Bullemq FM Online Radio

Bullemq FM  Online Radio HABARI NA TAARIFA ZA KUAMINIKA.

AJALI YA NDEGE, MALINDIWatu watatu wahofiwa kufa kwenye Ajali ya Ndege iliyotokea alasiri ya Leo  huko Malindi, Kaunti y...
10/01/2025

AJALI YA NDEGE, MALINDI

Watu watatu wahofiwa kufa kwenye Ajali ya Ndege iliyotokea alasiri ya Leo huko Malindi, Kaunti ya Kilifi.


za sasa

MAPENZI YA VISASI MICHEZONIBeki wa Klabu ya Real Madrid, Eder Militao kwa sasa anatoka kimapenzi na aliyekuwa mke wa Mum...
07/12/2024

MAPENZI YA VISASI MICHEZONI

Beki wa Klabu ya Real Madrid, Eder Militao kwa sasa anatoka kimapenzi na aliyekuwa mke wa Mume wa Aliyekuwa mke wake...

Vipi Hali hii waizungumziaje??



DOUGLAS KANJA KUCHUKUA USAKANI WA INSPEKTA GENERALIBunge la kitaifa Nchini limepitisha Jina la  Douglas Kanja kuwa Inspe...
18/09/2024

DOUGLAS KANJA KUCHUKUA USAKANI WA INSPEKTA GENERALI

Bunge la kitaifa Nchini limepitisha Jina la Douglas Kanja kuwa Inspekta Generali wa polisi.

Kanja Sasa anasubiri uteuzi rasmi kutoka kwa Rais ili kuchukua nafasi hiyo ambayo kwa sasa inashikiliwa na Gilbert Masengeli.


of content
General

BUNGE LA SENEGALI CHINI...Rais wa Senegali Bassirou Diomaye Faye alilivunja Bunge la kitaifa hiyo jana kwa kile kinachoz...
13/09/2024

BUNGE LA SENEGALI CHINI...

Rais wa Senegali Bassirou Diomaye Faye alilivunja Bunge la kitaifa hiyo jana kwa kile kinachozungumziwa kuwa uchache wa wabunge wake bungeni kwa hivyo kumpa wakati mgumu wa kupitisha bajeti na mabadiliko aliyoahidi wakati wa kampeni zake.

Uchaguzi mpya wa bunge umeratibiwa kifanyika mnamo Novemba 17 Mwaka huu.

Itakumbukwa kuwa Faye alishinda kiti Cha Urais Mwezi wa Machi mwaka huu.




SHUKRANI ZA AISHA KWA RUTO...Aisha Jumwa asema kuwa atamshukuru William Ruto Hadi siku ya mwisho Kaburini kwa kuwa amemf...
10/09/2024

SHUKRANI ZA AISHA KWA RUTO...

Aisha Jumwa asema kuwa atamshukuru William Ruto Hadi siku ya mwisho Kaburini kwa kuwa amemfanya aboreke zaidi.

Alizungumza haya alipokuwa akihojiwana na kituo kimoja cha Radio hapa nchini.

Akijitetea kutokana na rabsha iliyotokea hiyo Jana amesema kuwa nia yake ilikuwa kuukuza na kuutangaza utamaduni wa kimijikenda na wala sio siasa.

Hata hivyo amewalaumu baadhi ya viongozi wa kaunti ya Kilifi kwa kusababisha mvutano wa Jana uliofanyika wakati wa sherehe ya chenda chenda huko Kayafungo, Eneo Bunge la Kaloleni.




VITANDA DARASANI...Taifa La China limewaacha wengi na mshangao baada ya kuyabadilisha madawati na kuwa vitanda katika ba...
10/09/2024

VITANDA DARASANI...

Taifa La China limewaacha wengi na mshangao baada ya kuyabadilisha madawati na kuwa vitanda katika baadhi ya shule nchini humo.

Teknolojia hii inapaniwa kuwasaidia wanafunzi wakati wa mapumziko haswa wakati wa adhuhuri baada tu ya chamcha.

Huku wengi wakiyasifia maendeleo haya Kuna baadhi ya watu wameikosoa hatua hii kwa kile wanachodai kitasababisha uvivu kwa wanafunzi.

JE UNAMAONI GANI KUHUSIANA NA HATUA HII?



  YAKO...    of content
30/08/2024

YAKO...



of content

ZABRON SINGERS WAMPOTEZA MARCO JOSEPH ๐Ÿ˜ญ.Mwimbaji wa kundi la uimbaji la Zabron Singers, Marco Joseph ameiaga Dunia alipo...
22/08/2024

ZABRON SINGERS WAMPOTEZA MARCO JOSEPH ๐Ÿ˜ญ.

Mwimbaji wa kundi la uimbaji la Zabron Singers, Marco Joseph ameiaga Dunia alipokua akipokea matibabu katika hospitali kuu ya Jakaya Kikwete huko Dar es Salaam, Tanzania.

Kulingana na ripoti iliyotolewa na Mwenyekiti wa kundi Hilo ni kwamba Marco alikuwa akiugua ugonjwa wa moyo.


Joseph
Singers

GUNDOGAN AIKUMBATIA TENA MANCHESTER CITY MARA YA PILIMchezaji wa Zamani wa Manchester City aliyekuwa akikipiga na klabu ...
21/08/2024

GUNDOGAN AIKUMBATIA TENA MANCHESTER CITY MARA YA PILI

Mchezaji wa Zamani wa Manchester City aliyekuwa akikipiga na klabu ya Barcelona ya Uhispania amejiunga Tena na vijana wa Guardiola huko Uingereza

Ilkay Gundongan mwenye miaka 33 amekubali uhamisho huo siku chache baada ya Kocha wa Manchester City Pep Guardiola kutangaza kumrudishaTena iwapo Barca watamwachilia.

Mchezaji huyo Sasa anatabiriwa kusaini mkataba na miamba hao wa Uingereza WA Mika miwili.




21/08/2024

Mfumo wa "Reverse Call" kulipishwa ~ Safaricom Imetangaza



BBYEE BYEE KAWIRA !!!MIUNGU YA KAWIRA MWANGAZA YAMSALITI BUNGE LA SENETI LIKIPITISHA MSWADA WA KUMWONDOA GAVANA HUYO MAM...
21/08/2024

BBYEE BYEE KAWIRA !!!

MIUNGU YA KAWIRA MWANGAZA YAMSALITI BUNGE LA SENETI LIKIPITISHA MSWADA WA KUMWONDOA GAVANA HUYO MAMLAKANI.

KAWIRA ALIPATIKANA NA HATIA KWENYE MASHTAKA YOTE MATATU.


county
Senate

14/08/2024

UHURU KENYATTA AND WILLIAM RUTO CAME TO ME TO HELP THEM GET INTO POWER~ WANJIGI SAYS



CHEBET WA DHAHABU...Beatrice Chebet amelishindia Taifa la Kenya Dhahabu ya pili kwenye mbio za Mita 10,000 huko Paris kw...
10/08/2024

CHEBET WA DHAHABU...

Beatrice Chebet amelishindia Taifa la Kenya Dhahabu ya pili kwenye mbio za Mita 10,000 huko Paris kwa kutumia muda wa 30.43.25.

Hongera Chebet๐Ÿ‘๐ŸŽ‰๐Ÿ‘




Kenya๐Ÿ‘

MALKIA STRIKERS WA KENYA, WARAMBWAMabinti wa Kenya wa Mpira wa Voliboli, Malkia Strikers, hii Leo wameduwazwa na mabinti...
29/07/2024

MALKIA STRIKERS WA KENYA, WARAMBWA

Mabinti wa Kenya wa Mpira wa Voliboli, Malkia Strikers, hii Leo wameduwazwa na mabinti kutoka Taifa la Brazil kwa Seti 3-0 kwenye mashindano ya Olimpiki huko Paris.

PICHA: KWA HISANI



AISHA JUMWA AMUOMBA KAZI RUTO KIJANJAAliyekuwa Waziri wa jinsia Bi.Aisha Jumwa ameonekana kuendelea kumezea mate nafasi ...
26/07/2024

AISHA JUMWA AMUOMBA KAZI RUTO KIJANJA

Aliyekuwa Waziri wa jinsia Bi.Aisha Jumwa ameonekana kuendelea kumezea mate nafasi za uwaziri zilizobaki Baada ya kutemwa kwenye uteuzi wa mawaziri 21.

Hii Leo alipoongozana na Rais William ruto kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi la soko kubwa la Watamu, alichukua fursa hiyo kummiminia sifa Rais Ruto huku akiwaomba wapwani kusimama nyuma ya Ruto ili kutekeleza Agenda zake ambazo anaamini zitakuwa zenye manufaa mengi kwa wakenya.

Akinukuliwa Jumwa alisema, "Namwamini William Ruto kwa sababu Kile anachokiona akiwa ameketi, Mimi siwezi kukiona nikiwa nimesimama."

Viti vilivyobaki ni kile Cha Uwekezaji, Biashara na Viwanda na Kile Cha Mwanasheria mkuu WA kwanza wa Serikali.

JE AISHA ATAFAULU??


Jumwa

RAIS RUTO AAPA KUTOMSALITI AISHA JUMWAAliyekuwa waziri wa Jinsia Aisha Jumwa amepata bega la kupumzikia baada ya Rais Wi...
26/07/2024

RAIS RUTO AAPA KUTOMSALITI AISHA JUMWA

Aliyekuwa waziri wa Jinsia Aisha Jumwa amepata bega la kupumzikia baada ya Rais William Ruto kuahidi kutembea naye katika serikali yake akisema atasimama naye k**a alivyosimama naye nyuma.

Aliyasema haya alipokuwa watamu, huko Pwani ambako aliweka jiwe la msingi la soko kubwa mjini humo.

Kwengineko Rais Ruto ameweka wazi kuwa wanapania kubadilisha Sheria ili kuhakikisha kuwa wanakubaliana na wafisadi nchini.

Amesema kwamba badala ya kuwapeleka wafisadi kortini kwa zaidi ya miaka mitano, watawachunguza kwa miezi sita pekee na kuhukumiwa endapo watapatikana na hatia.

Rais aliongozana na Gavana Gideon Mung'aro, Gavana wa Mombasa Sharif Nassir, Aisha Jumwa, Mbunge wa Magarini Harrison Kombe, Owen Baya...

IDADI YA WALIOKUFA KWA MAPOROMOKO NCHINI ETHIOPIA YAGONGA 229.Watu 229 Sasa wameripotiwa kuiaga Nchini Ethiopia.Kulingan...
24/07/2024

IDADI YA WALIOKUFA KWA MAPOROMOKO NCHINI ETHIOPIA YAGONGA 229.

Watu 229 Sasa wameripotiwa kuiaga Nchini Ethiopia.

Kulingana na Ripoti ni kuwa maporomoko hayo yalitokea siku ya jumatatu mwendo wa saa nne usiku kutokana na mvua kubwa iliyotokea Nchini humo.



ya Udongo.

WANAHABARI NCHINI KENYA WAANDAMANA ...Wanahabari Nchini Kenya hii Leo wanatarajiwa kuandamana kwa kile wanachokitaja kuw...
24/07/2024

WANAHABARI NCHINI KENYA WAANDAMANA ...

Wanahabari Nchini Kenya hii Leo wanatarajiwa kuandamana kwa kile wanachokitaja kuwa wamekosa kupewa usalama wa kutosha na pia kuwepo kwa haja ya kupewa uhuru wao wa kupeperusha habari.

Haya yanajiri baada ya kushuhudiwa madhambi hasa kwa wanahabari wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z kutoka kwa maafisa wa polisi.



Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bullemq FM Online Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category