwa na kuuawa wakati wa tukio la wizi katika Shule ya Sekondari ya Kyasila huko Machakos Town.

A watchman was fatally attacked during a robbery incident at Kyasila Secondary School in Machakos Town.

Leo hii ndani ya   tunazungumza na Plannet Kenya. Are you tuned in?
11/09/2024

Leo hii ndani ya tunazungumza na Plannet Kenya. Are you tuned in?

11/09/2024

Kila region ikona stage yake hii town🤣🤣

Which is your song of the week?Manucho the Young Baller DJ IMMO KENYA
11/09/2024

Which is your song of the week?
Manucho the Young Baller DJ IMMO KENYA

Karibu ndani ya   kuanzia 1-3pm tukiwaandalia muziki ya kisasa na ya kuburudisha mpaka tamati. Unasikiliza ukiwa wapi?
11/09/2024

Karibu ndani ya kuanzia 1-3pm tukiwaandalia muziki ya kisasa na ya kuburudisha mpaka tamati. Unasikiliza ukiwa wapi?

11/09/2024

You just need one sip in your system to go back to step one-Fatuma Musau.

11/09/2024

In-patient rehabilitation nini?

Karibu ndani ya Health Wednesday na Fatuma Musau, Recovery Coach Zawena Treatment Center. Usikose kuanzia 12-1pm na
11/09/2024

Karibu ndani ya Health Wednesday na Fatuma Musau, Recovery Coach Zawena Treatment Center. Usikose kuanzia 12-1pm na

COTU Secretary General Francis Atwoli amelaumu serikali kwa kushindwa kuwashirikisha wafanyakazi wa anga katika makubali...
11/09/2024

COTU Secretary General Francis Atwoli amelaumu serikali kwa kushindwa kuwashirikisha wafanyakazi wa anga katika makubaliano yanayompa Adani kuendesha shughuli za JKIA kwa miaka 30.

Unakubaliana na hii kauli?
11/09/2024

Unakubaliana na hii kauli?

Mahakama ya Nakuru imetoa hati ya kukamatwa kwa Gavana Jonathan Bii na naibu wake John Barorot kwa kushindwa kutoa ushah...
11/09/2024

Mahakama ya Nakuru imetoa hati ya kukamatwa kwa Gavana Jonathan Bii na naibu wake John Barorot kwa kushindwa kutoa ushahidi katika kesi ya programu ya elimu ya Sh1 bilioni ya Finland.

Operesheni zimevurugika kabisa katika uwanja wa ndege, na mashirika ya ndege pia yametangaza ucheleweshaji na uwezekano ...
11/09/2024

Operesheni zimevurugika kabisa katika uwanja wa ndege, na mashirika ya ndege pia yametangaza ucheleweshaji na uwezekano wa kufutwa kwa ndege zinazowasili na zinazondoka.

11/09/2024

Never trust anyone mwenye ananunua nguo na hafui ndio avae- Mkamburi

11/09/2024

Nyumba bila balcony si nyumba na mume wa mtu maziwa 😂😂.

Noma noma!!
11/09/2024

Noma noma!!

Wagwan Mchikicho Family! Ni siku mpya, karibu ndani ya   kuanzia 10am asubuhi hadi 1pm mchana. Je, uko live?
11/09/2024

Wagwan Mchikicho Family! Ni siku mpya, karibu ndani ya kuanzia 10am asubuhi hadi 1pm mchana. Je, uko live?

Address

Cape Media Limited, P. O. Box 599 West End Park Court, Muthaiga North
Nairobi
00606

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio 47 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio 47:

Videos

Share

Other Broadcasting & media production in Nairobi

Show All