IKULU TV

IKULU TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IKULU TV, TV Network, roysambu, Nairobi.

ππ„π‚πŠπ˜ πŸ•π“π‡ ππŽπ•EMBER 2023𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏Martha aliachwa solo kwa room akaanza kupekua pekua marakarasi,there is something she looki...
06/11/2023

ππ„π‚πŠπ˜ πŸ•π“π‡ ππŽπ•EMBER 2023

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏

Martha aliachwa solo kwa room akaanza kupekua pekua marakarasi,there is something she looking at na akaipata ndio hiyo. Birth notification ya Lexy. Alichukua simu,kulikua na number fulani hapo akaamua kupiga.

Junior na yeye amekaa huku chini,hajui aanzie wapi ju yeye kuna kitu anajua na mamake but venye atabsorb ndio hajui alafu kando yake anasumbuliwa na Shan,kwanza akaamua kucall Shan but alikua mteja.

Kumbe Sanchez na yeye,alikuja kwa Becky kumngoja atoke kazi na wakati usio mrefu, Becky alifika,akamuuliza Sanchez,ushakua watchy ama? Sanchez akamwambia zii,ni venye tuliongea nataka tubonge story ya Tito. Becky alimwambia story za Tito sai zii kumekua na issues huko kazini na Tito amekua centre of this so tusiongee kuhusu sai. Sanchez akamwambia ni sawa acha mimi nifike mtaa incase of anything utaniambia lakini kiiidogo hivi, Shan na yeye na ujinga kwa kichwa,akakuja mbio akaanza Becky please,usiamini kitu huyu msee anakuambia aki Trisha hajakuja kwangu leo na si unajua mimi na Trisha huwa hatupatani....🀣🀣🀣

Skiza, Sanchez alikuja kuona Becky ju ya story za Tito na Shantelle akadhani amekuja kusema story za kuona Trisha huko,sasa Shantelle na kihereherehe,kashajisema kenyewe hadi Becky akashtuka,Trisha ametokea wapi? Sanchez alianza kucheka akaambia Becky tutaongea,akaacha Becky na Shan hapo aelezewe story ya Trisha imetoka wapi.

Martha,alimcall jamaa fulani mwenye number zilikua hapo 07132057*9 na akamuuliza ,unadhani sitakupata? Jamaa akamuuliza, kwani wewe ni nani? Martha akamwambia ni mimi Martha Gatana,yani nyinyi nuguu ici, hamkufanya kazi venye ilifaa? Jamaa akamuuliza kwani kuko aje Martha,ni muda sana tangu tuongee. Martha akamwambia si niliwaambia muue Lexy' dad? Jamaa akamwambia yeah, hivyo ndio tulifanya,we killed the dad and burned him kwa gari. Martha akamuliza,mlisema huyo mtoto Lexy alikua hapo ndani sindio,now explain to me mbona huyu mtoto amekuja kwangu leo? Jamaa akamwambia aki madam pole,ni venye tuliamua tuhurumie mtoto but babake tulimuua venye ulitaka na mtoto tukamchukua ni venye tuliona hana makosa and that was one,very big,mistake. ,kumbe Martha alituma watu wamuue babake Lexy aah! Makosa.

Becky aliuliza Shan rada ni gani mbona unatense? Shan akamwambia aki sikua nataka tukosane ama usikie kwa mtu mwingine. Becky akamuuliza na Trisha alikua anataka nini? Shan akamwambia imagine alitaka ati nifanye utoke kwa mansion. Becky akamuuliza so ulifanyaje? Shan akamwambia nimetimua huyo dem mbio,mbaya mbovu. Sanchez hakua ameenda mbali,akachungulia akaona hawa wakihugiana akajua Shan has done it again.

Trisha ndio anafika home,akaulizwa na Junior kwani umekua wapi na hushiki simu? Trisha akamwambia usijali,chenye nataka kukuambia sai ni Becky na Tito lazima washikwe waulizwe maswali na polisi,lazima wanajua chenye kinaendelea. Punde si punde ,Martha akakuja k**a anasmile,Junior akamuuliza mum,whats really going on? Martha akamwambia relax,nilienda nikalala usingizi ikanishika but niko sawa,acha leo niwapikie marinated chicken. Junior na Trisha ndio wanashangaa tu,there is something wrong with her. Trisha alimwambia I agree but kwa mind ya Trisha anasema tu wewe mwanaume wewe,chenye mnapanga na Shantell,nitajua tu.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐

Junior walilala ikafika following morning,Junior akaangalia simu akaona haya,Shan hajacall wala kutext,whats going on? Kumbuka jana yake alimcall akawa mteja hadi sai anashangaa sana hana habari,Shantelle alitembelewa na Trisha akapewa warning ya mwaka.

Junior aliamka akakuja kwanza kuchungulia bedroom ya mamake,hamna mtu. Akashikwa na wasiwasi,mamake yuko wapi na hata najua pia mnajiuliza sana,where is Martha. Acha na mimi sasa, by dha mnajua leo ni birthday yangu sindio? Ok sawa! Wacha mimi na mimi niwaonyeshe kweye Martha ako.

Becky ashamaliza kazi zake za kwake ready kuenda kazini na kabla atoke,mlango lazima aweke kufuli ahakikishe amefunga vizuri hadi anakainua kafuli kuhakikisha imefunga kabisa na huyoo aende sasa lakini mbele yake! Martha Gatana. Becky alishtuka,akamuuliza madam,kuna shida? Martha akamwambia apana but I need a favour from you,nataka kuona Lexy. Becky akamuuliza yule msichana mwenye alikuja nyumbani jana? Martha akamwambia yeah,sijui kwenye ako but najua wewe unajua.

Becky alimwambia atampeleka kwenye Tito ako na huko ana uhakika Lexy atapatikana na akamuuliza Madam,why? Mbona unataka sana kumuona? Martha akamwambia usijali,kuna kitu yafaa nifanye chenye ilikua nifanye long time ago. Martha akipigiwa simu na Junior,anakata.

Junior alikuja akaambia Trisha,mum is missing. Trisha akamuuliza k**a amejaribu kumcall? Junior akamwambia hashiki but he aint surprised at all ju jana wakati mamake alianza kusema story za kuwapikia,Junior alijua she is upto something. Trisha alimwambia unaona,ungefanya chenye nilikuambia haingefika hapa,Becky na kile kichali chake yafaa washikwe waulizwe maswali.

Guu mosi,guu pili,hadi streets penye Tito na Lexy wameeka mansion yao, inaitwa Gunia Transparent Apartment,yani mlango ni wa gunia,ukuta ni karatasi. Tito kamka,Lexy hayuko amekuja amekaa huku nje,alikuja akamuuliza umelala kweli? Lexy akamwambia nilijaribu kulala but naona tu face ya madhe hata I wish singeenda huko. Tito alimwambia usijali,at least ushamuona,itakusaidia kuheal.

Becky na Martha ndio wanafika na Lexy akawaona,akadhani hata maybe anaota,akaambia Tito si huyo ni madhe na dem yako? Tito akamwambia wee nik**a umechizz but Tito kuangalia,enyewe akaona Martha na Becky. Lexy aliuliza Martha,rada! Mnataka nini? Martha akamwabia sijakuja kwa ubaya,nimekuja tu kuhakikisha k**a ni ukweli ni wewe. Lexy akamwambia yeah,mshaniona so mnaeza jitoa ama? Tito akawaambia Lexy hadai story zenu,mnaeza ishia but Lexy akamwambia relax, leo anipe majibu,akauliza Martha,mbona hukuwai kuja kunitafuta ukaniacha kwa streets? Martha akamwambia mimi sikujua you are alive ju niliambiwa wewe umekufa.

Becky na Tito wako tu hapo wanasikiza tu kila kitu. Martha aliendelea kuongea akamwambia kupotea kwako kulifanya niende therapy ju nikikumbuka I have lost my husband and my daughter but sasa ju naona uko uhai,Iam soo sorry. Lexy hakuona jambo baya,akamwambia yule msee mwenye aliniraise aliniambia alinitoa kwa wasee wenye waliua babangu na before aniambie walikua nani,akakufa. Martha akasema hata nimeishi kuwatafuta sana na hawajai patikana. I have tied kuwatafuta but wapi,hawapatikani na hata wewe sikukupata but just know nakupenda sana Lexy. Martha aliua bwanake,bwanake ni babake Lexy,Sally na Junior na mimi pia but hapa anajifanya venye ameishi kuwatafuta na she know them hata ameongea tu na mmoja wao leo.

Martha aliambia Lexy waende tu nyumbani na Lexy akakubali but akaambia Martha,on one condition,lazima niende na Tito. Becky akashindwa weee,huyu ni chali yangu bwana. But still Tuto alikataa,akamwambia mimi nilitaka tu nikusaidie ujue familia yako but mimi kuenda na wewe haiwezi. Ona Becky,ako keen sana hadi akasikia Lexy akimwambia nini "I feel safe sana kwa mikono zako" mako...makosa. Becky akabadilisha sura,baaaaaaaaaasi eeh! Sasa ile vita....

Ukitaka kujua chenye kilifanyika,tukutane kesho.

invite friends walike pia IKULU TV

It Ends With Lexxy Holding Tito's hands and Looking at His Eyes. She declares How Safe Tito Makes Him feel. This moment ...
06/11/2023

It Ends With Lexxy Holding Tito's hands and Looking at His Eyes. She declares How Safe Tito Makes Him feel. This moment Becomes even uncomfortable for Becky..I must Say Tito Is Lucky!!!! Huyu Nyota yake haitazimika kabisaaa!!!! It's another episode full of love ,
Follow IKULU TV

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Martha Katana begs Lexxy for Forgiveness . Infact she asks her to accompany her to the family mansion!!!. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Lexx...
06/11/2023

Martha Katana begs Lexxy for Forgiveness . Infact she asks her to accompany her to the family mansion!!!. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Lexxy agrees to go on only one condition, that she would Tito To accompany her there...😭😭😭😭 Aki Mtu anisaidie na Handkerchief.. wewe ushaipendwa Hivi ama Niwachane na wewe???

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Martha Breaks down and Explains to Lexxy what happened. Some people made her believe that Lexxy had died. Infact her hus...
06/11/2023

Martha Breaks down and Explains to Lexxy what happened. Some people made her believe that Lexxy had died. Infact her husband's break up broke her so much that she had to go through therapy.!!! 😭😭😭😭😭😭😭 Hapa Hadi nimelia...

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Lexy is so Angry at Martha for never looking for her??? She even asks If Martha Did not Think that Lexxy deserved a bett...
06/11/2023

Lexy is so Angry at Martha for never looking for her??? She even asks If Martha Did not Think that Lexxy deserved a better life...there is nothing as bad as that feeling of rejection especially from people you expect to show you love.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 My heart goes out to people who are going through pain caused by people they expected better from!!! It shall be well. The God who has remembered Lexxy Will remember you To.😭😭😭😭😭😭

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


When Lexxy saw Martha and Becky She thought she was Dreaming?? Infact Tito Had to move closer to confirm this is Happeni...
06/11/2023

When Lexxy saw Martha and Becky She thought she was Dreaming?? Infact Tito Had to move closer to confirm this is Happening!!!
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Lexxy has not Slept the whole Night!???😭😭😭😭😭 She Had So many unanswered Questions ???? Why did Her mom Abandon Her😭😭😭😭😭😭...
06/11/2023

Lexxy has not Slept the whole Night!???😭😭😭😭😭 She Had So many unanswered Questions ???? Why did Her mom Abandon Her😭😭😭😭😭😭!!!! Looking at the life of her family and remembering the things she has been through!!!!

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Nganuthia ameenda kuamsha bibi , eti mama yake amepotea!!!! Vituko za watoto WA Wadosi aki????? I just can't!!!!BECKY CI...
06/11/2023

Nganuthia ameenda kuamsha bibi , eti mama yake amepotea!!!! Vituko za watoto WA Wadosi aki????? I just can't!!!!

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Enyewe hii Ni nganuthia ya Ukweli?? Anataka Kitu ya kwanza anaacha Bibi anaenda kwa bedroom ya mama yake ??? Who does th...
06/11/2023

Enyewe hii Ni nganuthia ya Ukweli?? Anataka Kitu ya kwanza anaacha Bibi anaenda kwa bedroom ya mama yake ??? Who does that?? Hata k**a ni mimi mama yake ningezima hiyo simu hivyo tu!!!

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Yani Kuna Wapumbavu kuruka ,Kuamka Kitu Cha Kwanza Kumsumbua Tito ni Kuwa Shantel Hajampigia simu . Huyu nganuthia Tutam...
06/11/2023

Yani Kuna Wapumbavu kuruka ,Kuamka Kitu Cha Kwanza Kumsumbua Tito ni Kuwa Shantel Hajampigia simu . Huyu nganuthia Tutamfanya Nini??? Wapi whips za Kibe???

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Martha Katana amuendea Becky Kule Ghetto . Anataka amsaidie kumtafuta Lexxy. Huyu mama na kuficha Siri Aki???? Becky ame...
06/11/2023

Martha Katana amuendea Becky Kule Ghetto . Anataka amsaidie kumtafuta Lexxy. Huyu mama na kuficha Siri Aki???? Becky amemwambia Kuwa Hajui Kule Lexxy Yuko , lakini anajua mahali wanaeza mpata Tito. Halafu awaelekeza kwa Tito. It's Getting Twisted?

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Aki si Afadhali Tito Angewarn Becky Shantel Si Kazuri??? Sasa HIZI NI MAWHAT ????BECKY CITIZEN TV TOMORROW  ON TUESDAY 7...
06/11/2023

Aki si Afadhali Tito Angewarn Becky Shantel Si Kazuri??? Sasa HIZI NI MAWHAT ????

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Aki Becky ameingizwa Box na Shantel Tena. Mbona Haka kanakubalingi kubebwa Ujinga na Shantel Hivyo????BECKY CITIZEN TV T...
06/11/2023

Aki Becky ameingizwa Box na Shantel Tena. Mbona Haka kanakubalingi kubebwa Ujinga na Shantel Hivyo????

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Trisha Hachukui Simu Ya Junior , Unafikiria Yuko wai Tena Leo???BECKY CITIZEN TV TOMORROW  ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 ...
06/11/2023

Trisha Hachukui Simu Ya Junior , Unafikiria Yuko wai Tena Leo???

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Yani kuna Watu kichwa hakona kitu ni ya kurembesha mwili tu. Yani Trisha na akili zake zote Anaona solution ni Becky ash...
06/11/2023

Yani kuna Watu kichwa hakona kitu ni ya kurembesha mwili tu. Yani Trisha na akili zake zote Anaona solution ni Becky ashikwe, afinywe , aseme Lexxy ni nani na mpango wake na Tito ni mgani??? Aki haka kamtu

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Junior wamekuwa na Stress Juu ya mama yao na scandal ya Lexxy. Martha kutoka kwa room hataki story mob, infact analeta s...
06/11/2023

Junior wamekuwa na Stress Juu ya mama yao na scandal ya Lexxy. Martha kutoka kwa room hataki story mob, infact analeta story za marinated chicken na anajitolea kupika. Do you think junior and Trisha will fall For this???

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Martha Katana apigia maadui akijaribu kufumbua fumbo. She still can't Understand How Le###y is alive???😭😭😭😭😭😭 Gaidi kwa ...
06/11/2023

Martha Katana apigia maadui akijaribu kufumbua fumbo. She still can't Understand How Le###y is alive???😭😭😭😭😭😭 Gaidi kwa Simu akamwambia MMOJA Wao aliskilia mtoto Lexy huruma na kumwachilia. KUMBE Huyu pepo anaitwa Katana Ndiye Alimuua Baba Ya mtoto wake Lexy??? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Lexxy akijua kutaendaje??? 😭😭😭😭😭😭😭😭 Enyewe Kuna watu na viatu???? 😭😭😭😭😭😭😭😭 Yani Hata hata utu....

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Kifo ya nyani ikifika Miti yote Huteleza. Becky hata hakuwa ameambiwa na Sanchez anything kuhusu Trisha Kuwa Shantel. Ka...
06/11/2023

Kifo ya nyani ikifika Miti yote Huteleza. Becky hata hakuwa ameambiwa na Sanchez anything kuhusu Trisha Kuwa Shantel. Kajinga kamejiuza Kenyewe!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


06/11/2023

Martha ndiye aliua bwanake, Becky ya kesho.

Trisha Wishes You a Blessed week. Wapi Likes za Trisha
06/11/2023

Trisha Wishes You a Blessed week. Wapi Likes za Trisha

Big  heart βœ…βœ…βœ…Good Smile βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…Well culturedβœ…βœ…βœ…βœ…This Girl Deserves 1M Likesβœ…βœ…βœ…βœ…Let's goIKULU TVDo you think junior bringi...
06/11/2023

Big heart βœ…βœ…βœ…
Good Smile βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…
Well culturedβœ…βœ…βœ…βœ…
This Girl Deserves 1M Likesβœ…βœ…βœ…βœ…
Let's go
IKULU TV

Do you think junior bringing Jeff into the conversation is a pick up line!???


Happy 39th Birthday To Eliud Kipchoge πŸŽ‚
05/11/2023

Happy 39th Birthday To Eliud Kipchoge πŸŽ‚

Hapa Unajua Nani??
05/11/2023

Hapa Unajua Nani??

05/11/2023
04/11/2023
Was going to the village and relaxing with ancestors necessaryπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
04/11/2023

Was going to the village and relaxing with ancestors necessaryπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

04/11/2023

BECKY CITIZEN TV MONDAY 6TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


04/11/2023

BECKY CITIZEN TV MONDAY 6TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸ”π“π‡ ππŽπ• Follow IKULU TV  tufike 50kBeing Friday,usisahau kuweka like tulale na 1k Likes𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Martha,stre...
03/11/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸ”π“π‡ ππŽπ•
Follow IKULU TV tufike 50k

Being Friday,usisahau kuweka like tulale na 1k Likes
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Martha,stress juu ya stress sasa ju yeye anajua Lexy died in the accident,huyu mwenye anakuja huyu alitoka wapi? Maswali mob,majibu hana,maskini wa Mungu Martha?

Junior na yeye,anashindwa,Lexy ni nani ju from her mum's reaction ameona lazima mamake anamjua na Lexy alisema amekuja kuona mtu alimleta kwa hii dunia,anashindwa sana huyu Lexy ni nani.

Alafu sasa kuna Trisha,ameshtuka kujua kuna dem anaitwa Lexy hadi anajiuliza mbona Martha hataki kuongelelea huyu msichana yani in short hawa wote vichwa zao vimejaa tu Oven,aah I mean vimejaa Lexy tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚talking of oven guys,kuna challenge nimepewa kufikisha hii page 10k nipewe 10k nifurahie siku ya birthday,si mnisaidie wakuu just click the page Supa Krash,hayaa Martha kumbe na yeye ako na ile picha ya Lexy akiwa mdogo na akaitoa,makosa. Ndio hii hapa na venye nilikua nasema,,kindly follow hiyo page tufike 10k niwin hii challenge nitashukuru sana. Ukishafollow urudi twendelee kusoma.

Usharudi? Umefollow? Na ndio maana umebarikiwa. Martha alitoa picha ya Lexy sasa,exactly venye ako na wakati akiwa ameishika tu hivi,mbele yake,Junior ashaingia,akauliza madhe mum,tell me,lakini hata hakuhitaji kuambiwa kitu,ju aliona picha ya Lexy mamake ameishika kwa mkono akamuuliza,mum,you mean that girl is actually Lexy? Martha akamwambia get out,I want to be alone but Junior alikataa,akamwambia Lexy died mum. Martha akamwambia ndio,but for now nataka kuwa peke yangu. Get Out Junior. right now na ukiwa huko nje,funga mdomo. Martha amejam mbaya mbovu na hii inaonyesha,there is something hatuambiwi.

Junior alitoa akarudi kukaa kwenye Trisha ako na anaambia Trisha sijai elewa anything kitu kikihappen madhe anafaint anafenduka k**a hasemi kitu sijai muelewa kabisa. Trisha alimwambia usijali,atakuambia tu. Punde si punde, Shan akamcall Junior na Trisha akaona,Trisha akamwambia hata usifiche,just pick it acha mimi niende. Kumbe Trisha kalitoka nje kucall Vicky,akamwambia beshte,kuna kidem kimekuja hapa kikapea Martha lecture akafaint,sai ashafenduka ameenda kwa room yake hata sielewi. Vicky akamwambia inaonekana ni mara yake ya kwanza kumuona? Trisha akamwambia yeah an imagime amekuja na Tito chali ya Becky but nashuku hapa kuna blackmail fulaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Trisha anadhani ni Tito anablackmail Martha but Junior ashajua ukweli na ashaambiwa afunge mdomo ama akule nyama anyamaze.

Tito walirudi mtaa na wako maubao,walianza kula chipo hapo but punde si punde, Sanchez akafika. Tito akamwambia budaa wee rudi venye umekuja bana sidai ngori zako but Lexy aliambia Tito relax,huyu ni beshte yako amekuja kukusaka huku ni nini pressure? Sanchez alimwambia ni sawa,unajua ngori zako huwezi jisameha mwenyewe so mimi naenda wewe baki ujue ama ujiulize k**a mimi ndio adui ama rafiki. Tito alimwambia wee ishia bana,niko sawa. Sanchez huyoo akaenda.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Tufike kwa Shan,kakiwa kamelala,kalibishiwa mlango kufungua,guess who? Trisha and anytime unaona Trisha,its bad news. Shan alishtuka,kisha Trisha akamuuliza,una biashara gani na bwanangu? Shan akamwambia tulia,ni Junior alitaka nimfanyie kitu. Trisha akamuuliza kitu gani? Shan akamwambia si alisema niongeleshe Becky arudi kazi na after amerudi amekataa kunilipa. Trisha akamuuliza kwani ilikua mlipane? Shan akamwambia ndio alah. Trisha alimwambia sikiza, next time nikirudi hii nyumba,hutapenda,najua unataka bwanangu na mimi sichezangi na wasichana. Shan alimwambia zii,mimi na married men siezi walai sitaki bwanako hata kidogo but Trisha alimuwon,akamwambia same energy yenye unasema uliambia Becky arudi kazi,nataka tena umwambia atoke huku mara moja. Shan ndio alishindwa,akauliza Trisha yani mlitaka...lakini akaambiwa funga mdomo,hapa naongea wewe unasikia,nataka Becky atoke kwa mansion na asipotoka,ni mimi nitarudi huku,ciana isi.

Lexy alimwambia Tito,hujafanyia Sanchez poa,kukua na mabeshte k**a yeye si rahisi,just take time usikize Sanchez,mpee chance venye ulipea Becky,na Sanchez hana makosa,unaeka hasira za Becky kwa Sanchez why? Tito akajam,kwanza Lexy alijuaje story za Becky kummess,ni Sanchez alimwambia ile sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Trisha ashamake orders,first thing first,ahakikishe Becky ametoka kwa mansion. Shan akamuuliza na sasa akikakataa? Trisha akamwambia nitawaua,I will do it myself na nitaanza na wewe kwanza then nimalize Becky,just like that so please,safe yourself a life,hakikisha Becky ametoka. Kisha Trisha huyoo akatoka but aliambia Shantell,hii iwe siri yetu wawili mtu mwingine asijue lakini sasa,wakati Trisha anatoka,nani alimuona akitoka kwa Shan? Sanchez,big mistakeπŸ˜‚πŸ˜‚

Sanchez alikuja kwa Shan akabisha,akamwambia najua uko ndani fungua. Shan kufungua akaulizwa,unapanga nini na huyo shetani Trisha? Shan akamwambia hakuna kitu hata sijui Trisha. Sanchez alimwambia mimi si fala,nimeona Trisha ametoka huku,na hii kitu mnapanga it will backfire in Jesus's nameπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Shan kawaida yake alitaka kuingiza Sanchez box akamwambia kaa tukule lunch,ni pilau. Sanchez alikataa akatoka but Shan akamwambia please usiende kuambia BeckyπŸ˜‚πŸ˜‚kashajichomea already.

Huku kwa Mansion,Becky alikuja akaambia Junior,pea madhe time atakuambia kila kitu. Junior akamuuliza,can I ask for a favour? Becky akamwambia yeah,anytime Junior akamwambia k**a anaeza uliza Tito about this story? Becky alimwambia hii itakua ngori ju sijaongea na Tito tangu tubreak up but Junior alimwambia come on,nilisikia phone call morning ukisema ni soul mate wako,kindly ask him but Becky aimwambia ni ngori kiasi but I will try kuongea na yeye but I cant promise, Junior alifurahi akamwambia kindly let me know akikuambia kitu and how is Jeff? Becky akamwambia Jeff ako sawa. Junior akamwambia ukiongea na yeye,mgotee. Waliongea kiasi hapo na akamuuliza Becky k**a anaeza saidia Jeff kwa fee aa support kiasi? Becky alismile akamwambia well ni idea poa but for now acha asettle na akihitaji anything,I will let you know. Junior akamuuliza leo huniiti baba Jeff? Becky akamwambia come on baba Jeff, take care,take care tooo. Hawa wawili wakipatana tu kwa giza nakuambia ile kitu watafanya ju ebu cheki wakati Becky anateremka ona venye anaangalia Junior,na sexy hair styleπŸ˜‚πŸ˜‚
hadi tunapewa wimbo tamu hapo;
mwana amekolea
nisheria sio utumwa ndoa ni jambo la heri
tega sikio bi mkubwa sijambo la shari
hata kwa doa suguu mi ndio wake wa mbuyu
chanda chema huvishwa pete
walai naapa mi hoi,huyu simtoi
wacha nimfishe pete ya usanda.

wueh! yanaitwa mapenzi.

Shantelle na yeye anajisemea venye Trisha hata si mrembo ni make up tu na mafilters, Sai sasa ndio kamepata nguvu ya kuongea na venye kalikua kamefreeze kakipewa orders na TrishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hadi Monday wakuu!

BECKY CITIZEN TV MONDAY 6TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Do you think junior bringing Jeff into the conversation is a pick up line!???BECKY CITIZEN TV MONDAY 6TH NOVEMBER 2023 P...
03/11/2023

Do you think junior bringing Jeff into the conversation is a pick up line!???

BECKY CITIZEN TV MONDAY 6TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Only a woman you love can make you drool like this???BECKY CITIZEN TV MONDAY 6TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODE...
03/11/2023

Only a woman you love can make you drool like this???

BECKY CITIZEN TV MONDAY 6TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Address

Roysambu
Nairobi
13929-00400

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IKULU TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category

Nearby media companies



You may also like