23/11/2021
PART 4: MAZISHI YA MAPENZI
Kuenda kugeuka ilkuw mwalimu wa Maths😪. Alinkodolea macho makali k**a ya Atwoli kisha akasema, ''kijana, ninakutuma fimbo ofisini unakuja hapa ku,harass form 1😎, yani unamwambia asipokuoshea nguo eti utamkamua?🤔 Sasa tafuta fimbo nzuri nkukamue, nakwambia leo nitakutandika usipolia, nitalia😝.'' Nlijua sasa hapa, hkna option bali tu kutii kichapo cha mbwa😥.
Nlitafuta fimbo mbili nzuri kisha nkampea🤗. ''Touch your toes, '' mwalimu aliniambia. Nlitoa viatu kisha nkainama kushika vidole vyangu🙂. ''Kijana yani unakuja kujifnya sukari kw hii shule, ati sasa tukulambe?🤔'' ....Mwalimu alinpea nyahunyo ya kwanza takoni😴, ilkuw moto k**a kipara ya kibaki, nikakausha hiyo. Akanipea nyahunyo ya pili, PAP. This time ilkuw moto zaidi🙄, machozi yakaanza kutoka machoni😓. Roho ikasema, ''Wew ni ndume🤐.'' Wakati ya tatu ilishukishwa, tako ilikuw moto k**a jehanamu....ikabdi nshike tako langu na mkono😮. Mwalimu akasema, ''Juu umeshika umefuta hiyo😪💔.''
Nyahunyo ya nne ilipoachiliwa🤗, machozi yngu ilkuw imeanza kumwagika ovyo sasa, mwalimu akasema, ''unalilia nani?🤔 sitaki kuona harufu ya machozi hta, kimbia darasani na usirudie kosa lako.''
Nlipanguza machozi coz sikutka classmates wngu waone BAZU akilia.....then, nkakimbia mpka class😮.
Vnye nliingia darasa🙄, nlitembea polepole hadi kw locker yngu, vnye nlijarbu kukaa chini tako ilkuw moto k**a jiko. So nlikaa juu ya hewa, nkishika locker😒.
Ghafla bin vuu nkidhani mambo yamekwisha😫, (kumbe shetani naye amechimba 6-fit down sea level ya jeneza la mapenzi yngu). Deputy prinsi akaingia na kusema twendeni parade🤓. Tulipofika assembly, walimu wte walijitokeza, akiwemo😌, mwalimu was English, karembo kangu. Coz mastudee walkuw wengi sikuw na wasiwasi coz hkna vnye angeni.spot kirahisi😯. Ticha on duty aliongea kisha akamkaribisha deputy principal. Nkiwa nimetulia tu hivi😝, Deputy principal akasema, ''there are arising cases of monolisation & us as teachers we won't tolerate with it....LIPUA, the notorious criminal in this school come forward😞.....''...... Makosa!!!! Maze, niende mbele, si yule mode wa English ataniona na kitaumana🤔🤔🤔😌.
Nlijarbu kusonga mbele miguu ikakuw nzito k**a mi.......
Tegea PART 5 . Stay tuned kw hii page 😯 . Alf c nibuyie data bundles 0704810252