26/03/2024
πππππππ: πππππ ππππ πππππ
Follow Basil Updates for morBasil Updates
ππππ π
Pupa alifunguka akaambia Amelia venye kila kitu kilikua na hata alikua ashapanga kuambia Amelia ni venye Amelia alijua kabla hajaambiwa. Amelia akamuuliza so wewe na Trisha mumeamua aje? Pupa akamwambia huyo hata nishampea notice ya siku mbili atoke. Amelia akamuuliza na uko sure ataenda? Pupa akamwambia wee relax utaona madhe.
Trisha na yeye,amekuja juu sana,hataki divorce na Junior hadi anaambia Junior najua hii ni deal yako na Pupa ndio nitoke huku,sikiza, huku mimi sitoki k**a lawyer wangu hajafika. Junior akamuuliza lawyer yupi? Huyo fake mwenye ulikuja na restraining orders? Trisha akashtuka,kisha kuna video ikatolewa na lawyer na Trisha akaonyeshwa akaambiwa sikiza, mambo ni mawili hata si matatu,you sign the papers or this video leaks. Trisha kuona ile video,alichukua divorce papers vizuuuuri akasign na akarudisha anajua,hii video ikitoka nje,yeye kwisha. Junior na Trisha divorce ikaingiana.
Junior ju ya furaha alicall Becky akamwambia hunnie, enda uoge tunaenda kusherehekea will sent you the location. Becky hakuambiwa sherehe ni ya nini but sherehe ni kusherehekea freedom and Junior is now officially single man ready to mingle with Becky.
Moh anatafuta nguo yake anashidwa imeenda wapi,kumbe ni Becky kameiba anataka kuvaa aende nayo out,na akapatikanaππbut ju ni masiz,haikua na issue,hadi akamchangulia top itaingiana na akamwambia by the way Pupa alipitia hapa. Becky akamuuliza kufanya nini? Moh akamwambia ni salamu tu...Becky akasema weee,ama kuna venyeπππMoh akamwambia zii,akaambia Becky,what if Pupa si mtoto wa Moses? Becky akamuuliza so point yako ni gani? Moh akamwambia what if Pupa anafake kuwa mtoto wa Moses ndio aoshe Amelia hiyo mali yote? Utashangaa sana Moh na Mali ya Moses inamuhusu niniππ
Pupa chakula kishaiva na Lexy ndio amespin kuspin hadi Pupa akamwambia manze venye unajua kupika,bwana yako atakua lucky sana kukuoa na usikose