Salaam Kenya

Salaam Kenya Radio Salaam Kenya is a platform offered by RADIO SALAAM FM MSA, for people to to interact, realise their potentials and build talents.

RADIO SALAAM ENLIGHTENING

Unasikiliza 90.7 Radio salaam ukiwa wapi Karibu kwenye salaam drive ukiwa nami@Simon Kaingu from 4pm -6pm wasiliana nami...
11/09/2024

Unasikiliza 90.7 Radio salaam ukiwa wapi Karibu kwenye salaam drive ukiwa nami@Simon Kaingu from 4pm -6pm wasiliana nami sms/watsapp 0741377499 call 0781955252,0741377499

Seneta Maalum kaunti ya Mombasa Miraj Abdillah amemuomba mwenyekiti wa baraza la magavana nchini Ann Waiguru kukubali om...
13/08/2024

Seneta Maalum kaunti ya Mombasa Miraj Abdillah amemuomba mwenyekiti wa baraza la magavana nchini Ann Waiguru kukubali ombi lake la kutowatoza vijana ushuru wanapofungua biashara zao kwa muda wa miezi mitatu.

Hii ni kutokana na vijana wengi kushindwa kuimarika na kuendeleza biashara zao punde wanapozianzisha hasa baada ya kupata mtaji.

Seneta Miraj amesema biashara nyingi za vijana zimeshindwa kuendelea kutokana na ushuru unaotozwa haswa katika hatua za mwanzoni.

RADIO SALAAM, MombasaSalaam Kenya

leo salaam magazetini. Gachangua ahidi kumtafuta Raila 2027.90.7 Mombasa
06/08/2024

leo salaam magazetini. Gachangua ahidi kumtafuta Raila 2027.

90.7 Mombasa

Asubui njema ya jumanne karibu ndani ya kipindi cha kauli yako ndani ya Radio salaam 90.7 mombasa,kwale, kilifi unasalim...
06/08/2024

Asubui njema ya jumanne karibu ndani ya kipindi cha kauli yako ndani ya Radio salaam 90.7 mombasa,kwale, kilifi unasalimia nani asubuhi ya leo call 0741377499 kutoka 6am to 10am ukiwa nami@Simon Kaingu

salaam magazetini asubuhi ya leo
05/08/2024

salaam magazetini asubuhi ya leo

Jambo kenya leo kwenye kurasa za magazeti.
30/07/2024

Jambo kenya leo kwenye kurasa za magazeti.

leo kwenye kipindi cha kauli yako tutakua na mgeni tukizungumzia ujasiri amali. je unaswali lolote kwa mgeni wetu kuhusi...
25/07/2024

leo kwenye kipindi cha kauli yako tutakua na mgeni tukizungumzia ujasiri amali. je unaswali lolote kwa mgeni wetu kuhusiana na yjasiri amali?. weka ujumbe tutaupitia.

uteuzi wa mawaziri kutoka upande wa upinzani umeupokea vipi?huku kalonzo akiawa ndie amesalia kuwa na msimamo wake., je ...
25/07/2024

uteuzi wa mawaziri kutoka upande wa upinzani umeupokea vipi?
huku kalonzo akiawa ndie amesalia kuwa na msimamo wake., je inashiria nini uchaguzi wa 2027?

Leo kwenye kurasa za magazeti.

RISE A LIFE TO SHINE YOUR LIFE:TUWAPATIE NAFASI MAYATIMA KUSOMA - KUMBUKA TUMA MCHANGO WAKO KWA MPESA PAYBILL NO. 616 95...
26/04/2024

RISE A LIFE TO SHINE YOUR LIFE:

TUWAPATIE NAFASI MAYATIMA KUSOMA - KUMBUKA TUMA MCHANGO WAKO KWA MPESA PAYBILL NO. 616 959… ACCOUNT: SWADAQA

KWA MAWASILIANO ZAIDI, WASILIANA NA USTADHA SAADIA… KWA NAMBARI: 0722 124 545
WABILLAH TAWFIQ

Address

Baluchi Complex, Makadara Road, Ground Floor
Mombassa

Telephone

0727-206777

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salaam Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Salaam Kenya:

Videos

Share

Category