"We are looking at the situation at border points in Turkana County so that we can assess and get reports from different agencies to know the challenges and initiate the process of opening up those border points", Abdi Dubat, Principal Secretary - State Department for EAC Affairs.
#TDNNews
We call on Government to expedite the process of opening up Turkana borders points and this will reduce insecurity in our borders~Jeremiah Lomorukai, Turkana Governor
#TDNNews
WAKENYA WANAUMIA KWA USHURU.
Askofu John Mbinda wa kanisa Katoliki Jimbo la Lodwar apinga hatua ya Rais William Ruto ya kuongeza ushuru Kila mara.
#TDNNews
NITAWANIA URAIS 2027
"Nimekuja kuwasaidia watoto ambao wamekosa kuenda shule Kwa sababu ya karo,vile vile naomba mniunge mkono 2027 nitakapowania Urais"~Eugene Wamalwa Former CS for Defence
#TDNNews
St.Monica Girls-Lodwar.
#TDNNews
Mbunge wa Turkana ya Kati Joseph Namuar azindua basi jipya la shule ya Upili ya Loyo ili kurahisisha usafiri wa wanafunzi wa shule hiyo.
#TDNNews
"Safari zako hazina faida kwa wananchi wa Kenya,ulikuja Turkana ukatudanganya utatuletea stima kwa siku 100" ~Joseph Engalan Activist Turkana.
#TDNNews
People from Turkana North and South Sub-Counties benefits from Peace Winds Japan borehole Rehabilitation Program.
#TDNNews
The Government Should Protect Athletes- MP Nabuin
Turkana North MP Ekwom Nabuin has urged the government to protect the Athletes and treat them as Very Important People.
The Lawmaker decried that the government through the Ministry of Sports has neglected athletes by failing to protect them.
"We demand that athletes be treated as very important people. If there had been a driver assigned to the Marathon world record holder, Kelvin Kiptum, he would not have been involved in an accident," he said.
#TDNNews
Turkana North MP Ekwom Nabuin disburses Sh35M to over 3000 needy secondary and university students in the constituency.
#TDNNews
Turkana North MP Ekwam Nabuin endorses Azimio Leader Raila Odinga for African Union Commission Job.
#TDNNews
Launch of NG-CDF Turkana North bursary.
#TDNNews
Launch of NG-CDF Turkana North bursary.
#TDNNews
CONGRATULATIONS MADAM CHIEF.
Thanksgiving ceremony of Kanamkemer Location Senior Chief Ann Elamach.
#TDNNews
WALIKUWA WEZI HAPA LODWAR
"Tunashukuru kwa kuwasanya wale watoto wa kurandaranda mitaani na kuwapeleka shule"~Wakazi wa Lodwar.
#TDNNews
Turkana Governor Jeremiah Lomurkai arrives at Nakuru DCI regional headquarters to record statement on matters banditry related.
#TDNNews
MAUAJI YA KILA MARA KOCHODIN YAKASHIFIWA NA WENYEJI.
Muungano wa wasomi katika eneo la Kochodin Turkana Mashariki pamoja wenyeji wakashifu mauaji ya kila siku na kuibiwa mifugo na washukiwa wa uhalifu kutoka Kaunti jirani ya Pokot Magharibi. Wakiongozwa na Mwenyekiti Samuel Ariong Muungano huo umetaka serikali kuwajibika.
#TDNNews
UKIENDA MERU CHAPA KAZI.
"Unapoenda Meru chapa kazi vile umekuwa ukichapa hapa Turkana ila najua umekuwa Kamishna chapa kazi haswa hapa Turkana"~Jackson Nakusa TPA Chairperson Turkana county.
#TDNNews
OUMA UMEFANYA KAZI.
"Umefanya kazi nzuri hapa Turkana ,hatutakusahau kamwe"~Jeremiah Lomorukai Gavana Turkana.
#TDNNews
The new Turkana County Commissioner Julius Kavita take over from Jacob Ouma.
#TDNNews