Baraka FM

Baraka FM #1 Urban Station in the Kenyan Coast. Your Home of RnB and African Pop. SHIKA-MO! www.barakafm.org The biggest urban radio station in Coastal Kenya.
(44)

Plays you the freshest RnB & African-Pop hits. Twitter , Instagram

Mwana basketi boli Lebron James na bingwa wa michezo ya gymnastic Simone Biles.
06/08/2024

Mwana basketi boli Lebron James na bingwa wa michezo ya gymnastic Simone Biles.

Kati ya wanadoa mke na mume nani huwa muongo sana? picha hisani.
06/08/2024

Kati ya wanadoa mke na mume nani huwa muongo sana?

picha hisani.

    🏖🏖    ndani ya mjengo tayari kukiwasha.☎️  0722479800/0733579800sms/Whatsapp 0748 312 175 95.5Msa 99.3Mld 🌎www.barak...
06/08/2024


🏖🏖 ndani ya mjengo tayari kukiwasha.
☎️ 0722479800/0733579800
sms/Whatsapp 0748 312 175
95.5Msa
99.3Mld
🌎www.barakafm.org

 Kipa wa Manchester United Andre Onana ameonya timu pinzani EPL.“Get ready for this season. I will take a lot of risks, ...
06/08/2024


Kipa wa Manchester United Andre Onana ameonya timu pinzani EPL.

“Get ready for this season. I will take a lot of risks, be ready guys. I can tell you in advance already! Be prepared because it’s gonna be this season, trust me! I will enjoy it even more when this season starts”.

United wataonana msimu ujao ama mbwembwe tu?

 Stevo Simple Boy nikuwadrink tu sasa na grillz. Upe alama muonekano mpya wa jamaa la matulinga.
06/08/2024


Stevo Simple Boy nikuwadrink tu sasa na grillz.

Upe alama muonekano mpya wa jamaa la matulinga.

 :Abuja's Jess ETA is a rising star in the Nigerian music scene. This multifaceted artist blends genres to create a uniq...
06/08/2024

:
Abuja's Jess ETA is a rising star in the Nigerian music scene. This multifaceted artist blends genres to create a unique,eclectic sound. His 2022 album "Playing with Fire" gained global recognition with tracks like "SKATA" appearing on Netflix's "Blood & Water" and "Neon" featuring in "Glamour Girls." Part of the creative collective "Dancing in the Desert," Jess ETA consistently pushes boundaries and defies expectations. His new single “All Along” is the intro to his forthcoming EP “Casanova” with grammy nominated producer and Industry veteran, Benjamz.
https://on.soundcloud.com/wx3pxKzuHSbAT27J8

  kombani Girls wazidi kung'ara na kutinga nusu faina ya michuano ya soka ya michezo ya shule za upili ngazi ya kitaifa ...
06/08/2024


kombani Girls wazidi kung'ara na kutinga nusu faina ya michuano ya soka ya michezo ya shule za upili ngazi ya kitaifa baada ya kuwanyuka Alara Girls mabao 3-1.
Upande wa wavulana Dr. Aggrey wabanduliwa baada ya kupata kipigo cha mabao 6-0 kutoka kwa St Joseph kati pambano la mwisho la hatua ya makundi.

Picha hisani.

      Nelly Chepchirchir na Faith Kipyegon watinga fainali za mita 1500 baada ya kumaliza katika nafasi ya 1 na 4 mtawal...
06/08/2024




Nelly Chepchirchir na Faith Kipyegon watinga fainali za mita 1500 baada ya kumaliza katika nafasi ya 1 na 4 mtawalia katika mbio za michujo tofauti.

      Julius Yego atinga fainali za urushaji mkuki  baada ya kuvunja rekodi yake bora ya kibinafsi kwa kurusha umbali wa...
06/08/2024




Julius Yego atinga fainali za urushaji mkuki baada ya kuvunja rekodi yake bora ya kibinafsi kwa kurusha umbali wa mita 85.57

🇰🇪🇰🇪

  Tupo Ange Lutfia Bakari Na Callamah KBK SMS/Whatsapp 0748 312 175
06/08/2024

Tupo Ange Lutfia Bakari Na Callamah KBK

SMS/Whatsapp 0748 312 175

 Hitmaker wa ngoma ya 'Gbag na Jug' Stoopid Boy amesema rapa Khaligraph Jones ameishiwa kwenye mziki."Unajua OG ameanguk...
06/08/2024


Hitmaker wa ngoma ya 'Gbag na Jug' Stoopid Boy amesema rapa Khaligraph Jones ameishiwa kwenye mziki.

"Unajua OG ameanguka kwa hii remix ya anguka nayo. Amepotea! Aliona haskizwi, sasa aliamua kuja Kwa limelight na kitu yenye vijana wamejituma. Mtu k**a OG ni msee aliisha kwa hii industry".

Hivi kweli OG zilipendwa?

         Kwenye   Jumanne ya leo kolabo za wanamziki kutoka hapa nchini zipo kwenye jedwali.1. Pokomo Princess ft Masaut...
06/08/2024


Kwenye Jumanne ya leo kolabo za wanamziki kutoka hapa nchini zipo kwenye jedwali.
1. Pokomo Princess ft Masauti - Parasitamo
2. Echo 254 Ft Cartoon 47- Uje
3. Dogo Richie Ft Mr Seed - Lala
Gani kati ya kolabo hizi zitaibuka kidedea kwa jedwali la Kali Ya SaaTatu?
Kura yako ni muhimu zaidi pale comment section.
📞0722479800/0733579800
📲 0748312175
Picha : Hisani

06/08/2024

Zuena ameomba msamaha baada ya kusema hawezi date wanaume waKenya sababu ya Kiswahili chao.

Hivi mumemsamehe?
🎥: Hisani

 . ~Zaidi ya nyumba elfu 10 za mradi wa nyumba za bei nafuu hazileti kipato  kwa serikali.Je tatizo liwapi?~Kwingineko G...
06/08/2024

.
~Zaidi ya nyumba elfu 10 za mradi wa nyumba za bei nafuu hazileti kipato kwa serikali.Je tatizo liwapi?

~Kwingineko Gachagua aahidi kumtafuta Raila 2027
Baraka FM
95.5 Mombasa
99 .3 Malindi

          Mithali 16:1-3Mipango ya moyo ni ya wanadamu, bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana. Njia zote za mtu huonekan...
06/08/2024


Mithali 16:1-3
Mipango ya moyo ni ya wanadamu, bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana. Njia zote za mtu huonekana kwao kuwa safi, bali nia hupimwa na Bwana. Mkabidhi Bwana kila ufanyalo, naye ataimarisha mipango yako. Soma sura kamili.
Picha Hisani

Good morning, ni Jumanne safi na mambo ni pambe zaidi ndani ya   tayari tushatia nanga burudani la kishua utalipata ukiw...
06/08/2024

Good morning, ni Jumanne safi na mambo ni pambe zaidi ndani ya tayari tushatia nanga burudani la kishua utalipata ukiwa nasi ndio kusema katika anga za kwako. Unategea vibe la mega ukiwa wapi?
Wakilisha Mtaa wako pale comment section.
📞 0722479800/0733579800
📲 0748312175
George Boateng Na Triciahbb

Beatrace Chebet ameshindia Kenya dhahabu ya kwanza kwenye mashindano ya   jijini Paris baada ya kunakili mda wa 14.28.56...
06/08/2024

Beatrace Chebet ameshindia Kenya dhahabu ya kwanza kwenye mashindano ya jijini Paris baada ya kunakili mda wa 14.28.56 kwenye mbio za mita 5000.

Faith Kipyegon ameshinda fedha baada ya kumaliza wa pili.

Wikendi yako ilikuwaje? Karibu katika kipindi Cha   ukiwa naye Francis Mandi. Wamtuliza nani akiwa wapi?
05/08/2024

Wikendi yako ilikuwaje? Karibu katika kipindi Cha ukiwa naye Francis Mandi. Wamtuliza nani akiwa wapi?

        Good evening. karibu ndani ya   tuchanganue maswala muhimu katika jamii ukiwa nami Khamisi Ngoka . Mgeni wetu St...
05/08/2024


Good evening. karibu ndani ya tuchanganue maswala muhimu katika jamii ukiwa nami Khamisi Ngoka . Mgeni wetu Studioni ni Constituency Manager Likoni constituency Mr. Mohammed Nyembwe.
Topic : Status of development in Likoni counstituency.
Unaswali gani kwake?
Fika kwa comment section.
Call 0722479800/0733579800
WhatsAPP/SMS 0748312175.

 'Adi Ticha' Vybz Kartel amesema 254 mkae mkao wakula, anafika very soon.Ngoma gani yake inakubamba zaidi?
05/08/2024


'Adi Ticha' Vybz Kartel amesema 254 mkae mkao wakula, anafika very soon.

Ngoma gani yake inakubamba zaidi?

      Ndani ya   leo Jumatatu tutakuwa naye Mkurugenzi mkuu wa East Africa Grain Council Mr. Gerald Masila. Topic: Promo...
05/08/2024


Ndani ya leo Jumatatu tutakuwa naye Mkurugenzi mkuu wa East Africa Grain Council Mr. Gerald Masila.
Topic: Promoting Agribusiness in Coast Region.
Bwaga swali lako pale comment section.
WhatsAPP/SMS 0748312175

Host: Khamisi Ngoka
Time : 7-8pm

Unadhani wana-dance wimbo upi?
05/08/2024

Unadhani wana-dance wimbo upi?

  "From Pokomo to the world " Msanii  kutoka pwani Kenya asema Ngoma yake mpya iitwayo "God Created The World"  Ni kali ...
05/08/2024



"From Pokomo to the world "
Msanii kutoka pwani Kenya asema Ngoma yake mpya iitwayo "God Created The World" Ni kali kushinda komasava ya diamond platinumz.

Ikumbukwe kuwa mtumzi WA wimbo WA taifa ulitungwa na mpokomo.

    Utafiti unaonyesha kuwa robo ya wanandoa dunia wanaishi pamoja lakini wanalala vitanda tofauti.Je maoni yako ni gani...
05/08/2024



Utafiti unaonyesha kuwa robo ya wanandoa dunia wanaishi pamoja lakini wanalala vitanda tofauti.

Je maoni yako ni gani?

📲0722479800/0733579800
SMS/WhatApp 0748312175

  Mwimbaji wa Nyimbo za injili Shari Martin amefariki Dunia. Shari amefariki jijini Nairobi baada ya kuugua kwa muda mfu...
05/08/2024


Mwimbaji wa Nyimbo za injili Shari Martin amefariki Dunia. Shari amefariki jijini Nairobi baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Shari alijulikana sana kwa wimbo wake Rafiki pesa

 Muigizaji star Idris Elba amepewa ekari 80 ya ardhi kisiwani Zanzibar ili kujenga studio za filamu.Hivi quality ya Bong...
05/08/2024


Muigizaji star Idris Elba amepewa ekari 80 ya ardhi kisiwani Zanzibar ili kujenga studio za filamu.

Hivi quality ya Bongo movies imeishinda ya nyumbani 254?

 Wikendi yako imekuaje? Karibu tukupambie jioni yako na burudani na mastory kibao.Lucas Mwangemi  X Katiwa Maneeno   95....
05/08/2024


Wikendi yako imekuaje? Karibu tukupambie jioni yako na burudani na mastory kibao.
Lucas Mwangemi X Katiwa Maneeno


95.5Msa 99.3Mld
Online www.barakafm.org

 Msanii Dogo Richy ameweka wazi kuwa yupo na utajiri wa Ksh. 5.2M ila katoa onyo, asikopwe.95.5Msa 99.3MldOnline www.bar...
05/08/2024


Msanii Dogo Richy ameweka wazi kuwa yupo na utajiri wa Ksh. 5.2M ila katoa onyo, asikopwe.

95.5Msa 99.3Mld
Online www.barakafm.org

05/08/2024


Mwanaume mwenye hana hela hapaswi kupenda?

SMS/Whatsapp 0748 312 175

Tunachangamka Na     Na Lutfia Bakari Na Callamah KBK SMS/Whatsapp 0748 312 175
05/08/2024

Tunachangamka Na Na Lutfia Bakari Na Callamah KBK

SMS/Whatsapp 0748 312 175

Address

87751
Mombasa
80100

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+254722479800

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraka FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Baraka FM:

Videos

Share