Raia TV

Raia TV is a Kenyan free to air channel providing the best in Swahili Entertainment on the Pang Sign
(107)

is a Kenyan free to air channel providing the best in Swahili Entertainment on the Pang Signal. Watch on Free-to-air Channel 170, GoTV channel 803, Bamba 126, Startimes 170.

NAKURU, ARE YOU READY?!?!
19/03/2024

NAKURU, ARE YOU READY?!?!

06/03/2024
Mko tayari? na Mimah wamekuja kuwamalo na sho ingine moto hapa Raia TV.We kosa uchekwe!!
06/03/2024

Mko tayari? na Mimah wamekuja kuwamalo na sho ingine moto hapa Raia TV.

We kosa uchekwe!!



Brace yourself for an experience like no other on the WCW show to be aired on Raia tv every Wednesday from 3pm-6pm. The ...
16/02/2024

Brace yourself for an experience like no other on the WCW show to be aired on Raia tv every Wednesday from 3pm-6pm.
The show will delve on all matters concerning women, lifestyle, trending issues and ofcourse gossip!!

Do not miss out!!



soon

https://youtu.be/uz9VLDowb_g
13/03/2023

https://youtu.be/uz9VLDowb_g

Kutana ana kwa ana na Mkurugenzi Mtendaji wa SHOFCO Dkt. Kennedy Odede, ambaye pia ndiye mwanzilishi na jinsi shirika hilo limeinua jam...

08/03/2023

Vipindi vipya hivi karibuni hapa raia tv pamoja tufurahie...

Hatimae Eric Omondi na wenzake wame achiliwa  kwa dhamana shillingi elfu kumi kila moja...Eric Omondi alikamatwa jana ku...
23/02/2023

Hatimae Eric Omondi na wenzake wame achiliwa kwa dhamana shillingi elfu kumi kila moja...Eric Omondi alikamatwa jana kupitia mandano...

Game ya leo ni kichwa ama ni over au GG....
23/02/2023

Game ya leo ni kichwa ama ni over au GG....

Hebu tupe maoni yako kuhusu habari za huyu Bwana Eliud Simiyu "Aka" Yesu wa Bungoma.
02/02/2023

Hebu tupe maoni yako kuhusu habari za huyu Bwana Eliud Simiyu "Aka" Yesu wa Bungoma.

Ni afadhali kujutia mambo ambayo nimefanya kuliko kujutia mambo ambayo sijafanya... Asema msanii Mbosso..
31/01/2023

Ni afadhali kujutia mambo ambayo nimefanya kuliko kujutia mambo ambayo sijafanya... Asema msanii Mbosso..

QUEEN DARLEEN : Mwanahawa Abdul Juma: huyu ni dadake mkubwa Diamond platinumz, anazaliwa mwaka wa 1984 , alianza kazi ya...
31/01/2023

QUEEN DARLEEN : Mwanahawa Abdul Juma: huyu ni dadake mkubwa Diamond platinumz, anazaliwa mwaka wa 1984 , alianza kazi ya muziki 2000 ,miaka 8 mbele ya kakake Diamond platinumz...

Msanii wa 254 W***y Paul anadai East Africa simba ni wawili, yeye na Diamond Platnumz. Unadhani Bwana Mkunaji ndiye simb...
31/01/2023

Msanii wa 254 W***y Paul anadai East Africa simba ni wawili, yeye na Diamond Platnumz.
Unadhani Bwana Mkunaji ndiye simba wa Kenya?

Game ya leo vip..?? Toa maoni yako .
27/01/2023

Game ya leo vip..?? Toa maoni yako .

Baadhi ya maeneo  ya kitalii mjini π’π’‚π’π’›π’Šπ’ƒπ’‚π’“ ....
27/01/2023

Baadhi ya maeneo ya kitalii mjini π’π’‚π’π’›π’Šπ’ƒπ’‚π’“ ....

Masanii Rayvanny akiwa na mamake mzazi  mjini Mbeya...Tanzania.
25/01/2023

Masanii Rayvanny akiwa na mamake mzazi mjini Mbeya...Tanzania.

  Mwanamuziki na mfanyibiashara Akothee ashauri wanaume kuoa mwanamke mwenye sufuria kubwa na sio gari kubwa..Angusha Ma...
25/01/2023


Mwanamuziki na mfanyibiashara Akothee ashauri wanaume kuoa mwanamke mwenye sufuria kubwa na sio gari kubwa..

Angusha Maoni yako....

Mchekeshaji na muigazi maarufu Erick Omondi kwa muonekano mpya.Neno moja kwake.
25/01/2023

Mchekeshaji na muigazi maarufu Erick Omondi kwa muonekano mpya.
Neno moja kwake.

Aliye kuwa waziri wa Elimu Profesa George magoha Ame aga dunia..Magoha ame aga dunia kutokana mshutuko wa moyo..Rest pea...
24/01/2023

Aliye kuwa waziri wa Elimu Profesa George magoha Ame aga dunia..Magoha ame aga dunia kutokana mshutuko wa moyo..Rest peace Magoha.

K**a mzazi toa maoni yako kwa huyu baba watoto...
17/01/2023

K**a mzazi toa maoni yako kwa huyu baba watoto...

17/01/2023

North Coast Training Collage Kikambala Kilifi.

Ferdinand Omanyala ni miongoni mwa polisi walio fuzu hapo jana..Hongera Omanyala
11/01/2023

Ferdinand Omanyala ni miongoni mwa polisi walio fuzu hapo jana..

Hongera Omanyala

Zuchu aonesha urembo bila kujikwatua kwa make up akiwa kisiwa cha  Comoro ...Raia tv Pamoja Tufurahie
11/01/2023

Zuchu aonesha urembo bila kujikwatua kwa make up akiwa kisiwa cha Comoro ...Raia tv Pamoja Tufurahie

Raia Tv Tunawatakia Mwaka Mpya Wenye Mafanikio Watazamaji Wetu Wote...Endelea Kutazama Raia Tv Pamoja Tufurahie..
01/01/2023

Raia Tv Tunawatakia Mwaka Mpya Wenye Mafanikio Watazamaji Wetu Wote...Endelea Kutazama Raia Tv Pamoja Tufurahie..

Mkataba mnono wa miaka miwili kwa Christiano Ronaldo ndani ya clabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia.πŸ’° Sh26.4 billion kwa mwa...
31/12/2022

Mkataba mnono wa miaka miwili kwa Christiano Ronaldo ndani ya clabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia.
πŸ’° Sh26.4 billion kwa mwaka.
πŸ’° Sh2.2 billion kwa mwezi.
πŸ’° Sh508 million kwa wiki.
πŸ’° Sh73 million kwa siku.
πŸ’° Sh3 million kwa lisaa.
πŸ’° sh 51,000 kwa dakika.
πŸ’° Sh 860 kwa sekunde.

Mwanahabari Catherine Kasavuli ame aga  dunia.Kasavuli alizaliwa mwaka 1962.Ame aga dunia baada kuugua kwa mduda mrefu.....
30/12/2022

Mwanahabari Catherine Kasavuli ame aga dunia.Kasavuli alizaliwa mwaka 1962.Ame aga dunia baada kuugua kwa mduda mrefu.. Raia tv twatoa rambirambi zetu kwa jamaa marafiki na familia Mola ilaze Roho yake pema palipo na wema ..

Address

Nyali
Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Raia TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Raia TV:

Videos

Share

Our Story

#RaiaTV is a Kenyan free to air channel providing the best in Swahili Entertainment on the Pang Signal. Watch on Free-to-air Channel 170, GoTV channel 840, Bamba 126, Startimes 170.



You may also like