Azimio Leaders Served Notice for Monday and thursday demonstration to Nairobi Regional Commander Adamson Bundei.
Kiongozi wa upinzani Raila Amolo Odinga amehoji kuwa hawapendi maandamano ila wanalazimishwa kufanya na serikali.
Wakati huu ambapo mvua zimeanza kushuhudiwa katika maeneo tofauti jimboni Mzee Guracha ameitaka jamii ya wafugajia kuendelea kudumisha amani kama hapo awali na kushiriki malisho na maji bila utata.
Mzee Guracha amempongeza gavana Mohamed Ali na mwakilishi wadi wa Sagante Jaldesa Amos Wako kwa juhudi zao za uchimbaji wa kisima katika eneo la Qilta Korma akiongeza kuwa sasa tatizo la maji kwa watu wa sehemu hilo limepata suluhu.
Aidha amewataka viongozi wote kuchukua mfano huo wa maendeleo katika kaunti hili.
subscribe our YouTube channel ;https://youtu.be/Gs7-UphHXmI
Mzee Guracha Galgallo ambaye ni mmoja ya wazee kutoka jamii ya borana amemkashifu vikali wito wa kiongozi ya upinzani Raila Odinga kwa maandamano siku ya juma tatu akisema kuwa halina faida kwa mtu yeyote. Aidha Guracha amewahimiza wakaaji wa jimbo hili kuendeleza kazi zao za kila siku ili wajitafutie riziki za kujimudu kimaisha
subscribe our YouTube channel ;https://youtu.be/Gs7-UphHXmI