KBRU MEDIA

KBRU MEDIA We are a dedicated team of content creators and a reliable source of information

Wanayosema kuhusu okra ni kweli ama ni chocha tu
18/04/2024

Wanayosema kuhusu okra ni kweli ama ni chocha tu

K**a hataki kuuza si aseme tu!.
14/04/2024

K**a hataki kuuza si aseme tu!.

Face2Face akiwatumbuiza mashabiki wake.. Sasa hii inatia moyo kuona vijana wakipewa jukwaa ili kuonyesha uwezo wao.
10/04/2024

Face2Face akiwatumbuiza mashabiki wake.. Sasa hii inatia moyo kuona vijana wakipewa jukwaa ili kuonyesha uwezo wao.

Lazima kieleweke..
09/04/2024

Lazima kieleweke..

Mimi na wewe tukijitolea ipasavyo kupeana sapoti kwa wasanii wetu wanaoinukia, tutagundua kuwa mashinani vipaji vipo ni ...
01/04/2024

Mimi na wewe tukijitolea ipasavyo kupeana sapoti kwa wasanii wetu wanaoinukia, tutagundua kuwa mashinani vipaji vipo ni sisi ndio tunawaangusha..

Msanii shupavu wa Kanda ya pwani Mangi Safaree ameachilia wimbo wa CHECK kwenye mtandao wao wa Jacugaz Music..
25/03/2024

Msanii shupavu wa Kanda ya pwani Mangi Safaree ameachilia wimbo wa CHECK kwenye mtandao wao wa Jacugaz Music..

Hunywi pombe, sigara huvuti, hupendi wanawake, huendi ibada na hela pia huna.... si bure umerogwa wewe!.
24/03/2024

Hunywi pombe, sigara huvuti, hupendi wanawake, huendi ibada na hela pia huna.... si bure umerogwa wewe!.

Hongera!. Kwake Muigizaji kendrick Mulamwa! Kwa kujinunulia gari lake la kwanza aina ya Mercedes Benz E250..
21/03/2024

Hongera!. Kwake Muigizaji kendrick Mulamwa! Kwa kujinunulia gari lake la kwanza aina ya Mercedes Benz E250..

Salamu kutoka Haiti..
21/03/2024

Salamu kutoka Haiti..

Tunaarifiwa kuwa tiktoker Brian Chira ameaga dunia kupitia ajali ya barabarani..
16/03/2024

Tunaarifiwa kuwa tiktoker Brian Chira ameaga dunia kupitia ajali ya barabarani..

Leo ni furaha kwa Betty kyalo, marafiki, wafuasi na familia yake ikiwa anasherehekea kufikisha siku 12775 (35yrs) ulimwe...
15/03/2024

Leo ni furaha kwa Betty kyalo, marafiki, wafuasi na familia yake ikiwa anasherehekea kufikisha siku 12775 (35yrs) ulimwenguni,

Nasi tunamtakia heri njema ya kuzaliwa. 🎂

Mfalme wa mziki.. 👑
14/03/2024

Mfalme wa mziki.. 👑

Joseph Irungu maarufu k**a "Jowie" amehukumiwa kifo na jaji Nzioka baada ya kupatikana na kosa la kumuuwa mfanya biashar...
13/03/2024

Joseph Irungu maarufu k**a "Jowie" amehukumiwa kifo na jaji Nzioka baada ya kupatikana na kosa la kumuuwa mfanya biashara Monica Kimani mnamo mwaka wa 2018..

Mbunge wa Nyali mheshimiwa  Ali anawatakieni waislamu wote Ramadhan yenye heri na baraka tele..
11/03/2024

Mbunge wa Nyali mheshimiwa Ali anawatakieni waislamu wote Ramadhan yenye heri na baraka tele..

Hatimaye shakib amekubali kupiga selfie na mpenzi wake Zari ili kukomesha wadaku waliofkiri wameachana..🤳
07/03/2024

Hatimaye shakib amekubali kupiga selfie na mpenzi wake Zari ili kukomesha wadaku waliofkiri wameachana..🤳

Haka badala kasome kanapiga piga picha 📸 ..  Kali 💯
06/03/2024

Haka badala kasome kanapiga piga picha 📸 .. Kali 💯

Ama kweli mapenzi hayana mipaka hatimaye msanii stevo simpleboy alifanikiwa kumpeleka date mwanadada Betty kyalo
29/02/2024

Ama kweli mapenzi hayana mipaka hatimaye msanii stevo simpleboy alifanikiwa kumpeleka date mwanadada Betty kyalo

Maisha yanaenda kasi aisee k**a hawa washakuwa mandugu..
22/02/2024

Maisha yanaenda kasi aisee k**a hawa washakuwa mandugu..

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KBRU MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KBRU MEDIA:

Share

Category