Harmonize anawakumbusha mashabiki zake kwamba mwaka huu anakuja na Album ya kimataifa (Gibal Album) kwahiyo kuleta tuzo ya Grammy Tanzania ni uhakika.
#donexpoupdates #bongo #daressalaam #zanzibar #nairobi
#rihanna seen entering court premises to support the father of his children #AsapRocky in the trial against him
#donexpoupdates #hiphop #nairobi #daressalaam
@harmonize_tz atangaza kuachia dude jipya #Xboyfriend ijumaa hii.
Pia ameongezea kusema kuwa yeye hawezi kunyoa Rasta zake , siku moja ya kushare video kwenye insta story iliyomwonyesha kunyoa Rasta zake...Amesisitiza kuwa hawezi kuishi namna watu wanavyotaka ila atafanya vitu anazotaka kufanya bila kushinikizwa na yeyote yule.
#donexpoupdates #harmonize #bongo #daressalaam #zanzibar
Mkurugenzi wa lebo ya muziki wa WCB Wasafi @diamondplatnumz amethibitisha taarifa za msanii @mbosso kuondoka rasmi chini ya lebo hiyo na kuwa msanii huru ambaye anajitegemea mwenyewe kisanaa.
@diamondplatnumz anaeleza kutokana na ukarimu na heshima ya Mbosso katika kipindi chote ambacho wamefanya kazi pamoja, imemlazimu kumuachia Mbosso bila kumlipisha gharama zozote kama mikataba ilivyotaka na kuifanya hiyo kama sehemu ya baraka zake katika safari mpya ya Mbosso kisanaa..
#donexpoupdates #bongo #daressalaam #zanzibar #nairobi
#jumalokole adai kuwa Aziziki mchezaji wa #yangasc tayari ashalipa mahari ya #Hamisamobetto na watafunga harusi kabla ya ramadhan.
Juma Lokole pia ameongezea kuwa #Aziziki atakuwa akitoka yanga mwishoni mwa msimu huu.
#donexpoupdates #bongo #daressalaam #zanzibar #nairobi
#KanyeWest and #BiancaCensori attend the 2025 #Grammys
___________________________________________
Rapper Kanye West and his wife "Bianca Censori" on the red-carpet of the Grammy awards right now in Los Angeles, America.
But this girl is a whip+++
#donexpoupdates #kanyewest #grammy #daressalaam #nairobi
#Ericomondi Amesema kama hauna pesa usiangalie wanawake wala usitamani kuwa na mahusiano na wao😂😂
Mnakubaliana na Eric kwa Hilo??
#donexpoupdates #nairobi #ke #bongo #daressalaam