Radio Mchungaji 94.5 FM.

Radio Mchungaji 94.5 FM. Radio Mchungaji is a Commercial Radio Station owned and operated by the Catholic Diocese of Maralal.
(1)

04/01/2025

MISA TAKATIFU.

Karibu kwenye maadhimisho ya misa takatifu asubuhi ya leo moja kwa moja kutoka Kigango cha Maria Mfariji Parokia ya Maralal ikiadhimishwa naye Padre John Dida.

Paybill number:4069627
Account name: Radio Mchungaji

01/01/2025

1/1/2025

SHEREHE YA MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU.

MISA YA KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MWAKA MPYA MOJA KWA MOJA KUTOKA PAROKIA YA WATAKATIFU PETRO NA PAULO, MARALAL IKIADHIMISHWA NAYE ASKOFU HIERONYMUS JOYA IMC.

31/12/2024

MISA YA SHUKURANI KWA AJILI YA KESHA YA MWAKA MPYA.

31/12/2024

MISA TAKATIFU

Karibu kwenye maadhimisho ya misa takatifu asubuhi ya leo moja kwa moja kutoka Kigango cha Maria Mfariji ikiadhimishwa naye Padre Cornelio Lomatukae.

30/12/2024

MISA TAKATIFU.

SIKU YA SITA YA OCTAVA YA KUZALIWA BWANA

Karibu kwenye maadhimisho ya misa takatifu asubuhi ya leo moja kwa moja kutoka kigango cha Maria Mfariji ikiadhimishwa naye Padre Peter Musau.

29/12/2024
29/12/2024

SHEREHE YA FAMILIA TAKATIFU YESU, MARIA NA YOSEFU.
SEHEMU YA PILI YA KUFUNGUA LANGO LA KATHEDRALI / KUFUNGUA MWAKA WA MATUMAINI NA JUBILEI YA MIAKA 2025.

29/12/2024

SEHEMU YA KWANZA YA IBADA YA KUANZISHA RASMI MWAKA WA MATUMAINI, JUBILEI YA MIAKA 2025.

28/12/2024

MISA TAKATIFU.

Karibu kwenye maadhimisho ya misa takatifu asubuhi ya leo moja kwa moja kutoka Kigango cha Maria Mfariji ikiadhimishwa naye Padre Cornelio Lomatukae.

27/12/2024

MISA TAKATIFU.

Karibu kwenye maadhimisho ya misa takatifu asubuhi ya leo moja kwa moja kutoka Kigango cha Maria Mfariji Parokia ya Maralal ikiadhimishwa naye Padre John Dida.

25/12/2024

Shout out to our newest followers! Excited to have you onboard!

Omoro Vincent, Santana Letiwa, Philip Terewa, Virginia Ndungwa, Jonny Tikirich Jonny Tikirich, Alfred Alfred, Lucy Etengteng, James Randa

Merry Christmas and Happy New Year 🎊

25/12/2024

25/12/2024
SHEREHE YA KUZALIWA KWA BWANA NA UBATIZO WA WATOTO WACHANGA.

24/12/2024

24/12/2024

MISA YA VIJILIA YA KUZALIWA KWAKE BWANA YESU.

Karibu kwenye maadhimisho ya misa ya vjilia ya kuzaliwa kwake Bwana Yesu moja kwa moja kutoka Kathedrali ya Watakatifu Petro na Paulo, Parokia ya Maralal ikiadhimishwa naye Askofu Hieronymus Joya IMC, Askofu wa Jimbo Katoliki la Maralal.

Paybill number:4069627
Account name: Radio Mchungaji

23/12/2024

MISA TAKATIFU.

Karibu kwenye maadhimisho ya misa takatifu asubuhi ya leo moja kwa moja kutoka Kigango cha Maria Mfariji ikiadhimishwa naye Askofu Mstaafu Virgilio Pante.

Finally the participants have arrived at the Allamano Grounds for the noble cause of raising funds for the reopening of ...
21/12/2024

Finally the participants have arrived at the Allamano Grounds for the noble cause of raising funds for the reopening of Wamba Catholic Hospital led by Rt. Rev. Hieronymus Emusugut Joya IMC, Bishop of the Catholic Diocese of Maralal, Samburu County First Lady H.E Beverlin Lelelit, Samburu West MP Hon. Naisula Lesuuda, Priests from the Catholic Diocese of Maralal, well wishers and people of good will.

Wamba Catholic Hospital charity run participants at Maralal Town on their way to Allamano Multipurpose Hall led by First...
21/12/2024

Wamba Catholic Hospital charity run participants at Maralal Town on their way to Allamano Multipurpose Hall led by First Lady of Samburu County.

21/12/2024

From Archer's Post for the love of Wamba Hospital.

Address

P. O BOX 350-20600
Maralal

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Mchungaji 94.5 FM. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Mchungaji 94.5 FM.:

Videos

Share

Category