IKULU TV

IKULU TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IKULU TV, TV Network, Maragwa.

ππ„π‚πŠπ˜ πŸ•π“π‡ ππŽπ•EMBER 2023𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏Martha aliachwa solo kwa room akaanza kupekua pekua marakarasi,there is something she looki...
06/11/2023

ππ„π‚πŠπ˜ πŸ•π“π‡ ππŽπ•EMBER 2023

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏

Martha aliachwa solo kwa room akaanza kupekua pekua marakarasi,there is something she looking at na akaipata ndio hiyo. Birth notification ya Lexy. Alichukua simu,kulikua na number fulani hapo akaamua kupiga.

Junior na yeye amekaa huku chini,hajui aanzie wapi ju yeye kuna kitu anajua na mamake but venye atabsorb ndio hajui alafu kando yake anasumbuliwa na Shan,kwanza akaamua kucall Shan but alikua mteja.

Kumbe Sanchez na yeye,alikuja kwa Becky kumngoja atoke kazi na wakati usio mrefu, Becky alifika,akamuuliza Sanchez,ushakua watchy ama? Sanchez akamwambia zii,ni venye tuliongea nataka tubonge story ya Tito. Becky alimwambia story za Tito sai zii kumekua na issues huko kazini na Tito amekua centre of this so tusiongee kuhusu sai. Sanchez akamwambia ni sawa acha mimi nifike mtaa incase of anything utaniambia lakini kiiidogo hivi, Shan na yeye na ujinga kwa kichwa,akakuja mbio akaanza Becky please,usiamini kitu huyu msee anakuambia aki Trisha hajakuja kwangu leo na si unajua mimi na Trisha huwa hatupatani....🀣🀣🀣

Skiza, Sanchez alikuja kuona Becky ju ya story za Tito na Shantelle akadhani amekuja kusema story za kuona Trisha huko,sasa Shantelle na kihereherehe,kashajisema kenyewe hadi Becky akashtuka,Trisha ametokea wapi? Sanchez alianza kucheka akaambia Becky tutaongea,akaacha Becky na Shan hapo aelezewe story ya Trisha imetoka wapi.

Martha,alimcall jamaa fulani mwenye number zilikua hapo 07132057*9 na akamuuliza ,unadhani sitakupata? Jamaa akamuuliza, kwani wewe ni nani? Martha akamwambia ni mimi Martha Gatana,yani nyinyi nuguu ici, hamkufanya kazi venye ilifaa? Jamaa akamuuliza kwani kuko aje Martha,ni muda sana tangu tuongee. Martha akamwambia si niliwaambia muue Lexy' dad? Jamaa akamwambia yeah, hivyo ndio tulifanya,we killed the dad and burned him kwa gari. Martha akamuliza,mlisema huyo mtoto Lexy alikua hapo ndani sindio,now explain to me mbona huyu mtoto amekuja kwangu leo? Jamaa akamwambia aki madam pole,ni venye tuliamua tuhurumie mtoto but babake tulimuua venye ulitaka na mtoto tukamchukua ni venye tuliona hana makosa and that was one,very big,mistake. ,kumbe Martha alituma watu wamuue babake Lexy aah! Makosa.

Becky aliuliza Shan rada ni gani mbona unatense? Shan akamwambia aki sikua nataka tukosane ama usikie kwa mtu mwingine. Becky akamuuliza na Trisha alikua anataka nini? Shan akamwambia imagine alitaka ati nifanye utoke kwa mansion. Becky akamuuliza so ulifanyaje? Shan akamwambia nimetimua huyo dem mbio,mbaya mbovu. Sanchez hakua ameenda mbali,akachungulia akaona hawa wakihugiana akajua Shan has done it again.

Trisha ndio anafika home,akaulizwa na Junior kwani umekua wapi na hushiki simu? Trisha akamwambia usijali,chenye nataka kukuambia sai ni Becky na Tito lazima washikwe waulizwe maswali na polisi,lazima wanajua chenye kinaendelea. Punde si punde ,Martha akakuja k**a anasmile,Junior akamuuliza mum,whats really going on? Martha akamwambia relax,nilienda nikalala usingizi ikanishika but niko sawa,acha leo niwapikie marinated chicken. Junior na Trisha ndio wanashangaa tu,there is something wrong with her. Trisha alimwambia I agree but kwa mind ya Trisha anasema tu wewe mwanaume wewe,chenye mnapanga na Shantell,nitajua tu.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐

Junior walilala ikafika following morning,Junior akaangalia simu akaona haya,Shan hajacall wala kutext,whats going on? Kumbuka jana yake alimcall akawa mteja hadi sai anashangaa sana hana habari,Shantelle alitembelewa na Trisha akapewa warning ya mwaka.

Junior aliamka akakuja kwanza kuchungulia bedroom ya mamake,hamna mtu. Akashikwa na wasiwasi,mamake yuko wapi na hata najua pia mnajiuliza sana,where is Martha. Acha na mimi sasa, by dha mnajua leo ni birthday yangu sindio? Ok sawa! Wacha mimi na mimi niwaonyeshe kweye Martha ako.

Becky ashamaliza kazi zake za kwake ready kuenda kazini na kabla atoke,mlango lazima aweke kufuli ahakikishe amefunga vizuri hadi anakainua kafuli kuhakikisha imefunga kabisa na huyoo aende sasa lakini mbele yake! Martha Gatana. Becky alishtuka,akamuuliza madam,kuna shida? Martha akamwambia apana but I need a favour from you,nataka kuona Lexy. Becky akamuuliza yule msichana mwenye alikuja nyumbani jana? Martha akamwambia yeah,sijui kwenye ako but najua wewe unajua.

Becky alimwambia atampeleka kwenye Tito ako na huko ana uhakika Lexy atapatikana na akamuuliza Madam,why? Mbona unataka sana kumuona? Martha akamwambia usijali,kuna kitu yafaa nifanye chenye ilikua nifanye long time ago. Martha akipigiwa simu na Junior,anakata.

Junior alikuja akaambia Trisha,mum is missing. Trisha akamuuliza k**a amejaribu kumcall? Junior akamwambia hashiki but he aint surprised at all ju jana wakati mamake alianza kusema story za kuwapikia,Junior alijua she is upto something. Trisha alimwambia unaona,ungefanya chenye nilikuambia haingefika hapa,Becky na kile kichali chake yafaa washikwe waulizwe maswali.

Guu mosi,guu pili,hadi streets penye Tito na Lexy wameeka mansion yao, inaitwa Gunia Transparent Apartment,yani mlango ni wa gunia,ukuta ni karatasi. Tito kamka,Lexy hayuko amekuja amekaa huku nje,alikuja akamuuliza umelala kweli? Lexy akamwambia nilijaribu kulala but naona tu face ya madhe hata I wish singeenda huko. Tito alimwambia usijali,at least ushamuona,itakusaidia kuheal.

Becky na Martha ndio wanafika na Lexy akawaona,akadhani hata maybe anaota,akaambia Tito si huyo ni madhe na dem yako? Tito akamwambia wee nik**a umechizz but Tito kuangalia,enyewe akaona Martha na Becky. Lexy aliuliza Martha,rada! Mnataka nini? Martha akamwabia sijakuja kwa ubaya,nimekuja tu kuhakikisha k**a ni ukweli ni wewe. Lexy akamwambia yeah,mshaniona so mnaeza jitoa ama? Tito akawaambia Lexy hadai story zenu,mnaeza ishia but Lexy akamwambia relax, leo anipe majibu,akauliza Martha,mbona hukuwai kuja kunitafuta ukaniacha kwa streets? Martha akamwambia mimi sikujua you are alive ju niliambiwa wewe umekufa.

Becky na Tito wako tu hapo wanasikiza tu kila kitu. Martha aliendelea kuongea akamwambia kupotea kwako kulifanya niende therapy ju nikikumbuka I have lost my husband and my daughter but sasa ju naona uko uhai,Iam soo sorry. Lexy hakuona jambo baya,akamwambia yule msee mwenye aliniraise aliniambia alinitoa kwa wasee wenye waliua babangu na before aniambie walikua nani,akakufa. Martha akasema hata nimeishi kuwatafuta sana na hawajai patikana. I have tied kuwatafuta but wapi,hawapatikani na hata wewe sikukupata but just know nakupenda sana Lexy. Martha aliua bwanake,bwanake ni babake Lexy,Sally na Junior na mimi pia but hapa anajifanya venye ameishi kuwatafuta na she know them hata ameongea tu na mmoja wao leo.

Martha aliambia Lexy waende tu nyumbani na Lexy akakubali but akaambia Martha,on one condition,lazima niende na Tito. Becky akashindwa weee,huyu ni chali yangu bwana. But still Tuto alikataa,akamwambia mimi nilitaka tu nikusaidie ujue familia yako but mimi kuenda na wewe haiwezi. Ona Becky,ako keen sana hadi akasikia Lexy akimwambia nini "I feel safe sana kwa mikono zako" mako...makosa. Becky akabadilisha sura,baaaaaaaaaasi eeh! Sasa ile vita....

Ukitaka kujua chenye kilifanyika,tukutane kesho.

invite friends walike pia IKULU TV

It Ends With Lexxy Holding Tito's hands and Looking at His Eyes. She declares How Safe Tito Makes Him feel. This moment ...
06/11/2023

It Ends With Lexxy Holding Tito's hands and Looking at His Eyes. She declares How Safe Tito Makes Him feel. This moment Becomes even uncomfortable for Becky..I must Say Tito Is Lucky!!!! Huyu Nyota yake haitazimika kabisaaa!!!! It's another episode full of love ,
Follow IKULU TV

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Martha Katana begs Lexxy for Forgiveness . Infact she asks her to accompany her to the family mansion!!!. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Lexx...
06/11/2023

Martha Katana begs Lexxy for Forgiveness . Infact she asks her to accompany her to the family mansion!!!. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Lexxy agrees to go on only one condition, that she would Tito To accompany her there...😭😭😭😭 Aki Mtu anisaidie na Handkerchief.. wewe ushaipendwa Hivi ama Niwachane na wewe???

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Martha Breaks down and Explains to Lexxy what happened. Some people made her believe that Lexxy had died. Infact her hus...
06/11/2023

Martha Breaks down and Explains to Lexxy what happened. Some people made her believe that Lexxy had died. Infact her husband's break up broke her so much that she had to go through therapy.!!! 😭😭😭😭😭😭😭 Hapa Hadi nimelia...

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Lexy is so Angry at Martha for never looking for her??? She even asks If Martha Did not Think that Lexxy deserved a bett...
06/11/2023

Lexy is so Angry at Martha for never looking for her??? She even asks If Martha Did not Think that Lexxy deserved a better life...there is nothing as bad as that feeling of rejection especially from people you expect to show you love.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 My heart goes out to people who are going through pain caused by people they expected better from!!! It shall be well. The God who has remembered Lexxy Will remember you To.😭😭😭😭😭😭

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


When Lexxy saw Martha and Becky She thought she was Dreaming?? Infact Tito Had to move closer to confirm this is Happeni...
06/11/2023

When Lexxy saw Martha and Becky She thought she was Dreaming?? Infact Tito Had to move closer to confirm this is Happening!!!
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Lexxy has not Slept the whole Night!???😭😭😭😭😭 She Had So many unanswered Questions ???? Why did Her mom Abandon Her😭😭😭😭😭😭...
06/11/2023

Lexxy has not Slept the whole Night!???😭😭😭😭😭 She Had So many unanswered Questions ???? Why did Her mom Abandon Her😭😭😭😭😭😭!!!! Looking at the life of her family and remembering the things she has been through!!!!

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Nganuthia ameenda kuamsha bibi , eti mama yake amepotea!!!! Vituko za watoto WA Wadosi aki????? I just can't!!!!BECKY CI...
06/11/2023

Nganuthia ameenda kuamsha bibi , eti mama yake amepotea!!!! Vituko za watoto WA Wadosi aki????? I just can't!!!!

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Enyewe hii Ni nganuthia ya Ukweli?? Anataka Kitu ya kwanza anaacha Bibi anaenda kwa bedroom ya mama yake ??? Who does th...
06/11/2023

Enyewe hii Ni nganuthia ya Ukweli?? Anataka Kitu ya kwanza anaacha Bibi anaenda kwa bedroom ya mama yake ??? Who does that?? Hata k**a ni mimi mama yake ningezima hiyo simu hivyo tu!!!

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Yani Kuna Wapumbavu kuruka ,Kuamka Kitu Cha Kwanza Kumsumbua Tito ni Kuwa Shantel Hajampigia simu . Huyu nganuthia Tutam...
06/11/2023

Yani Kuna Wapumbavu kuruka ,Kuamka Kitu Cha Kwanza Kumsumbua Tito ni Kuwa Shantel Hajampigia simu . Huyu nganuthia Tutamfanya Nini??? Wapi whips za Kibe???

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Martha Katana amuendea Becky Kule Ghetto . Anataka amsaidie kumtafuta Lexxy. Huyu mama na kuficha Siri Aki???? Becky ame...
06/11/2023

Martha Katana amuendea Becky Kule Ghetto . Anataka amsaidie kumtafuta Lexxy. Huyu mama na kuficha Siri Aki???? Becky amemwambia Kuwa Hajui Kule Lexxy Yuko , lakini anajua mahali wanaeza mpata Tito. Halafu awaelekeza kwa Tito. It's Getting Twisted?

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Aki si Afadhali Tito Angewarn Becky Shantel Si Kazuri??? Sasa HIZI NI MAWHAT ????BECKY CITIZEN TV TOMORROW  ON TUESDAY 7...
06/11/2023

Aki si Afadhali Tito Angewarn Becky Shantel Si Kazuri??? Sasa HIZI NI MAWHAT ????

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Aki Becky ameingizwa Box na Shantel Tena. Mbona Haka kanakubalingi kubebwa Ujinga na Shantel Hivyo????BECKY CITIZEN TV T...
06/11/2023

Aki Becky ameingizwa Box na Shantel Tena. Mbona Haka kanakubalingi kubebwa Ujinga na Shantel Hivyo????

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Trisha Hachukui Simu Ya Junior , Unafikiria Yuko wai Tena Leo???BECKY CITIZEN TV TOMORROW  ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 ...
06/11/2023

Trisha Hachukui Simu Ya Junior , Unafikiria Yuko wai Tena Leo???

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Yani kuna Watu kichwa hakona kitu ni ya kurembesha mwili tu. Yani Trisha na akili zake zote Anaona solution ni Becky ash...
06/11/2023

Yani kuna Watu kichwa hakona kitu ni ya kurembesha mwili tu. Yani Trisha na akili zake zote Anaona solution ni Becky ashikwe, afinywe , aseme Lexxy ni nani na mpango wake na Tito ni mgani??? Aki haka kamtu

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Junior wamekuwa na Stress Juu ya mama yao na scandal ya Lexxy. Martha kutoka kwa room hataki story mob, infact analeta s...
06/11/2023

Junior wamekuwa na Stress Juu ya mama yao na scandal ya Lexxy. Martha kutoka kwa room hataki story mob, infact analeta story za marinated chicken na anajitolea kupika. Do you think junior and Trisha will fall For this???

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Martha Katana apigia maadui akijaribu kufumbua fumbo. She still can't Understand How Le###y is alive???😭😭😭😭😭😭 Gaidi kwa ...
06/11/2023

Martha Katana apigia maadui akijaribu kufumbua fumbo. She still can't Understand How Le###y is alive???😭😭😭😭😭😭 Gaidi kwa Simu akamwambia MMOJA Wao aliskilia mtoto Lexy huruma na kumwachilia. KUMBE Huyu pepo anaitwa Katana Ndiye Alimuua Baba Ya mtoto wake Lexy??? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Lexxy akijua kutaendaje??? 😭😭😭😭😭😭😭😭 Enyewe Kuna watu na viatu???? 😭😭😭😭😭😭😭😭 Yani Hata hata utu....

BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Kifo ya nyani ikifika Miti yote Huteleza. Becky hata hakuwa ameambiwa na Sanchez anything kuhusu Trisha Kuwa Shantel. Ka...
06/11/2023

Kifo ya nyani ikifika Miti yote Huteleza. Becky hata hakuwa ameambiwa na Sanchez anything kuhusu Trisha Kuwa Shantel. Kajinga kamejiuza Kenyewe!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
BECKY CITIZEN TV TOMORROW ON TUESDAY 7TH NOVEMBER 2023 PART 1 AND 2 FULL EPISODES.


Address

Maragwa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IKULU TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category