Sirlesh Samz Tv

Sirlesh Samz Tv SIRLESH SAMZ TV, home 🏡 of entertainment...
0795000831
[email protected]

Kazi moja safi ya mombasa vision entertainment ikiwa matayarisho Wakuu mkao ni ule ule wa kula
11/10/2024

Kazi moja safi ya mombasa vision entertainment ikiwa matayarisho
Wakuu mkao ni ule ule wa kula

https://youtu.be/m1MT_93uYnQHuwa tunaishi katika mazingira magumu sana hata kufikia hatua ya kuvunjika moyo. Ila hata ha...
18/08/2024

https://youtu.be/m1MT_93uYnQ

Huwa tunaishi katika mazingira magumu sana hata kufikia hatua ya kuvunjika moyo. Ila hata hakuna haja ya kulia sana, hapa kuna jambo la kutia moyo sana ....

https://youtu.be/m1MT_93uYnQ?si=-aPvoAxE5W0OP5SgTuliisubiria sasa imewadia..Kilichobakia ni support kunigea Tukimbie You...
09/08/2024

https://youtu.be/m1MT_93uYnQ?si=-aPvoAxE5W0OP5Sg

Tuliisubiria sasa imewadia..
Kilichobakia ni support kunigea
Tukimbie YouTube watu wangu wa nguvu

Wimbo huu umerekodiwa ama umeimbwa kwa minaajili ya kuwatia moyo wote ambao wako katika hali ngumu ya maisha.Ni wimbo ulioimbwa kwa hisia ukielezea magumu na...

New T-shirts, New brand...Dm ujipatie T-shirt yako fresh....
18/07/2024

New T-shirts, New brand...
Dm ujipatie T-shirt yako fresh....

Happy birthday to me! I amgrateful for all theopportunities I've had to growand develop this year. I amgrateful for ever...
07/07/2024

Happy birthday to me! I am
grateful for all the
opportunities I've had to grow
and develop this year. I am
grateful for every door that
was closed, because it was not
the right path for me. I am
going to carve time out of all
the busyness this coming year,
and quiet my mind. I am going
to reflect on who I am, and
who I want to become. I will
discover me.

https://youtu.be/TMc0rXsW3ks?si=qrYNLUR9-X6NSENBJambo tayari liko mezani, kikubwa ni wewe ndugu yangu ukimbie kupitia li...
03/06/2024

https://youtu.be/TMc0rXsW3ks?si=qrYNLUR9-X6NSENB
Jambo tayari liko mezani, kikubwa ni wewe ndugu yangu ukimbie kupitia link hii ili ukajitazamie au ukajipakulie mwenyewe. Kindly subscribe,like,comment and share the link please..

Written and composed by MTEULE MUSIQ Produced by NOISER Video shot by GLIMZO ENT..Directed by Josee

Na k**a ikitokea wamekuuliza kunihusu waambie kuwa hata yeye unayemuulizia anaziuliza habari zake kwetu, hivo basi, wape...
14/04/2024

Na k**a ikitokea wamekuuliza kunihusu waambie kuwa hata yeye unayemuulizia anaziuliza habari zake kwetu, hivo basi, wape taarifa kamili kuwa uzima ni rizki yake Allah kwetu sisi....
Cc: Mteule Musiq

https://youtu.be/brqCC2d_6sM?si=VocJvxFpU69hQQG6Imesifiwa sana jamani mbna wewe ufanye kuskia kwa watu na link ndio hii ...
22/03/2024

https://youtu.be/brqCC2d_6sM?si=VocJvxFpU69hQQG6

Imesifiwa sana jamani mbna wewe ufanye kuskia kwa watu na link ndio hii nakupa for free ...
Please kimbia pale YouTube sai jitazamie mwenyewe kilichoko/kinachojiri sasa ivi

Movie;ShubiriStory&script-SuleshDirector; Danny J

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sirlesh Samz Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sirlesh Samz Tv:

Videos

Share