🎓✨ Kutokana na matokeo ya hivi punde ya mtihani wa kitaifa kwa kidato cha 4 KCSE, Familia nyingi zinapitia changamoto kati ya matarajio ya wazazi na malengo ya Watoto maishani. 🎶💔
Kutana na Abel kwenye filamu ya “Solo” – hadithi ya kuguza moyo ya msanii mwenye kipaji akipambana na matarajio magumu, akitafuta njia yake kwenye njia panda, na kuhamasisha wazazi wake kumuunga mkono kwa ndoto zake.
Wacha tufurahie haki za kila kijana ambae ameamua kufuata na kufanikisha ndoto yake. 🌟❤️
🎬 Tazama filamu ya “Solo” kwenye mtandao wa Youtube na ujiunge na mjadala unaohusu kutafuta uwiano kati ya matarajio na msaada.
Utapata filamu yote kwa mtandao wetu wa Youtube kupitia kwa hii link, https://youtu.be/5nDN8LYW__4
#solo
#KCSE2024
#machakosschool
The Kenya National Examinations Council
Ministry of Education - Kenya
Hon Wavinya Ndeti
Cops Kenya.
Hon. Davis Chirchir
Onesimus Kipchumba Murkomen
Ministry of Interior and National Administration
Machakos Talents Centre
Machakos County Assembly
Machakos County Government
Kenya Film Commission
Machakos School Old Boys' Association
Nacada Kenya
UNICEF Kenya
Save the Children Kenya
Child Welfare Society of Kenya(CWSK).
The Ministry of Health
USALAMA BARABARANI!
Ni Krismasi tena nchini Kenya. Makinika Barabarani tuokoe maisha!
Krismasi si Krismasi kama sote hatujafika nyumbani salama!
Hon. Davis Chirchir
Hon. Davis Chirchir
Equity Bank Kenya
KCB Group
NTSA KENYA
NTSA KENYA
Onesimus Kipchumba Murkomen
Cops Kenya.
Co-op Bank Kenya
Absa Bank Kenya
Standard Chartered Kenya
#UsalamaBarabarani
#OkoaMaisha
#makinikabarabarani
Ni Krismasi tena nchini Kenya.
Hon. Davis Chirchir
Motorists Association of Kenya
NTSA KENYA
National Transportation Safety Board
Nacada Kenya
Kenya Urban Roads Authority
Equity Bank Kenya
KCB Group
Cooperative Bank Customer Care
Standard Chartered Kenya
Absa Bank Kenya
Cops Kenya.
National Police Service
Super Metro
Ma3Route
LOPHA travels
NENO SACCO SOCIETY LIMITED
#UsalamaBarabarani
Ni msimu wa Krismasi hapa nchini Kenya na zaidi ya watu 3,000 kupitia kwa ajali za Barabarani.
USIKUNYWE POMBE NA UEGESHE GARI!
Hon. Davis Chirchir
Motorists Association of Kenya
KenyanTraffic
Family Bank Ltd
NTSA KENYA
National Transportation Safety Board
Nacada Kenya
Talanta ni muhimu, lakini vile mtu huikuza na kuitunza ndivyo muhimu zaidi.
Sasa Foxton Media, wamezindua Filamu ya Solo ambayo imefanywa kwa ushirikiano na shule ya upili ya Wavulana ya Machakos School.
Na filamu hio iko kwenye mtandao wa Youtube @FoxtonTv. Bonyeza hii link upate kutazama filamu yote https://youtu.be/5nDN8LYW__4?si=QEFdwMn-d9rJYVCE
Hon Wavinya Ndeti
Onesimus Kipchumba Murkomen
Cops Kenya.
Ministry of Interior and National Administration
Machakos Talents Centre
Machakos County Government
Machakos County Assembly
Kenya Film Commission
Machakos School Old Boys' Association
KNUT-KENYA Official page.
Nacada Kenya
UNICEF Kenya
Save the Children Kenya
Child Welfare Society of Kenya(CWSK).
The Ministry of Health
Kithure Kindiki
#Film #SOLO #Machakos #Foxtonmedia #fyp
Filamu ya SOLO
Machakos School Old Boys' Association
Kuppet Kenya
KNUT-KENYA Official page.
National Parents Organization
Nacada Kenya
UNICEF Kenya
Save the Children Kenya
Child Welfare Society
Hon Wavinya Ndeti
Machakos County Government
Kenya Film Commission
Onesimus Kipchumba Murkomen
The Ministry of Health
Kithure Kindiki
Machakos School Old Boys Alumni Friends
Cops Kenya.
Ministry of Interior and National Administration
#Solo #Machakosschool #foxtonmedia #filamu
Mdau? Je, unafahamu kuwa Filamu ya Mission To Rescue imekuwa kwenye mtandao maarufu wa Netflix, tangia mwezi wa Januari, 2024.
Usijute! Filamu hio hadi kufiki sasa inapeperushwa kwenye mtandao huo.
Jipe raha!
EvansJk Nderitu
#Netflix #MissiontorescueikoNetflix #Foxtonmedia
Ni kwenye mtandao maarufu wa Netflix. Usibaki nyuma
Jipe raha!!
#MPAKANI #missiontorescue #Netflixx #kenyanseries #kenyanmovie
Mkusanyiko wa matukio ya kusisimua kwenye Makala ya Mpakani Story Of The North pamoja na Filamu ya Mission To Rescue.
Zote mbili kwa sasa, ziko kwenye mtandao maarufu wa @Netflix.
JIPE RAHA!!
#Mpakani #Missiontorescue #Netflix #Foxtonmedia
Kwa njia ya kipekee tunasherehekea gwiji na shabiki mkubwa wa Reggae, Jahmbi Koikai.
Jahmbi, umepigana vita vizuri tena vya imani. Kwa niaba ya Foxton Media tunasema makiwa kwa Familia, Jamaa na Marafiki.
Mungu ailaze Roho yake palipo wema. Safiri salama Jahmbi 🕊️
#ReggaeLegends #jahmbikoikai #ReggaeFamily #endometriosisawareness
HONGERA KENYA 7s
Timu yetu ya Raga ya wachezaji saba kila upande Kenya 7s maarufu Shujaa, imejizolea tiketi ya kushiriki michezo ya dunia mwaka wa 2025 maarufu World Rugby 7s. Hii ni baada yao kubanduliwa na Canada mwaka jana.
Tunajivunia!
Ababu Namwamba
Carol Radull
FRED AROCHO
#Shujaa #magicalkenya #HSBCSVNS #Kenya7s