Engineer collo

Engineer collo Man of intelligent..
βˆšβ€’Love β™₯ all trust a few do wrong 2 none....βœ…πŸ†—

USILETE UTANI KATIKA MAPENZIMdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwana mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafa...
30/07/2024

USILETE UTANI KATIKA MAPENZI

Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa
na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na
kumuacha!
Mwanamke huyo akaamua kuandika barua_
_inayosema "Samahani mume wangu nimeamua
kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya mbali
na wewe Barua hiyo akaiweka juu ya meza iliyokuwa
chumbani.

Baadaye jioni, muda wa Mumewe kurudi
mwanamke huyo akajificha chini ya uvunguni wa
wakitanda mule chumbani Mume alipoingia
chumbani akakuta ile barua juu ya meza,_ _akaisoma
kisha, akaandika maneno fulani kwenye ile ile barua,
halafu akaanza kuimbaimba kwa furaha huku
akipiga milunzi na akiwa anavua nguo.Akapiga simu
na akasikika akisema hivi "hello mpenzi, nina raha
sana leo.. yule mwanamke nuksi ameondoka mwenyewe bila kumfukuza
nakutuachia uwanja, jiandae
nakuja "Muda huo huo Mume akaondoka.
Mwanamke alipokuwa uvunguni akawa analia na kutokwa na machozi akaamua kutoka
lakini amenyong'onyea na amelowa mashavu kwa
machozi.
Akasogea pale ilipo barua na akataka kujua
mumewe aliandika kitu gani kwenye ile barua.
Akakuta maneno haya nimekuona miguu yako
uvunguni tafadhali andaa chakula nina njaa sana
mumeo, ila nimetoka kidogo nafuata maziwa
nilisahau kupitia. Nakupenda mke wangu..

Hivi nani kampata mwenzakee_πŸ“ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†

Follow Maisha Na Mahusiano

SEMA kitu... SEMA tusikieβ™₯οΈβ˜‘οΈπŸ’₯πŸ’―β†©οΈβœ…β†©οΈKila hatua duaπŸ™πŸ™
20/04/2024

SEMA kitu... SEMA tusikieβ™₯οΈβ˜‘οΈ
πŸ’₯πŸ’―β†©οΈβœ…β†©οΈ
Kila hatua duaπŸ™πŸ™

Drop your page.....ili tukufollow plz  colloβœ…πŸ”™πŸ’₯βœ…πŸ’₯πŸ”™πŸ’₯
22/03/2024

Drop your page.....ili tukufollow plz
collo
βœ…πŸ”™πŸ’₯βœ…πŸ’₯πŸ”™πŸ’₯

Address

Mombasa

Telephone

+254740732605

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Engineer collo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Engineer collo:

Share