11/01/2024
πππππππ πππππ ππππ πππ
Kumbuka kuweka LIKE!
ππππ π
Following day, mlangoni kulibishwa. Lexy akakuja mbio akidhani ni mamake,kufungua, ni Sanchez. Lexy alimuuliza Sanchez k**a aliongea na Tito? Sanchez akamwambia yeah,niliongea na yeye na kaa ukijua mamako hayuko kwangu. Lexy alijaribu kumwambia ile ngori ya jana aikua kupenda kwake but Sanchez alimwambia mi niko sawa,namaintain tu ngori yangu.
Becky na yeye kufika kazini,kashachelewa. Yafaa aingie 7am,ameingia 10am. Alifika k**a ameanza kujitetea venye alipata msee anamjua ikabidi ampeleke nyumbani,lakini mwenye hotel,alimwambia sikiza msichana,huu uongo tunajua sana,sasa fanya hivi,venye tu umekuja,rudi hivyo alah. Maskini Becky, day 2 kazini,ashafutwa kazi just for being a good samaritanπππ
Becky ilibidi amerudi kejani,akapata Imelai amelala bado na kumguza akaona at least mwili hauna joto mob,she is getting better but sasa kazi manze. Becky alianza kujiuliza, why me? Out f all places Imelia akaamua tu kulala place yake ya kazi,ona sasa imemcost manze,kazi imeisha. Becky alichukua simu akamcall Moh.
Becky aliambia Moh manze Imelia ako huku. Moh alimuuliza uko sure? Becky akamwambia yeah and as we speak ako kwangu,nilimpata kwa ile base nilipata job amekaa hapo ikabidi nimchukue nimlete kwangu. Moh alimuuliza sasa alifikaje hapo? Becky akamwambia hata wacha alifikaje hapo,imagine as we speak nimefutwa job ju nililate kazini na sai Imelia hataki mtu ajue kwenye yeye ako,hata Lexy wala Moses hataki wajue kwenye ako. Moh alimwambia usijali, acha nikipata time nitakam.
Becky kumaliza tu simu hivi, Tito akafika. Tito amekuja kujulia Jeff hali na hana habari ndani ya nyumba Imelia amelala kwa kiti. Kisha Tito akaambia Becky,manze Imelia hapatikani hatujui ako wapi. Becky anajifanya kushtuka sana na anajua kwenye ako,shida ni Tito aseme aingie kwa hao,but good thing hakuingia na huyoo Tito akaamua kuenda lakini akienda, Becky alimuita,akamwambia manze kuja,nataka kukushow kitu. Tito sas