UDAKU KENYA

UDAKU KENYA Jokes.,moods rising hooks and hook ups

03/11/2021

Milky way iko na maziwa...

19/06/2021

Mwanzilishi wa kenya alikua mzee jomo kenyatta kieleweke,lakini c eti ni yye alizaa watu wote kenya,

19/06/2021

Kutu iii...hzo matusi ziliishianga wapi...

31/05/2021

Kati ya kiporo ya unga namba 1 na unga namba 2 ile ya kisiagi ni gani inakuanga tamu na strungi....team fukuza umasikini...sema na kwa hewa,maoni

23/03/2021

kuuliza tu,,BBI na BBC...niza mtu mmoja

12/02/2021

zile machoki watu uomba kutua leo kuna mwenye ameniomba aweke..

04/10/2020

Deportation Ni K**a destination ama naielewa kiupande upande

25/09/2020

Usijiskie sana maskini kumwomba mungu...

22/09/2020

School reopening
Dear student...
Ufunguo za kufungua shule zimepotea
Inaonekana ile time China covid 19 ilikua inalipuka...
Ufunguo zilionekana chini ya social distance na curfew ikafanya giza kuzuia kuonekana kwake...

SUFURIA ya mbiro...ni gani.....
16/09/2020

SUFURIA ya mbiro...ni gani.....

31/08/2020

I do everything to make sure i put a smile on ma face..stone face is wat I wear..
En everything that suit ma tie...
I tight ma pocket,paying patience was all that ever took ma cost...
This verse brought light
Greenlight,yellow gold wish was all lol en diamonds twikling dis tints..
For ma way to garden same place dat got apples
Dats is wat she ever brought..

Mbona maziwa ilipatiwa rangi ya white...na inatoka kwa damu ya red
31/08/2020

Mbona maziwa ilipatiwa rangi ya white...na inatoka kwa damu ya red

18/08/2020

K**A SUKARI NA ASALI ZINA UTAMU...SUKARI YA UTAMU WA ASALI NI NINI.....bure sana...

22/07/2020

Hizi miaka vile zinakimbiaga... Ata jua na mwezi ziko kwa hio mbio...
Swali zingine zinajibibiwangwa aje

07/06/2020

Mabazenga watu aina gani...

03/06/2020

Ile mask ya money heist pia ni mask ama...

31/05/2020

Bedsitter ni ile kitanda ya 6 by 4…..kuuliza c ujinga

19/04/2020

Kuna venye mtu anaeza lala kishingo upande... Nauliza tu...

17/04/2020

Kuna wale wanatumia mask zile za kuzuia teargas... Baada ya Corona virus mtatuambia ujuji mlitoa wapi....

17/04/2020

Kuja mjini na akili..
Tabia utapata uku...
Kumbuka Ata ukiwa na meno kubwa k**a ngiri hauezi tafuna Maji...
Au ukitafuna mifupa kwa ujana wako
Kwa uzee hautazuiwa kunywa supu ya nyama....
na kaystar
patia rossah

16/04/2020

Usiniulize nmetoka wapi...

15/04/2020

Ile udaku uko nayo utaacha....
Wee ndo uko na udaku kwani unaons K**a tumeshikana...

15/04/2020

Wewe naongea na Wewe uko hapo nini umechangia ilikuhakikisha kwamba unasaidia katika vita hvi vya Corona......
Ata ukinsaidia nisaidie wengine nisawa kwa radhi...

14/04/2020

Hiki ni kinini kilikuja kwa hii Dunia Inaitwa covid 19
Ama ziko mingi huko jupiter alaf dawa yake iko kwa saturn....

Address

Nairobi

Telephone

+254703183424

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UDAKU KENYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category