Charliey the journalist

Charliey the journalist News presentation

08/09/2021

Kiongozi wa chama cha ANC amesema huenda akamchagua mgombea mwenza wa kiti cha urais kutoka mlima Kenya,amesema Haya alipokutana Na wabunge takribani 50 kutoka mlima Kenya wote Kwa Kauli moja waliapa kumuunga mkono kiongozi hiyo.

26/08/2021
Magazeti ya leo
19/08/2021

Magazeti ya leo

Licha ya serikali kusema Elimu ni muhimu kwa Kila mwanafunzi,shule kadhaa huko sirisia kaunti ya bungoma bado zinaongeza...
19/08/2021

Licha ya serikali kusema Elimu ni muhimu kwa Kila mwanafunzi,shule kadhaa huko sirisia kaunti ya bungoma bado zinaongeza mzigo wa fedha kwa wazazi kwa kuwatosa Hadi shilingi elfu moja K**a pesa za masomo ya ziada.lalama hizi zinazidi kutolewa na wazazi ambao wamemwomba waziri wa Elimu profesa Gorge Magoha kuingilia Kati pamoja na wizara ya Elimu kaunti ya bungoma.

Eliudi kipchoge alishinda nishani ya nne ya dhahabu🇰🇪🇰🇪🇰🇪huko Tokyo Japan
09/08/2021

Eliudi kipchoge alishinda nishani ya nne ya dhahabu🇰🇪🇰🇪🇰🇪huko Tokyo Japan

Mbunge wa Kimilili mheshimiwa Didmus Barasa amea hiliwa baada ya kushikwa kutokana na kumjeruhi mwanakandarasi Stephen m...
02/08/2021

Mbunge wa Kimilili mheshimiwa Didmus Barasa amea hiliwa baada ya kushikwa kutokana na kumjeruhi mwanakandarasi Stephen masinde.ameachiliwa kwa bond ya shilingi 100000.

Raisi Uhuru Kenyatta ndiye rais ambaye amepatiana title deeds nyingi utafiti unaonyesha.
02/08/2021

Raisi Uhuru Kenyatta ndiye rais ambaye amepatiana title deeds nyingi utafiti unaonyesha.

Marafiki wa karibu wa rais Uhuru Kenyatta,,
02/08/2021

Marafiki wa karibu wa rais Uhuru Kenyatta,,

Naibu wa rais Dr William Ruto amezuiws Leo kuzuru Uganda katika ziara ya kibinafsi
02/08/2021

Naibu wa rais Dr William Ruto amezuiws Leo kuzuru Uganda katika ziara ya kibinafsi

Naibu wa rais Dr William Ruto amehudhuria ibada katika kanisa la St Joseph's Catholic kaunti ya Nyandarwa.Amewashtumu vi...
25/07/2021

Naibu wa rais Dr William Ruto amehudhuria ibada katika kanisa la St Joseph's Catholic kaunti ya Nyandarwa.Amewashtumu viongozi wa upinzani kwa kile amesema Ni wao wamechangia kuendelea kuporomoka kwa chama Cha Jubelee.
Kwingineko naibu wa rais amewataja mbunge Babu Owino na mwenzake Glads Wanga wote wa ODM K**a walio na matusi kwenye matamshi yao na kwamba Ni wao wameshikilia nyadhifa za kamati ya bunge zilizoshikiliwa na Moses Kuria mbunge wa Gatundu kusini pamoja na Susan kihika wote alikuwa ameandamana nao.

04/07/2021
29/06/2021

Jina la Wanjigi si geni miongoni mwa wakenya,bwanyenye huyu ambaye alikuwa mfadhili mkuu wa NASA katika uchaguzi wa mwaka 2017,Sasa amejitokeza na kusema kuwa atawania urais mwaka ujao 2022.

29/06/2021

Mwezi ujao kiongozi wa nchi Uhuru Kenyatta anatazamiwa kuzuru maeneo ya bonde la ufa kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo,haijabainika wazi ikiwa naibu wa rais Dr William Ruto atahudhuria mikutano hiyo.

28/06/2021

Mgawanyiko unaoshudiwa miongoni mwa ma MCA wa kaunti ya bungoma hasa kukiwepo kundi linalo muunga seneta Moses Wetang'ula na mrengo mwingine unaomuunga gavana Wangamati unazidi kulemaza juhudi za viongozi hao kuelewana bungeni ili kuwasilisha maslahi ya wananchi ishughulikiwe, wananchi wamewaomba viongozi wazike tofauti zao ili wawafanyiwe kazi ipasavyo.

28/06/2021

Bungoma herbal doctors urge the County government to intervene the surge in the Covid-19 virus ,seek help to install machines to manufacture herbal medicine in support of health sector.

28/06/2021

Baadhi ya viongozi kutoka eneo la magharibi wanapendekeza makanisa yafunguliwe ila idadi ya watu watakao hudhuria iwe ya chini.

28/06/2021

Kesho jumanne tarehe 29 ndio suku kesi iliyo wasilishwa na mawakili wanaowawakilisha raisi Uhuru Kenyatta,kinara wa ODM Raila odinga,mwanasheria mkuu Kihara Kariuki na tume ya uchaguzi IEBC kuhusiana na rufaa iliyo wasilishwa kwa mahakama hiyo kuinusuru BBI kutokutupiliwa mbali,kesi hiyo itaskizwa na majaji Saba wakiongozwa na jaji musinga,aidha hatima ya BBI itajulikana tarehe mbili mwezi wa julai mwaka huu wa 2021.

27/06/2021

There will be a tough competition in sirisia politics come 2022,,for citizens let not be divided due to politics let's love each other,preach peace among ourselves and vote for our leaders wisely make sure that your opinion is not based on a particular part or individual,, for my fellow youths wakati Ni Sasa was kutafuta vitambulisho jisajili K**a mpiga kura Ni sisi tutaleta tofauti sirisia yako Ni haki yako🙏

Ukame unaoshuudiwa kaunti kadhaa zipatikanazo mkoa wa magharibi huenda ukasababisha baa la njaa msimu ujao,, wananchi wa...
27/06/2021

Ukame unaoshuudiwa kaunti kadhaa zipatikanazo mkoa wa magharibi huenda ukasababisha baa la njaa msimu ujao,, wananchi wanaopatikana kaunti hizo wanaiomba wizara ya kilimo pamoja na ya mazingira kuingilia Kati kunusuru raia hao.

Address

Bungoma
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Charliey the journalist posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Charliey the journalist:

Videos

Share

Nearby media companies



You may also like