Kuna situations mingi huwa inapata wasee na at times huwa inaeza haribu plans zako. Nishow, una-try aje usi-mess ndio u-stay focused in life?
#IGotThis #MbogiTruu #ShujaazTV
Kukuwa na connections kwa biz huwa muhimu, shida ni ati inaeza kuendea fiti ama ikurambe. Tu-show connections zime-affect aje biz yako?
#NiProcess #MbogiTruu
Tukitegea episode finale, sanchezmarley_ ako na advice ya kuwajenga, amewaambia msisahau kujipin na mustakabadhi π cheki hii bts uone ana maanisha nini.
Make sure pia ume-tune in 10PM NTV kenya for grand finale show ya #SHUJAAZTV
#MbogiTruu
Tukitegea episode finale ya #ShujaazTV, cheki venye vitu hu-go down during shoots. Skia Yvionareign akiimba, sauti ya kutoa nyoka pangoni ππΎ
Make sure ume-tune in kesho 10PM NTV Kenya usikose kuona hii and so much more!
#MbogiTruu
Mombasa tumefika finally! Make sure ume-catch episode mpya ya #ShujaazTV, tunaingia coast kucheki vaibu ni gani na ma-host wetu wa power Sanchezmarley na Yvionareign
Tune in kesho at 10PM at NTV. Kosa uchekwe
#MbogiTruu
"Changamoto huwa ni nyingi. Kwanza kama familia mtu ywaeza kuleta mtoto wake aa nichoree, lakini asikupe kitu. Hiyo tayari wavunjika morali. Lakini kila siku zinapozidi kwenda, pia wewe akili yako yafunguka.
Kama mimi sa naolewa, siwezi ngoja bwanangu na kila kitu. Kwenye nyumba kwaeza kosa chumvi, siezi piga simu hakuna chumvi. Mimi naeza nunua chumvi kwa ile pesa natumikia."
Tulipatana na Rukia pale Mwembe Ngoma na alituchanua sana. Vitu alitu-show inaeza saidia wasee wengi especially madem wenye wanataka kujitafutia.
#NiProcess #MbogiTruu
"Employment is not compulsory, sio lazima. Kuna wale wanaeza kufungua biashara na wakaishi vizuri. My biggest dream, I want to travel out of East Africa. Niende nipige ngoma huko...kama watajua ku-dance, watajua ku-dance. Kama hawajui basi nitakuwa nimepiga ngoma." Juma.
As an artist, ako talented kama drummist, muimbaji na dancer. Talanta yake imemtuma hadi aka-meet former president Uhuru Kenyatta. Ametupiga real talk pale #ShujaazTV from experience yake na life. Cheki stori yake #MbogiTruu
"Saseni, mimi niko na mpenzi, na jamaa niko naye madharau kwake ndio mingi. Na huniudhi, nimejaribu kumuacha na nikienda kulala sipati usingizi. Namfikiria tu. Nifanye nini?"
#IGotThis #MbogiTruu
Ukifungua biz kuna vitu lazima msee akue nazo ku-avoid kujipata on the wrong side.
Tu-show una-do nini kwa biz yako ndio isifungwe?
#NiProcess #MbogiTruu
Inaitwa life, unaeza jipata unaanza ku-hustle mapema ukiwa young juu ya circumstances.
Watoi kwa area yenu wana-do nini wapate dooh?
#KunaVenye #MbogiTruu
Holiday mood activated ππβοΈβ±οΈ
Dianiiii tumewasili! Kesho Wednesday 10PM Pale NTV Kenya, tunacheki #MbogiTruu from Kwale County. Mwaambaje?
Usikose ku-tune in ππΏππΏ
"Kucheza nyatiti imenijenga in many ways. First, napewa kitu naji-boost nayo shule. Most youth wanasema hii kitu ni ya kitambo ...ukipenda kitu, unajipa tu moyo. Mi najua kitu nafanya" Victor.
Ujanja yenye ilifanya Victor akuwe focused ni kuamua kuchukua talent yake serious na ku-avoid bad friends wenye walijaribu kumpoteza.
Kama bado huja-try ku-do kitu juu ya talent yako, feel inspired. You never know place itakufikisha #MbogiTruu