08/01/2026
𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗜𝗠𝗕𝗔𝗥 𝗬𝗔 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 𝗜𝗝𝗨𝗠𝗔𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗠𝗕𝗔𝗥𝗔𝗞 𝗔. 𝗔𝗪𝗘𝗦 atazungumzi suala la ukamilifu yani Perfectionism katika mtizamo wa Kiislamu. Ungana nasi mubashara kuanzia saa sita mchana kwa kisomo cha Qurani na Khutba ya Ijumaa kupitia Al-Huda TV na pia mitandao yetu ya kijamii.