Shekifm Twavuma Mombasa

Shekifm Twavuma Mombasa 100% Pure Gospel Radio Station

12/01/2025

Jumapili njema yenye baraka wapendwa wa Mungu.

Yaliyomo magazetini leo Jumapili 12/1/25
12/01/2025

Yaliyomo magazetini leo Jumapili 12/1/25

11/01/2025

Sabato njema kwenu.

Yaliyomo magazetini leo Jumamosi 11/1/25.
11/01/2025

Yaliyomo magazetini leo Jumamosi 11/1/25.

10/01/2025

Neno la leo: Wafilipi 4:4, furahini siku zote katika bwana licha changamoto.mchana mwema wenye baraka mzomzo.

Wanafunzi takribani 48,300 walizoa alama ya E kwenye mtihani wa kitaifa KSCE ambao matokeo yake yalitangazwa jana alhami...
10/01/2025

Wanafunzi takribani 48,300 walizoa alama ya E kwenye mtihani wa kitaifa KSCE ambao matokeo yake yalitangazwa jana alhamisi 9/1/25.wizara ya elimu yatangaza.

Leo magazetini 10/1/25.
10/01/2025

Leo magazetini 10/1/25.

09/01/2025

Today's scripture:1Thessalonians 5:18,shukuru Mungu kila wakati na kwa kila jambo.mbarikiwe nyote, muwe na siku njema.

Magazetini leo Jumatano 9/1/25.
09/01/2025

Magazetini leo Jumatano 9/1/25.

08/01/2025

Neno la leo: Wagalatia 6:2, tubebeane mizigo sisi kwa sisi.Mola atubariki sote.siku nyerezi.

Magazetini leo Jumatano 8/1/25.
08/01/2025

Magazetini leo Jumatano 8/1/25.

08/01/2025

Shout out to our newest followers! Excited to have you onboard! Erick Majani, Victor Mcoasty, Jacob Katana Kombe, Mzazi Tuva, Kilifian Kingpin, Priscilla Kahaso, Doris Wangari, Mbeyu Abby aisee karibuni kwa mpigo..

07/01/2025

Neno la leo: Waamuzi 16:28, acha Mola akumbuke kila mmoja tumwombapo na kumwita.siku njema kwa kila mmoja.

Magazetini leo Jumanne 7/1/25.
07/01/2025

Magazetini leo Jumanne 7/1/25.

06/01/2025

Mjadala: K**a mzazi umejiandaa vizuri shule zinapo funguliwa kote nchini?

06/01/2025

Today's scripture: Proverbs 3:5:6..God blessings upon you all as continue trusting him.siku njema.

Yaliyomo magazetini leo jumatatu 6/1/25.
06/01/2025

Yaliyomo magazetini leo jumatatu 6/1/25.

05/01/2025

Jumapili njema wapendwa wa Mungu mnapo kwenda maabadani..Mola ni Mola wa misimu yote.siku ainati kwenu.

Address

Tononoka
Mombassa
80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shekifm Twavuma Mombasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shekifm Twavuma Mombasa:

Videos

Share

Category