26/12/2024
💎💍😂Mi ni msee wa boda....,,,,, 🚴so jana after nimevuta bangi, Nilitoka job nikiwa nimechoka😣nikaingia kwa nyumba at least nipate kitu ya kukula😞
Nikapumzika for 5minutes, nikaamua niende kuoga 😃(though mnatuchomea hatuogi😢) kufika nikapaka sabuni kwa kichwa😠nikaona haishiki😲
Nikamwaga maji bado sifeel🙆 aaii nikajua imekua serious, but nikarudia Mara ya mwisho ndio niwe sure😉nikajimwagia tena bado sifeel maji😱😱
Nikapiga nduru uuuuuuwiiiiii watuuuuu nimerogwa 😰😲😲si watu wakajaa🙆wakaniuliza nini mbaya.....nikawaambia kichwa yangu haishiki sabuni na maji😢😓 zile ngoto nilipigwa 😢😢😰😰😓😓sitawai sahau
Kumbe sikua nimetoa helmet kwa kichwa😂😂