Thank you for all that participated in the mentorship program in Allidina Visram High school. The impact you've had on the lives of our mentees is immeasurable.
Your guidance, wisdom, and encouragement have ignited a spark of inspiration that will continue to burn brightly in their futures.
We are immensely proud to have partnered with Allidina School, and we cherish the bonds forged through this program. Together, we have sowed the seeds of knowledge, growth, and empowerment.
“Unlocking Potential, Building futures: Join us on a transformative journey through the power of mentorship in our upcoming documentary, ‘The future Pillars’ via the link below 👇
https://youtu.be/SpuTSNr6frk?si=VomcD-vACzoKEInA
#educationmatters #mentorshipmagic #changinglives #proudly001
Wafahamu siku ya Kiswahili duniani?
Hivi ndivyo Mombasa ilivyosherehekea siku hiyo ya terehe 7 Julai 2022.
Kwa mengi zaidi, tembelea mtandao wetu wa youtube kupitia https://www.youtube.com/watch?v=5r1TbXtDH4s
Ilikuwa ni fakhari yetu kuwa miongoni mwa wadhamini wakuu wa sherehe hizi za kitamaduni.
Siku yenyewe ishakaribia kwahiyo karibuni sana kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya Kiswahili duniani hapo kesho tarehe 7 na 9 Julai 2022 #kiswahilikitukuzwe
Tuna furaha kuwa miongoni mwa wadhamini wakuu wa sherehe hizi za siku ya Kiswahili duniani zitakazofanyika tarehe 7 na 9 Julai 2022 katika ukumbi wa Swahili Pot na Swahili Centre, Mombasa, Kenya.
Thank you Deenway International School for your trust in us.
Book us today for services such as content creation (features, documentaries, advertisements, informercials, etc), videography/photography services, marketing and public relations consultancy.
What's your story?
Nutayla Swaleh ni mkazi wa kisiwa cha Lamu, pwani ya Kenya, aliyeondokea kujulikana na wengi kama muimbaji stadi. Hili limemfanya umaarufu wake kuingia katika umashuhuri.
Mengi zaidi ni kwenye akaunti yetu ya YouTube kupitia https://www.youtube.com/watch?v=W_Oll_ldNCM
Alkhamisi Njema!! #whatsyourstory #LamuTamu #homeofuntoldstories
"It started with a verbal abuse which gradually turned into physical abuse that almost sent me to a grave," says Vivien Awuor, a gender based violence survivor from Mombasa, Kenya.
After years of being in an abusive marriage, she finally escaped and found true love.
Find "confessions of a GBV survivor" on our YouTube channel via https://www.youtube.com/watch?v=sBnZAZDXZdI&t=39s
Thank you dear Vivien Orengo - Owuor for this amazing story and Boss freight CFS for the support, what's your story? Talk to us today #homeofuntoldstories
#mondayvibes #genderbasedviolenceawareness #proudly001
Hivi hii misemo ya Kiswahili tunayoitumia kila siku ina hadithi zake?
Haya mtaalamu huyu wa Kiswahili anatupasha mengi kwenye mtandao wetu wa youtube kupitia https://www.youtube.com/channel/UC7eGywheLjBf3oFxgYc_TpQ
Asante sana bwana Hezekiel Gikambi ambaye ni mwandishi wa vitabu vya Kiswahili na muhadhiri kwa ushirikiano wako nasi. Hata wewe pia unaweza kuwa sehemu ya jukwaa hili, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Furahia!! #whatsyourstory #kiswahilikitukuzwe #proudly001
"Ati mwanamke hataki kuambiwa ni mzee?" ndivyo asemavyo mhudumu huyu wa afya, lakini ni kwanini?
Mengi zaidi ni kwenye ukurasa wetu wa YouTube kupitia https://www.youtube.com/channel/UC7eGywheLjBf3oFxgYc_TpQ
Asante sana Sister Asya kwa ushirikiano wako nasi. Hata nawe pia una nafasi ya kuangaziwa katika jukwaa hili, wasiliana nasi leo kwa matokeo bora ya shughuli au biashara yako. #whatsyourstory
Huyu jamaa ni wakili aliyejitolea kwa hali na mali kusaidia na kubadilisha maisha ya watoto maskini, wasiojiweza na wanaokabiliwa na changamoto mbali mbali katika kaunti ya Kwale, Kenya.
Ameuza kila kitu chake kwa ajili ya kusimamisha kituo cha Al Walidayn chenye msikiti, shule, hospitali ya bure na vituo vya kuhifadhi watoto.
Mengi zaidi ni kwenye mtandao wetu wa YouTube kupitia https://www.youtube.com/channel/UC7eGywheLjBf3oFxgYc_TpQ
Asante sana wakili Amir Swaleh kwa ushirikiano wako nasi. Pata fursa ya kujumuishwa kwenye jukwaa hili kwa kuwasiliana nasi leo. Usipitwe.
#whatsyourstory #weekendvibes #proudly001
https://www.youtube.com/watch?v=-Sr-o5w4vfw&t=3s
Hizi ndio ngoma za pwani tunazotarajia kuzisikia kwenye sherehe zetu za kitamaduni haswa katika kaunti ya Mombasa na Lamu.
Mengi zaidi ni kwenye mtandao wetu wa YOUTUBE 👆 kuhusu bendi la ''GHEITHAN MUSICAL PARTY," linalopiga muziki wa kiarabu na kiswahili kwa mtindo asilia.
Hata nawe unaweza kuwa sehemu ya jukwaa hili, wasiliana nasi leo kwa matokeo bora ya shughuli yako au biashara yako. #whatsyourstory #sundayfunday #proudly001
Baadhi ya kina mama kama 👇 Mwajabu Mohammad kutoka Jomvu kuu bado wanayaenzi mabuibui ya jadi ya Kiswahili kwa kuyavaa ili kuyatangaza na kuyaonyesha kwa vizazi vya sasa wapate kuyajua kama sehemu ya utamaduni wao.
Mengi zaidi ni kwenye mtandao wetu wa YouTube kupitia https://www.youtube.com/watch?v=MNPeb4B5hXo
Thank you for supporting us in our endeavors of becoming the best digital platform through our own stories. Happy customer service week!!
#whatsyourstory #culturematters #fridayvibes #proudly001
Wajomvu ni miongoni mwa makabila tisa ya kwanza ya waswahili wa pwani ya Kenya.
Jamii hii inazungumza chijomvu, mojawapo ya lahaja za Kiswahili.
Wanawake wao wanajulikana kwa ustadi wao wa kufinyanga vyungu madhubuti vinavyotumika na watu wa pwani. Lakini haya yote huenda yakapotea?
Mengi zaidi ni kwenye ukurasa wa YOUTUBE, fuatilia (LIKE) na ujiunge nasi (SUBSCRIBE) kupitia https://www.youtube.com/watch?v=wQWck7E_rbU
Asante sana jamii ya wajomvu kwa ushirikiano wenu nasi, basi usikose fursa hii adhimu, wasiliana nasi leo kwa matokeo bora. #whatsyourstory #socialentrepreneurship #culturematters #HappyNewMonth #proudly001
Hatimaye waarabu wa Mombasa waamka? Kimaslahi au kijamii?
Fahamu mengi zaidi kwenye akaunti ya YOUTUBE, naomba utufuatilie na ujiunge nasi ili usipitwe https://www.youtube.com/watch?v=UvMUIM0Cj_w&t=84s
Asante sana AWAKE kwa ushirikiano wenu mzuri nasi, kwa shughuli, hafla au tamasha kama hili, waslliana nasi leo kupitia nambari 0722153797 na hutojutia #whatsyourstory #fridayvibes #proudly001
Vugo ni mojawapo ya ngoma za jadi za waswahili iliyo maarufu sana kwa jamii ya wabajuni kutoka visiwani Lamu na Mombasa, pwani ya Kenya.
Ni ngoma ya kitamaduni ambayo hivi sasa huchezwa zaidi katika sherehe mbali mbali za Kiswahili za kibajuni kama vile harusi, siku za kuzaliwa au hafla za kitamaduni.
Asante sana Hekaya Arts Initiative na Historia kwa ushirikiano wenu mzuri na hivi ndivo tumeanza kutangaza utamaduni wetu wa pwani uliofanyika kwenye hafla ya tamasha la Kiswahili.
Mengi zaidi ni kwenye channel ya I-care Production ya YOUTUBE https://www.youtube.com/watch?v=LDZ98eWMyQc #whatsyourstory #TellingOurOwnStories #proudly001
This is a glimpse of our production work.
Creative and Quality content done by Professionals.
Thank you Mirfat Miyanji 👇from Mombasa, Kenya for sharing your story.
It has created hope and inspired many other young girls who are still in school and others who are building their careers❤
What is your story?