"You are incompetent", Ruto fires back at Gachagua during visit of Busia county.
"You are incompetent", Ruto fires back at Gachagua during visit of Busia county.
Kakamega governor Fernandes Barasa says Malava MP Malulu Injendi is recovering well after being admitted in ICU on Tuesday.
Kakamega governor Fernandes Barasa says Malava MP Malulu Injendi is recovering well after being admitted in ICU on Tuesday.
Gachagua court case
Eric Gumbo: We’re opposed to any application seeking to, in any way, derail the proceedings that are before you…the public interest that subsisted then which necessitated the urgency subsists today. The petitioners cannot have it both ways.
Protesters at Kivumbini, Nakuru, set part of Lake Nakuru national park ablaze during clash with police.
Step into the world of medicine. Explore careers at the Higher Education Expo on 30-31 January at the Kenyatta International Convention Centre and take the first step towards saving lives. Entry is FREE!
Whether you’re a student, parent, or industry professional, this is your chance to connect, learn, and grow!
🎯 REGISTER NOW: https://survey.zohopublic.com/zs/zjCIvJ
📞 To partner/sponsor, call us at 0727911807 or email [email protected]
#HigherEducationExpo2025 #EducateEquipEmpower
Students at Kimathi Secondary School collapse as police use teargas to disperse protesters in Kivumbini, Nakuru.
Operesheni Ya Kenya, Haiti
Operesheni Ya Kenya, Haiti
Kikosi cha tatu cha polisi wa Kenya waliotumwa Haiti kimeanza mafunzo ili kuimarisha utayari wao na ufanisi katika kushughulikia changamoto za kiusalama nchini humo. #NTVAdhuhuri
Mauaji Ya Richard Otieno
Mauaji Ya Richard Otieno
KNHCR imeanzisha uchunguzi mbadala wa mauaji wa mwanaharakati wa Molo Richard Otieno.
#NTVAdhuhuri
Kesi Ya Gachagua Kortini
Kesi Ya Gachagua Kortini
Danstan Omari: Kisiasa Gachagua atakuwa na nguvu nyingi za kusema kwamba aliondolewa kwa njia ambayo haikuwa sawa. Kisheria Kindiki hawezi tolewa ofisini.
#NTVAdhuhuri
Kesi Ya Gachagua Kortini
Kesi Ya Gachagua Kortini
Danstan Omari: Leo tunarudi kwa hili jopo la majaji watatu ili waweze kufahamisha nini kilichotendeka kwenye Court of Appeal. #NTVAdhuhuri
Maafisa Wa KEBS Wavamiwa
Maafisa Wa KEBS Wavamiwa
Vijana wa kuranda mitaani almaarufu ‘chokoraa' washambulia na kuwafurusha maafisa wa KEBS, waliofika katika chimbo hilo kuharibu mchele mbovu.
#NTVAdhuhuri
Ruto Amjibu Kalonzo
Ruto Amjibu Kalonzo
Kwani mkulima wa miwa si mkulima? Ati mkulima wa miwa akilipwa watu wanaanza kuuliza maswali: Rais Ruto amjibu Kalonzo Musyoka kuhusiana na maswali ya ni wapi alikotoa pesa za kutoa marupurupu ya wakulima wa miwa. #NTVAdhuhuri